Search results

  1. Gwa Ntegeye

    Nyaraka za iliyokuwa Tume ya Katiba hizi hapa

    Umefanya jambo la maana kutupa nyaraka hizi muhimu, as ante sana
  2. Gwa Ntegeye

    Ally Bananga akamatwa na polisi kwa agizo la CCM

    Hii hat a haingii akilini, visa vinatafutwa tu
  3. Gwa Ntegeye

    Mwanamke avua nguo na kubaki kama alivozaliwa mbele ya sanamu ya Nelson

    Huyu mwanamke sio mchezo,ila ingekuwa Tanzania angelala milembe au Keko maana askari with anavyopenda sifa duuh!
  4. Gwa Ntegeye

    Hii ndio JKT

    Watoto wa msasani,Masaki na Osterbay wataweza?
  5. Gwa Ntegeye

    TAARIFA: Kuhusu wabunge wa CHADEMA kuonekana Dodoma Bungeni

    Basis kwa ufafanuzi huo hakuna mwenye dhambi kati ya waliodhaniwa kuhuduhuria au kujiandikisha kwa ajili ya kupata posho. Ilaumiwe serikali kwa kulipa posho wasiohudhuria vikao wajinga ni watendaji period.
  6. Gwa Ntegeye

    Mtangazaji Wa Channel Ten

    Asante kwa taarifa
  7. Gwa Ntegeye

    TAARIFA: Kuhusu wabunge wa CHADEMA kuonekana Dodoma Bungeni

    Tusipokuwa makini kwa hili tutafukuza wengi
  8. Gwa Ntegeye

    TAARIFA: Kuhusu wabunge wa CHADEMA kuonekana Dodoma Bungeni

    Chili seals tusipokuwa makini tutapoteza wanachama wengi maana hata ambao hawajaenda, no roho ngumu, anakuta MTU Alisha panga mipango take ya kibiashara, ujenzi au vinginevyo kwa kutegemea posh ya Binge chili ndio lingemtimizia yote, sasa anapoambiwa asiende inamletea shida sana Ndio maana...
  9. Gwa Ntegeye

    Picha za mkuu wa kaya alipokuwa Washington

    Wanajuana hao
  10. Gwa Ntegeye

    Interview bank abc graduate programme

    Mmmh! hawa watu bwana sijui walikuwa wanatest watu,maana kuna muda hata ile link yao muda fulani ilikuwa iko valid lakini baadae kidogo ikawa invalid,sasa sijui hata wale watu waliofanikiwa kutuma application zao kabla ya invalidation ya ile link wameitwa au la.
  11. Gwa Ntegeye

    CHADEMA watoka tena bungeni, Mrema naye atoka!

    Inawezekana kuwa walikuja kusaini posho lakini kwa mawazo yangu,sio hvyo bali walikuja kwanza kushiriki bunge la maswali na majibu ili nao pia waweze kuuliza maswali ya matatizo katika maeneo yao husika. Lakinia pia lazima kuja kusaini daftari la mahudhurio ili bunge kwanza kuheshimu na...
  12. Gwa Ntegeye

    Bungeni: Mwigulu full mipasho, Wassira na wengine waendeleza (Nov 16)

    Hatari sana na tumeshaanza kugundua kuwa katiba inaenda kutengenezwa kwa mazingira ya kichama na sio kitaifa
  13. Gwa Ntegeye

    Katiba mpya ya nini?

    Kimsingi katiba mpya tunaitaka na sio tunaiomba maana hapa tulipo na maisha haya ya ufukara yamesababishwa na katiba hii ya enzi za mwalimu,ndo maana tunaitaka akatiba mpya so that iendane na mazingira ya sasa.
Back
Top Bottom