Search results

  1. M

    Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

    ..Kwa kweli sijui..nini hasa mwanamke anahitaji..ni ngumu kutambua...Mungu aninusuru na ndoa yangu hii changa loh...
  2. M

    Babu wa Loliondo afungiwa kwa muda kutoa huduma...

    ..duh kweli babu abarikiwe sana..
  3. M

    JK kaacha kishindo Dar?

    Mwanakijiji unatupa presha..kazi haziendii..
  4. M

    Waziri John Magufuli hili la kuvunja jengo la TANESCO Ubungo tumia busara

    Sijaluelewa mkuu, unajaribu kusema kwamba nikitumia pesa nyingi sana kuvunja sheria inabidi sheria itupwe ili mimi nisiwe nimepata hasara kwa kuvunja kwangu sheria? hahahahahahahahahaha
  5. M

    Hivi huyu mwanajeshi ana umuhimu gani?

    ... Kwa kuiwa Rais wa Tz ndiye Amiri Jeshi Mkuu, Mkuu wa Majeshi yote..huyo Jamaa hapo Nyuma anambebea Rais vyeo vyake vyote ndio maana unaona ana vyeo vya ki-polisi, jeshi, jeshi la Maji na La Angani..
  6. M

    Mrejesho kuhusu Uwakilishi Wangu katika Mkutano wa pili wa Bunge

    ..Mh Mnyika hujatufahamisha kama ule mkopo wa 90millions ulichukua au hukuchukua na mbona hamkuhoji tena?..
  7. M

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    ..Lets talk the talk now..hata wakitajwa haitasaidia tuzungumze na huyo aliyeko kuepusha hilo dhahma jamani..Mh Mnyika majina ya Wamiliki wa Dowans hayana tija tena..sio issue jamani issue hapa ni UMEME kuwaka na kuepusha deni na mgao..
  8. M

    Dkt. Slaa awapevua wananchi wenye mawazo mgando

    ..Dr. Slaa am not your fun, but you have worn my heart for this I salute you Sir and will possibly vote for you in 2015 if EL dies before that time..
  9. M

    Al Adawi kutembelea mitambo Ubungo

    ..Jamani mbona Tz hatueleweki..tulitaka ajitokeze amejitokeza tunasema sio yeye na hatumsemi nani mmiliki..mmekataa kulipa deni amekuja kujadili deni lipungue au lisitishwe mnataka akamatwe kwa kosa la kukataa kupiga picha. Mi naona ombwe kubwa sana katika uchambuzi na ujengaji wa hoja kwa...
  10. M

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    ..jamani huyu kijana mwenzetu kumsema nimechoka..Leo asbh nimekutana nae akiwa na Range Rover Vogue Sports mpya ina number za nje I think imeanza na somethin P the Carlifornia..sina hakika kama inatokana na kale kamkopo ambako Mnyika na Lema walilalamika bila kutujuza kama wamechukua au lah au...
  11. M

    Sudan's President Omar Hassan al-Bashir will not seek re-election

    ..Good umesoma nyakati...hope its not too late..
  12. M

    Bunge Limehairishwa... Ni kipi cha maana kilichofanyika?

    ..Wana JF pamoja na kuwa mgeni humu ndani, lakini lipo jambo/mambo ambayo binafsi yananikosesha usingizi hususan yaliyojiri katika bunge lililopita. Yamejadiliwa mengi ikiwemo hotuba ya Rais, matatizo ya Umeme, Elimu, pamoja na Afya na katika hayo yote sijaona azimio lolote la msingi lililolenga...
  13. M

    Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

    ...duh kweli wehu ni wengi..yaani ukaona kitu kama kimondo halafu kikalipua mabomu mengine???
  14. M

    Dikteta Ben Ali Mahututi Saudi Arabia

    ..Pole sana Ben Ali..
  15. M

    No Changes in Uganda

    ..I love Africa..honestly I do...
  16. M

    I will be back in 2016 – Museveni

    ..I like Museven, he is very serious and committed..ila nadhani ni vema akasoma nyakati..najua mapinduzi hayawezi kufanikiwa kumtoa huyo ana roho saba kama PAKA
  17. M

    Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

    ..nadhani kw usafi huu alionao hatufai..
  18. M

    Ni kweli Wilson Mukama anaandaliwa kumpokea Makamba?

    ..I think Mukama hawezi kupewa nafasi muhimu namna hiyo maana anazo genes za yule jamaa alietangulia wa Njombe ambaye wamemtelekeza kabisa..
  19. M

    January, Mnyika wapendekeza kutumika kwa mitambo ya Dowans kupunguza mgao wa umeme

    ..what!!!!! Kweli la kuvunda halina ubani..mission accomplished..RA ni kiboko..ila "ipo siku"
Back
Top Bottom