Search results

  1. 2015ready

    Magonjwa ya Nyanya.

    Naomba ushauri wa jinsi ya kutibu huu ugonjwa.
  2. 2015ready

    Dkt. Slaa ulisahau nini huko CHADEMA?

    Kiapo chake kilikua kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sio serikali ya CCM.
  3. 2015ready

    Viwanja vinauzwa Bagamoyo Fukayose

    Habari wadau wa Maendeleo. Nauza Viwanja. Vipo Bagamoyo njia ya kwenda Msata, eneo la FUKAYOSE. Bei ni Tshs 5,500 kwa square meter moja. Viwanja vimepimwa tayari na vipo kilometers 1.5 kutoka barabarani. Kwa mawasiliano piga namba 0767460356
  4. 2015ready

    Aliyekuwa bosi Bandari (TPA) asomewa mashtaka akiwa kitandani Hospitali ya Muhimbili

    Kuanzia mwaka 2014 hadi 2020 washtakiwa wanatuhumia kufanya uhalifu na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya 4 Billion. Lakini hakimu anasema upelelezi haujakamilika??!!!! This is so weird.
  5. 2015ready

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Hii ilisaidia sana kwa wafanyakazi kujiongeza na kujifunza Ujasiliamali. Maana watu wengi walibweteka na mishahara yako.. Inchi ipo kwenye construction MODE. Pesa nyingi inatumika kugharamia miradi mikubwa ya kimkakati na kupitia hiyo miradi, ajira nyingi mpya zimepatikana. Hivyo basi, haikuwa...
  6. 2015ready

    Kwa hali ya Corona na kimbunga Jobo, nimeamini Tanzania inalindwa na Mungu

    Kuna kitu ambacho, ama hatukijui, au tumeamua kwa makusudi kabisa kutokukitambua. Inchi hii ya Tanzania inalindwa na Mungu Aketie Juu Mbinguni. Lakini pia, MBEGU ya kumtegemea MUNGU katika Jimbo iliopandwa na Viongozi wetu ndio inayo mkumbusha Mungu kuendelea kuiangalia Tanzania kwa Jicho la...
  7. 2015ready

    Kwanini sitamsamehe Hayati Magufuli

    Kwani amekuomba msamaha 🤔
  8. 2015ready

    Kwanini Zitto Kabwe achambue ripoti ya CAG siku ambayo Freeman Mbowe amepanga kulihutubia Taifa?

    Kama unaweza kuvurugwa basi hukujipanga kumsikiliza unaetaka kumsikiliza. My take. Uchambuzi wa reporting ya CAG ni muhimu zaidi.
  9. 2015ready

    Vijana watano (below 40 years) wanaofaa kwa nafasi ya Katibu Mkuu CCM taifa

    Nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama sio ya watoto. Hapo namuona Dr. Slaa kwa mbaaaliii.... Au January Makamba au Nape
  10. 2015ready

    Suphian Juma: Nimeng'atuka ACT Wazalendo

    Nenda kwa amani. Acha kazi iendelee... ATC + CCM OYEEEE
  11. 2015ready

    BAWACHA Mikoa mbalimbali watoa matamko sakata la Wabunge Viti Maalum

    If you had inside information would you have written what you wrote here?
  12. 2015ready

    Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

    Hiyo inaitwa.. Chukua Chako Mapema. Alie juu mpandie hukohuko.... Acha kazi iendelee
  13. 2015ready

    Ndoto: Ni wakati wa kumteua Waziri Mkuu Mwanamke?

    Inawezekana kabisa. 1. AshaRose Migiro 2. Dkt. Angelina Lubala Mabula Hawa wawili wanafaa kwenye hiyo nafasi
Back
Top Bottom