Search results

  1. Mjanga

    Kama umeoa, ukiwa unarudi nyumbani toa taarifa. Leo nusu nife

    Shemela kumbe tulivyokuwa tunaagana vile umebaki na mengi kumoyo? Mwemwemweeeee!:p:p
  2. Mjanga

    "Usijaribu kuongeza mishahara ya watumishi wa umma 2019"

    kama nimemuelewa sanaaaa huyu "mtumishi wa umma"!:D:D:D
  3. Mjanga

    Halima Mdee:Kuna kila dalili Bunge hili hatutajadili kabisa taarifa za CAG

    wewe ukiitwa na hilo jina lako sidhani kama utarudi salama!
  4. Mjanga

    Namna ya kutenganisha mahusiano yaliyo na matokeo ya mimba ya mwezi 1

    Naona jamaa alitegemea Sisy apigwe mambo na Mkanada! Mnawezaje kumwacha binti azurure na bodaboda bana! leta kadi za sendoff tukuchangie!
  5. Mjanga

    Nichukue uamuzi gani?

    Anachohitaji sasa huyo binti ni hakikisho la usalama wake binafsi na upendo wake. Kutafuta haki ni sawa lakini haibadilishi chochote zaidi ya kulipiza kisasi. kama unampenda tangaza nia, fuata njia sahihi, oa kwa utaratibu unaokubalika ili umfanye kuwa na uhakika na uhalali wa mahusiano. kuzaa...
  6. Mjanga

    Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

    Nchi yangu, Tanzania yangu, tunalalamikiana hatuna UZALENDO, ila anapojitokeza mzalendo halisi anakandamizwa na kufanywa kafara. Alafu kila siku politisiani wanataka vijana wawe wazalendo kweli!
  7. Mjanga

    TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    o_Oo_Oo_Oo_O Tatizo unalo Binti, kumbe umeua sana enzi zako, for now PRICE U SHOULD PAY! Kafanye sala ya toba!
  8. Mjanga

    Nimekataliwa Research proposal mara tano, kuwa zimeshafanyika. Naomba nisaidiwe research tittle

    Kwa huu mtindo wa kupewa, utakataliwa hata zikifika 10,000. Jitambue ufanye unachokitambua.
  9. Mjanga

    Dodoma: Mazingira mazima ya Area D,ulinzi ni wa kuridhisha

    Jamani usichezee milio ya risasi 30+, hata komandoo angekimbia kwanza....
  10. Mjanga

    Wanaume mungu anawaona, muwe mnaaga mnapotaka kumuacha mwanamke

    Hahaaaaaaa! Achimbe BWAWA Chura watakuja tuu!
  11. Mjanga

    Quote gani ya Kitanzania kutoka kwa viongozi,wafanyabiashara,watu mashuhuri nchini unayoikubali...

    "Wabunge wanatumia Makalio kufikiri" (Hayati Didas Masaburi)!
  12. Mjanga

    Watendaji wakuu wa ACT Wazalendo mnachomfanyia Zitto Kabwe siyo kitu kizuri, Pia Magufuli anakosea

    Pathetic Comment! people are discussing the future of Multiparty Democracy and heart of the nation, you bring in story za udaku! Kuna tofauti kubwa sana hapa, mtu kama Mghwira, aliyepita kutushawishi na kutuhaminisha kuwa yeye na chama chake ndio waliokuwa na sera nzuri ambazo zingeweza...
  13. Mjanga

    Ana uume mdogo kama remote ya DSTV. Nifanyaje?

    Mwambie akajaze bwawa lake kwa matope kina kipungue ili remote ya DSTV iingie vizuri!;););)
  14. Mjanga

    The Evil Uhuru Mugai

    With you actually! You can't admit it, obvious it is!
  15. Mjanga

    The Evil Uhuru Mugai

    Friend Kenyans, your hearts have been broken countless times, I wonder this time if you are going to give your hearts to be broken again! Hahaaaaa! We are dying slowly with our Magu!
  16. Mjanga

    The Evil Uhuru Mugai

    The message stylishly written! what an enjoyable reading!
  17. Mjanga

    "Mwili" wa Ivan uliingia Uganda kwa jina la Ally, Interpol wataka kaburi lifukuliwe

    Imeandikwa wapi kuwa ukifiwa lazima ulie na kuhuzunika 24HRs? Hata watu wazima kuna wakati wanacheka, sembuse watoto? Waonekana hauna ushirikiano mzuri na wanajamii na kuwa mambo mengi yamekupita! Shiriki mambo ya kijamii utajifunza mengi! NB: watoto wana feel absence ya yule mtu ambaye...
  18. Mjanga

    Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

    Hahaaaa! alafu ndo ukute hata hilo neno CHUO ndo analisikia kwa mara ya kwanza.....Maweeee!
  19. Mjanga

    President Magufuli's dilemma: Infrastructure or human capital development, which is more important?

    You are Right and Wrong at the same time! mark these: 1. wagonjwa wanaofariki barabarani ni wachache ukilinganisha na wale wanaofia kwenye mabaraza na korido za Hospitali; wahudumu wachache with less skills, vifaa tiba shida. 2. Wanafunzi wanaomaliza Shule za msingi hawajui kusoma na kuhesabu...
Back
Top Bottom