Search results

  1. technically

    Tume ya Uchaguzi kuwa Tume Huru ya Uchaguzi, Itakuwa Huru Kweli au ni Jina tu? Ukiomba Mambo 10 Ukapewa 1, Shukuru kwa Hilo 1. Asante kwa INEC!

    Tume huru bila katiba mpya? kweli hii nchi ya mapoyoyo kwa hii katiba iliyopo ni utoto kuwa na tume mpya bila katiba mpya.
  2. technically

    Zitto Kabwe: NEC na Uhalali wa Kisheria Dhidi ya Uhalali wa Kisiasa.

    tume huru bila katiba mpya ni sawa na kulala na demu ana uti bila kuvaa kondomu
  3. technically

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ukiona cashout inakubali second half dakika za 60+ potezea ujue inatoa
  4. technically

    Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'

    Nikajua una connection ndani ya simba kumbe na wewe ni vuvuzela tu tuliwaonya longtime hamkusikia subiri trh 20 ni 7-0
  5. technically

    Napendekeza TISS ivunjwe, iundwe Upya

    hatupo serious kama nchi
  6. technically

    TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Elimu elimu elimu ndio madhara ya kubebana kwenye ajira kuliko kuangalia competence Uyu anawakilisha akili za watawala wengi wa ccm ndivyo walivyo !!
  7. technically

    Hivi ndivo Yanga sc atakavyomuua Mamelod leo

    All the best yanga sc
  8. technically

    SImba SC ajipange upya kwa Msimu ujao, habari imekwisha kwa Mkapa

    Simba ni mbovu uo ndio ukweli tatozo uwa hamtaki kusemq ukweli wa timu yenu ni mbovu
  9. technically

    Ni Mtanzania Mwendawazimu tu hatoweza Kuishangilia Yanga SC iliyo Bora kuliko Simba SC ikicheza na Mamelodi Sundowns FC leo Usiku

    Umeshachanganyikiwa tayari walio karibu wakukwapue simu usije kuleta balaa
  10. technically

    Ukristo Marekani umekosa Mwelekeo

    Ushamba kiwango cha juu
  11. technically

    Wenye familia na watoto mnawezaje kutazama Runinga nyumbani?

    Ndani naingia SAA usiku 5 natoka SAA 11 aaubuhi Labda jpili nazuga zuga saa7 napotea tena mpaka saa5
  12. technically

    Serikali iongeze umakini zaidi kwenye Idara ya Ujasusi

    Upo sahihi lakini kama bado hatuna katiba ndio useme wasilinde nchi?
  13. technically

    Serikali iongeze umakini zaidi kwenye Idara ya Ujasusi

    Napenda kutoa tahadhari kwa idara ya ujasusi ya Tanzania kuongeza umakini juu ya ulinzi na usalama wa viongozi, uchumi, siasa na ulinzi wa RAIA. Kuna vikundi Vingi vya kijasusi kutoka nje vinaingia sana nchini kwa ajenda ambazo hazina mashiko hata kidogo na watu hawa uwa wanaenda kwenye sehemu...
  14. technically

    Naomba Mechi ya Yanga sc vs Mamelod iahirishwe

    Kocha professional hauwezi kuongea vile aisee yanga hatuna kocha kabisa
  15. technically

    Gamondi: Sijawaona Aziz Ki na Diarra kambini mpaka sasa

    Kocha ana utoto sana hayo sio maneno ya kuongea kwenye press kubwa kama hiyo.. Yanga inaonekana kituko na uongozi was yanga unaonekana ni mbovu kuwai kutokea
  16. technically

    Waziri Bashungwa simamia na kukamilisha miradi ya barabara za Dar au ujiuzulu na kumpisha anayeweza

    Waambie tarura sio waziri wenye budget sio waziri ni tanroad na tarura hawa ndio tatizo nchi hii Bashungwa mtamuonea bure kila siku tanroad na tarura wanaruhusu makapuni ya ujenzi wanamwaga vifusi ovyo tu Na barabara wanaowapa tenda wanajenga muda mrefu ili kuiba pesa Tatizo kubwa ni wao na...
  17. technically

    Gamondi: Sijawaona Aziz Ki na Diarra kambini mpaka sasa

    Kama hawatapangwa na game yanga akapoteza basi uongozi wa yanga unatakiwa kuchunguzwa kwa kuhujumu timu Wachezaji waliocheza game j3 na j4 wanashindwaje kufika Tanzania mpaka siku 3 kutoka ufaransa? Na hapo Africa magharibi? safari ya Massa 8 mpaka 10 wachezaji wanachukua Massa 48 kurudi...
Back
Top Bottom