Search results

  1. M

    Shairi:Tunda la ajabu

    1) Kutunga nlivokumisi, mwishoni nitaugua, Mtima wangu yabisi, nawe ndio lake jua, Ya moyoni warahisi, walimwengu kuyajua, Kutunga sitokudisi, amani waniletea. 2) Wafanya kwa ufanisi, jukumu walichukua, Wawapita wahandisi, mabonde kuyafukia, Wafundisha kirahisi, vipofu wawafungua, Kutunga...
  2. M

    Rais wa Tanzania na Kiingereza, wa Ujerumani na Kijerumani!

    hauna uzalendo. Kiswahili ni lugha yetu(lugha ya taifa) kama taifa lina lugha yake kwa nini lisiitumie badala yake kung'ang'ana na lugha ya kigeni? Kiswahili ni kibantu.
  3. M

    Rais wa Tanzania na Kiingereza, wa Ujerumani na Kijerumani!

    hauna uzalendo. Kiswahili ni lugha yetu(lugha ya taifa) kama taifa lina lugha yake kwa nini lisiitumie badala yake kung'ang'ana na lugha ya kigeni? Kiswahili ni kibantu.
  4. M

    Mahujaji 130 wamefariki katika ibada ya Hijja

    Si mara ya kwanza kusikia kuwa hii ni kafara ya kila mwaka inayoendelea kule. Kuna mtu aliconvert alinieleza on details hii kitu. Cha ajabu wahusika wenyewe hawaoni...wanasema msongamano..sijui uzee...sijui magonjwa.. Ukisikia kitu kifanyie kazi ujue ukweli wake..sio kupinga tu kama...
  5. M

    Tunauza maziwa fresh - Dar

    karibu mkuu...!!
  6. M

    Airtel mkiendelea kunitumia huu ujumbe nitawapeleka mahakamani.

    Naunga mkono hoja,jina la kesi litakuwa nini mkuu..?wanasumbua vbaya,mara meseji mara simu. Kila dakika kila saa....
  7. M

    Milio ya "risasi" kinondoni - tujuzeni wadau

    Mkuu uhuru wa nini..? Kama U.S si ni tarehe 4 july..?
  8. M

    Kagame na Kikwete wazidi kukwepana

    Kwenye jumuiya hii hakuna aliye baba,mtoto wala kaka,kila nchi ina mamlaka sawa,if u take Tanzania as giant its u,and haya ni maneno ya mtaan ya wananchi wakawaida wachache,Tanzania yenywe haijasema kitu,wala kuweweseka. Tutawagonga kweli mkileta utani na huyo sniper wenu anayedungua watu chini...
  9. M

    Kagame na Kikwete wazidi kukwepana

    Tuwe wazalendo,tuappreciate kilichofanyika,which was the best thng to do for us by the time.
  10. M

    Kagame na Kikwete wazidi kukwepana

    Im nt dat pro government but i dont find it correct to say such a thng,do u have any substantive cause to substantiate ur claim mkuu?
  11. M

    Kagame na Kikwete wazidi kukwepana

    Kinachofanya muungano uitwe wa kisanii ni kipi hasa?
  12. M

    HE saved me,HE gave me the second chance!

    Sijawahi kukubali unabii kama huu,unadhani Mungu mwenyewe hajui kuwa hawa watu wanaexist? Then kwanini awaache waendelee kuishi?(U cn refer King..ge), mfano JF ife ili...? Nyie ndo mnafanya watu wadhani kuwa religious ppl aren't intelligent,unavojinadi kuwa uliwatukana hao walosema hakuna...
  13. M

    Tunauza maziwa fresh - Dar

    Habarini wadau? Tunakamua maziwa ya ng'ombe, ni halisi. na salama. Hayana chembe ya nyongeza ya vitu vyovyote visivyohitajika ambavyo hupunguza ubora wake au ambavyo ni hatari kwa binadamu. Bei kwa lita ni Tshs 1500,karibuni, kwa mawasiliano waweza tumia 0752 542 430 / 0782 040 948...
  14. M

    Maombi ya msaada wa kusomeshwa

    Simjibii mtoa hoja, im just saying, kwa mfano mimi, nlinunua simu yangu yenye internet ambayo ndiyo hii nayotumia hata kupostia nw kwa Tshs. 30,000/= tu ni Nokia 2730 classic, kwahiyo simu ya internet its nt a big deal nw adays, simu unaweza hata pewa bure.
  15. M

    Mh. Halima Mdee: Sifanyi Mapenzi Ya Jinsia Moja (Lesbianism)

    Ng'wamapalala;6385194]Kwa nini baadhi ya Watanzania wanapenda kujinasibisha kama hawajari na hawana tatizo kuwa na rafiki wa karibu au ndugu ambaye anasaga na anayesagwa ( Lesbian). Mara nyingi wengi utawasikia wakisema, 'I don't mind and it's non of my business', lakini pale swala hili...
  16. M

    Wazanzibar hawatokubali kukosekana z’bar yenye mamlaka kamili-malim seif

    Mh...safari hii amekuwa wazi zaidi,kwa hili je ina maanisha wazanzibar hawautaki muungano, CUF,au ni Maalim Seif tu?
  17. M

    Nimeibiwa kiwanja

    anza na hii mkuu,
  18. M

    Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

    Ni ushauri mzuri,lakini nadhani wewe pia unahitaji kusoma vitabu,tena zaidi,na utagundua kuwa Nabii Issa unayemsema aliyezaliwa chini ya mtende jangwani siye Yesu Kristo masiha mkombozi wa ulimwengu wote!
  19. M

    Matamko ya CCT NA PCT kuhusu kuchinja

    kwenye quaran? Unategemea huo msahafu wa waislamu ungeongelea watu usiowahusu(wakristo)? Soma biblia uone kama kuna sehemu wakristo waliambiwa wakachinjiwe na waislam,uislamu ni dini iliyokuja baadae sana(576 A.D),unamaana watu walikuwa hawachinji kabla? Thnk deep!
Back
Top Bottom