Ni jambo lisilopingika kuwa hakuna binadamu yeyote anayependa vita itokee Nchini mwaka, na nina imani kuwa Wananchi wa Libya nao vilevile wasingependa vita iendelee Nchini mwao. Najua rais wa Libya anapigana akisema anaitetea Nchi yake dhidi ya waasi wanaoungwa mkono na Nchi za Magharibi na...
TFF ianandae mkakati wa mapema na ihakikishe wachezaji wote wanaocheza soka nje ya nchi wanafika mapema kujiunga na timu punde kocha atakpowateua. Hongera Taifa stars hongera Watanzania wote.
Wakuu nina Mashaka na huyu kocha wa Taifa stars , Je tatafuzu kombe la Mataifa ya Afrika kwa Mtindo huu?. Tumesawazisha na sasa ni goli moja kwa moja lakini------.
Kuna tetesi kwamba mabingwa wa soka Tanzania Simba sport club wameinyuka Elan Club ya Komoro kwa mabao 4-2. Kwa matokeo hayo Simba itakutana na mabingwa watetezi wa kombe hilo Tp Mazembe Engrebet Mechi Itakayochezwa Stade de la kenya -Lubumbashi huko DRC. je tutaingoa mazembe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.