Search results

  1. Pawaga

    Bilioni 20 Zimewekwa kinyongee Utadhani hakuna kilicho tokea. Umuhimu wa Manara Upo

    Kwanza hivi kwann anasema tu kiasi alichoweka Simba SC Kwa miaka 4 lkn hasemi Simba SC imeingiza kiasi gan kwa miaka 4. Hii inaitwaje kitaalam ndugu zangu
  2. Pawaga

    Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

    Kwahiyo kama babu yake alifanya uovu pia baba ake alifanya unyama na yeye aendelee kusapoti uovu? Hivi huwa unafikir kweli kabla ya kuandika???
  3. Pawaga

    #COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Sorry unataka kumwambia nini raisi wetu mpendwa aliyeikubali na kuiidhinisha??
  4. Pawaga

    Ni umri gani mtoto anapaswa kutembea?

    Kwan ni muda gan unatakiwa kufanya mapenz baada ya kujifungua??
  5. Pawaga

    Usichokijua kuhusu wadada wa Mbeya (Nyakyusa)

    Sio wanawake wakonyakyusa ni tabia ya huyo uliemshuhudia Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Pawaga

    Mnaoangalia Taarifa ya Habari ya TBC1 huwa Mnavutiwa na Nini?

    Makonda anakutafuta broo maana nasikia wanakukonk
  7. Pawaga

    Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

    asante sana boss
  8. Pawaga

    Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

    Fafanua mkuu na Mimi niitumie. Si inaweza kutumika kama kinga au lazima iwe tiba?
  9. Pawaga

    Je, naweza kupata mkopo kupitia nyumba za kupanga?

    Jibu ni ndio na mkopo anapata vizur tu!. Bank watathaminisha nyumba na kumpa mkopo. Kumbuka SECURITY YA MKOPO WAKO ni hilo jengo na litapigwa mnada uki-default kuulipa. Watu wanakopeka viwanja/shamba iwe nyumba!.
  10. Pawaga

    Putin: Siwezi kusamehe usaliti

    We nawe poyoyo kweli! Kwanini usijibu swali kama ulivyoulizwa? Yaan unazunguuka kama kichaa bwana.
  11. Pawaga

    Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

    Hii asali na matango na UONGO kabisa mi nakula mara kwa mara na hakuna kitu kinachotokea zaid ya kushiba tu
  12. Pawaga

    Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

    Hakuna kitu kama hicho mi natafunaga sana asali na matango kila wakat na ninadunda tu!.
  13. Pawaga

    Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

    Tupo pamoja wanaMsimbazi. Mungu ni wetu sote mjue
Back
Top Bottom