Search results

  1. K

    Chuo cha Mtakatifu Agostino ni majanga

    sio kweli moderator naomba uifute hizo thread, mimi huwa natumia sana library wanafunzi wengi wanaosoma public relation huwa hawaendi kusoma sababu floor yao na yetu zinapakana sasa, yeye anakosa vitabu wakati vitabu hivyo ni vingi na huwa kuna nakala nyingi na ukikosa kitabu ukiienda librarian...
  2. K

    Kamanda Meshack amnadi mgombea uhenyekiti wa serikari ya kijiji Kahangara Magu leo kupitia CHADEMA

    kweli kijana nakuja alhamis tuje kuongeza nguvu huko
  3. K

    Kamanda Meshack Micus kuongeza nguvu kwenye timu ya kamanda Mawazo huko Magu

    Hata mimi nakuja Magu siku ya alhamis ili kuongeza nguvu pamoja na kamanda wangu mawazo sababu ni mwl. wangu ili aone matunda ya miti aliyokuwa akiipanda. HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE MAGU kwenye chaguzi za vijiji na vitongoji.
  4. K

    Kwanini CHADEMA hawaadhimishi siku ya kuzaliwa kwake?

    waadhimishe ili iweje, chama bado kinajengwa kama ni gorofa la floor kumi ndio kwa nza liko kwenye floor ya ya tisa
  5. K

    Mawaziri wa serikali ya Kikwete Wazomewa Mwanza

    Ni kweli leo wamezomewa sana, walokuwa wakizomewa ni nnape na yule babu(yule mchezaji wa reserve) wamezomewa sana wakaamua kuwapiga vijana na nimeshuhudia wakimpiga machinga mmoja alikuwa kwenye biashara zake makoloboi wakamuumiza mbele ya polisi kisha mahali alipokuwa amepanga bidhaa zake...
  6. K

    Ni kweli tunahitaji mahakama ya Kadhi na kujiunga na OIC?

    acha uongo kwa takwimu za mabadiliko ya katiba mpya inaonesha kuwa kati ya mikoa ya kanda ya ziwa shinyanga ndio inaonesha kuwa wanahitaji mahakama ya kazi, takwimu zinaonesha kuwa kati ya aslimia zaidi 80 waliotoa maoni wanakubaliana na mahakama ya kazi.
  7. K

    Mimi ni mdada natafuta mchumba

    ni pm tuongee vizuri hata mimi natafuta mke wa kuoa
  8. K

    Barchelor of Arts with Education(B.A.E.D)

    apply utapata tu tena na mkopo juu, apply vyuo vya SAUT na hakika utapata tu.
  9. K

    Mwenyekiti wa vijana CCM kata Kisesa ahamia chadema.

    liko jimbo la Magu Mkoa wa Mwanza nje kidogo ya jiji la Mwanza.
  10. K

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Nilitaka kujua Mh.zitto alifanikiwa zoezi lake bungeni baada ya kuwaomba mshikamano jana.
  11. K

    Mkutano mkubwa wa CHADEMA Dodoma

    dini ya babako
  12. K

    Mwenyekiti wa CCM Morogoro ampiga askari Msamvu kisa kasimamishwa na traffic

    ni ustaarab, tena akome hao maaskali huwa wanashabikia ccm sana,anamsumbua mweny dola tena chama tawala hana adabu huyo askali.
  13. K

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    RFA sasa wanaripot ati kuna mchuano mkali na huyo mwanahabari wao yumo chumba cha kuesabia eti kamanda Nassari amesusia matokeo na ametoka nje hana time kabisa tunaomba taarifa.
  14. K

    Miaka hamsini ya "Uhuni" sera ya CCM

    ulitaka iweje
  15. K

    Miaka hamsini ya "Uhuni" sera ya CCM

    kwani mlitakaje
  16. K

    Miaka hamsini ya "Uhuni" sera ya CCM

    Wewe ndio unafanya unaz kutetea ujinga, TANU na ASP viliungana ili kuunda Serikali moja ya muungano ambayo ni SMT ili kutimiza matakwa ya Viongozi. Ile ilikuwa ndoa ya kipindi kile sasa CCM imeoa tena mwanamke anaitwa CUF kwa hiyo nikawaida yake kuoa oa, upo hapo?. Hivi nyoka akijivua gamba...
  17. K

    Miaka hamsini ya "Uhuni" sera ya CCM

    Miaka yote hiyo ccm walikuwa wapi? kuleta maendeleo kata ya Kirumba na Jimbo la Arumeru kama wana Meru wanataka kuona yaliyowapata wanaigunga kesho wasifanye makosa ya kuchagua ccm, Watanzania tumechoshwa na miaka hamsini ya Uhuni tulikuwa tunawapigia kura matokeo yake viongozi wetu wanakuwa...
  18. K

    Highness:"CCM ilienda na Nyerere, iliyobaki ni Danguro tu"

    Mbunge huyo wa Jimbo la Ilemela ameyasema hayo katika mkutano wa kampeni uliofanyika jioni ya leo katika viwanja vya Ibanda ya juu- Kata ya Kirumba saa 11:27 jioni ya tarehe 22.03.2012. Kasema toka awe mbunge Katika Kata hiyo anahangaika na matatizo ambayo yana miaka 50 yeye anapokutana nayo...
Back
Top Bottom