Search results

  1. Likuyuseka

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mimi nilikua nasoma chuo miaka hiyo, nilikua nahifadhi nyaraka na ripoti zangu muhimu kwa kujitumia kwenye baruapepe.
  2. Likuyuseka

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Likuyusekamaganga, Selous kwa hapa hivi.:)
  3. Likuyuseka

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Vijana mko spidi sana. Uzi ubadilike uwe 'KUTONGOZA MADE EASY' Wasalam, Baba yenu
  4. Likuyuseka

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kisa cha miaka 30 iliyopita. Nimerudi likizo yangu ya kwanza toka niende shule kidato cha kwanza shule ya bweni. Ni miaka ile ukifaulu unaheshimika kijiji kizima, kama sio wilaya nzima. Nimekaa naandaa karanga zangu za kwenda nazo shule, mara paap kaja dada mmoja wa maeneo ya jirani na barua...
  5. Likuyuseka

    Qsat Decoder model Q28G kwa bei nafuu Tanzania

    Nimekula hasara ya kutosha. Nililipa zaidi ya laki 6 kuweka hii makitu, ilionyesha kwa wiki mbili tu, sasa hivi ni mwezi wa pili hakuna kitu. Hasara! Ili kupata FTA (local) imebidi niweke dishi la pili! Hasara kweli kweli. Fundi kasema sijui decoder inahitaji kufanyiwa software upgrade...
  6. Likuyuseka

    Natafuta Play Station (used)

    Thanx. Ila nishanuna....mwaka uliopita!
  7. Likuyuseka

    Siipendi chat, Invisible ikiwezekana iondoe tu............

    Invisible hebu mpe LD kufuli la CC fasta, akimaliza tupa funguo baharini. :wave::wave: CC
  8. Likuyuseka

    TCU imebadilishia course applicants..go and check NOW!

    Nilidhani kuna mtu anabadilisha, kaifuma password!!!!! Mtu amesoma HKL wanamwekea kozi za sayansi!
  9. Likuyuseka

    Bomu laokotwa kwenye uzio wa michongoma

    Mkuu hebu fafanua zaidi. Wapi ilikua??
  10. Likuyuseka

    Natafuta Play Station (used)

    Belo hii namba never reachable.
  11. Likuyuseka

    Natafuta Play Station (used)

    Nimeku-pm mkuu. bei inanitoa hapo
  12. Likuyuseka

    Natafuta Play Station (used)

    Wakuu salaam. Natafuta PS2 ama PS3 (kama affordable kwangu). Nipo pande za Dar
  13. Likuyuseka

    Mkuu wa Wilaya ya Mbozi atangaza kujiuzulu!

    Hongera kimolo, a dude with dignity. Namfahamu akiwa mkuu wa wilaya ya Namtumbo.
  14. Likuyuseka

    Utafiti uliomponza SLAA 2010

    What had happened to the white thing in your head you call a brain?
  15. Likuyuseka

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Hebu google. safe days for intercourse
  16. Likuyuseka

    Man jailed for his "33cm" manhood

    Kama anayo ni ulemavu wa kiungo
  17. Likuyuseka

    How To Satisfy A Woman..

    :A S-coffee::A S-coffee:
  18. Likuyuseka

    How To Satisfy A Woman..

    Making this TF beautiful thread worthless.
Back
Top Bottom