Search results

  1. E

    Je, ni kwanini kila anaeanzisha biashara ya daladala lazima ife na afilisike?

    Hii biashara kama ilivo biashara nyingine inachangamoto zake chache ambazo ukizifaham utafanya biashara, Hata mimi kabla ya kuianza nilikatishwa tamaa na comment za wengi lkn kwakua hii biashara sio jaribio langu la kwanza sikusita kujaribu,nimekua nikiifanya tangu 2015 na mpaka sasa inafanya...
  2. E

    Nafasi za Kazi

    kama nimuitaji tafadhari piga hiyo namba utapata maelekezo kamil
  3. E

    Nafasi za Kazi

    Tunaitaji wafanyakazi kwa nafasi zifuatazo: 1. Cocktail Maker 2. Bar Manager 3. Bar maids (15) Kwa anaye hitaji wasiliana na 0653 538367
  4. E

    Plot4Sale Nauza viwanja vyangu vilivyopimwa Madale Mivumoni kwa bei nafuu

    Hizi plot bado zipo mkuu, ni umbali gani kutoka wazo,? izi
  5. E

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Mzizimkavu salama, Baada ya kusoma comment yako niliamua kutafuta zaidi kuusu mkojo na nimenunu kitabu kutoka marekani kwa amazon kinacho husu tiba za mkojo (Urine therapy),naendelea kukisoma lakini mpaka sasa wameonyesha kwamba mkojo unatibu magonjwa mengi sana. thx for bringing up this idea...
  6. E

    Niulizeni kuhusu mkoa wa Pwani

    je kilimo cha migomba/ndizi kinaweza stawi maeneo ya Malndizi?
  7. E

    Huu mtindo wa waziri mkuu kuiagiza TAKUKURU kumkamata mtu sio sawa

    Watanzania kama wewe mnachosha sana, Ikumbukwe kwamba waziri mkuu ndio mtendaji mkuu wa serikali,hizo taasisi unazo zisema kaziagiza zipo kwa ajiri ya kumsaidia yeye Kazi,sioni kosa kuviagiza. Sio kila mkutano uliowekewa jukwaa ni wakisiasa,waziri mkuu kila anapokuwepo kwa muda wa utawala wake...
  8. E

    Kufunga vituo vya mafuta ni dharau kwa wananchi

    Hakuna maendeleo pasipo maumivu,chochote unachokiona cha maana kimefanyika kunawalio umia ili kufanikisha,hata hizi reli kunahata ambao walipoteza maisha wakati wa mkoloni ila Leo tunasifia ndio usafiri wa bei rahisi,tuiunge mkono serikali ili ifikie malengo yake ya kutuletea maendeleo endelevu...
  9. E

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    kiongozi naomba msaada kama ulipona katika tatizo hili,maana ni msalaba kwangu.naomba uni PM
  10. E

    Agizo la Rais kunyang'anywa Passport Mkandarasi wa Maji

    Swali ni je,tuliingia mkataba na individual aliyenyang'anywa passport au kampuni ambayo ni independent entity?????????
  11. E

    Zanzibar wapeleka barua UN kuvunja Muungano

    Huwezijua thamani halisi ya mke mpaka akiondoka
  12. E

    Tukiyahitaji maisha ya Libya enzi ya Gaddafi, hatuna budi kumpa nafasi zaidi Rais Magufuli

    Sorry bro,najaribu kuwaza kwa maandishi!hapo uliposema wasio Na ajira walikua wakilipwa posho,unaona ni sahihi?kwann wasinge accumulate hizo posho waka invest/wakajenga kiwanda alafu wakawapa ajira watu wao ili kuwe Na sustainable earnings kwa watu wao?huoni kama ni njia ya kutaka kutukuzwa kwa...
  13. E

    Tunaoa kwa sababu ya kusaidiana kimaisha

    Ndoa ni mtihani mgumu kwelikweli,na huwa unaufanya for the rest of your life kutokea unapo owa bila kufauru wala kumaliza,maswali yake ni mengi mno!! Ndio maana huwa unapewa cheti cha ndoa kabla ya mitihani husika. heshima kwenu kwamlio na ndoa zenye ustawi
  14. E

    Mama yangu ananinyima Uhuru kwenye mitandao ya kijamii

    Guys!!!yani Oahu za mamaako mzazi ambae amekulea mpaka umefikia hapo ulipo,ambae pengine inafaa uzungumze nae kwa ukaribu kuliko wanawake wote huku duniani,amekuambia kitu unaacha kumuuliza kulikoni unakuja kuuliza hapa JF,serious???? Stop kidding bana
  15. E

    Fahamu,mwanamke haridhiki wala hatosheki

    Be positive when it comes to women,don't expect to much from them,maisha yataenda!
  16. E

    Je, cheo cha Executive Assistant anachoshikilia Ben Saanane kipo kwenye Katiba ya CHADEMA?

    Chukulia hakipo,ndio kinafanyiwa majaribio kama inafaa kiongezwe au kisiwepo,hivyo hata sifa za mtu anae kistaili pia hazipo,kwaiyo aliyepo ndio atakua benchmark ya kama sifa hizo zinatosha,awekwe alie na sifa pungufu au atafutwe mwenye sifa zaidi?
  17. E

    RTI Employment opportunity

    Utapeli ukowapi kituko,Kwani umeambiwa ulipe pesa ilikuomba?hizo Habari za email ni issue sa company policy, I encourage you to be optimistic ili kufikia malengo yoyote, Anyway,this office is located at plot #1131B masasani road,in btn Tanzania breweries and uongozi institute in masaki
  18. E

    RTI Employment opportunity

    RTI International is accepting applications from qualified staff for the recently awarded USAID/ Tanzania Tusome Pamoja Program (2016-2021) in Tanzania. The 5-year program will assist the Ministry of Education to replicate and scale up reading, writing and arithmetic improvement interventions in...
  19. E

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Kuna wenye vyeti halali hawana uwezo na kunawasio vyeti wanauwezo mkubwa,nafkiri ifike mahali tuchague tunawaitaji zaidi wepi kati ya hao. Kunawaliosoma kwa utaratibu/mfumo wa elimu uliopo hawakuelimika na kuna ambao hawakusoma kwa mfumo huu lkn wameelimika,tutumie wapi ili kupiga hatua?
Back
Top Bottom