Search results

  1. A

    Mawalla Advocates yaijibu Jamii Forums

    Kama unamjua ni vizuri sana na inaelekea unamjua toka shule pia ujue kwamba unavyomjua mtu kwa nje ni tofauti kabisa na alivyo na anachofikiri, Kimsingi mimi simkubali huyu jamaa kwa haya yafuatayo: Kutumiwa na Singita Grumeti Reserve: Jamaa huyu amekuwa akitumiwa na Singita Grumeti Reserve...
  2. A

    Startimes vs Ting: Ushauri tafadhali

    Mkuu kuna mpira Easy Televison? Maana hawa Dstv kwa kweli wako very expensive kwa maisha yetu haya ya kibongo. Kama kuna king'amuzi kinaonyesha EPL, Uefa champions league. Plz tujulishane
  3. A

    Ooooops!! WANAWAKE??...aaaaah!

    Pole sana kaka, mambo kama haya hutokea tujifunze. Kimsingi mimi naona pia wewe ulikuwa na tatizo. Iweje ukae na mtu miaka mitatu na mmoja mnaishi wote bila kufunga ndoa? What if yangetokea matatizo makubwa kwa huyo dada ungewaambia nini wazazi wake? Kama ulimpenda kweli kwa nini hukumuoa? Pole...
  4. A

    Wasifu wa Godbless Lema (MP)

    Ni kweli kaka, binafsi sikupata kumjua Lema before, ila nilimsikiliza vizuri sana wakati wa kampeni zake na kwenye midahalo na vikao mbalimbali. Huyu jamaa inawezekana akawa hana elimu kubwa ila reasoning capacity yake ni kikubwa sana na ana uwezo wa kufanya mambo mengi makubwa kama msomi tena...
  5. A

    Hivi unamwitaje mumeo/mkeo?

    Mimi namuita mama
  6. A

    Nssf/tra/wanasheria/wanajf; msaada katika hili!!!!

    Aise pole sana ndugu yangu. Kimsingi mi navyojua unapaswa kulipwa mshahara wako kila mwezi na mwajiri anapaswa kupeleka mchango wako NSSF kila mwezi. Kuhusu statement ya NSSF unatakiwa uinagalie vizuri kwani huwa wanachelewa kupdate hata kama michango ishapalekwa ila kama haijapelekwa kweli...
  7. A

    Business Partner

    Kuchimba coz tuna shamba linayo madini ila sisi hatuna uzoefu kwa kweli. So tunahitaji mtu wa kuwa naye partneship tuchimbe
  8. A

    Business Partner

    What do you mean? So means akinipm nitamtumia vijana wa kazi. That is very poor thought of you
  9. A

    Mishahara Ya Wabunge Wa Kenya

    Duh, this is interesting kwa kweli
  10. A

    Business Partner

    Hi! Natafuta business partner, mwenye uzoefu na mambo ya madini. kama unao please pm me then tutaongea zaidi
Back
Top Bottom