Search results

  1. C

    Diwani wa Chadema akamatwa na Bunduki

    Mambo kama haya na yanayo fanana na haya ndio yanatulazimisha wengine tupaze sauti kusema, katiba mpya iharakishwe upatikanaji wake, na katika katiba hii mpya kuwe na sheria itakayo simamia vizuri utendaji wa vyombo vya ulinzi na usalma. Vitumike kwa maslahi ya umma si kupiga propoganda za...
  2. C

    Mapigano ya kugombea ardhi yaua Tegeta

    Mtawalaumu polisi wa watu bure, kama ilivyo kwa walalahoi wa TZ polisi nao wanamahangailko mengi kwenye maisha yao huku wakishuhudia mafisadi na viongozi vibaraka wa mafisadi wakifaidi nchi. Tusisahau ya Misri ambapo wanajeshi waliamua kuwaacha wamisri wafanye Vifaru vya jeshi kuwa viti vya...
  3. C

    Mapigano ya kugombea ardhi yaua Tegeta

    Si amini serikali haiwezi kutoa kauli kama hii, labda tu kama inaongozwa na wenye mtindio wa ubongo.
  4. C

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kwa chadema nawezasema wanawapuuza na kuwaona wanalalamika kama mtoto aliyedekezwa (a.k.a mtoto wa mama), uvccm kama hukumbuki mulize masauni atakukumbusha kilichompata.
  5. C

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kazi kwelikweli, sina hakika kama kuna Mtanganyika wa sasa ambaye bado anashida ya kushiriana na hawakina bonyeee, mdebwedo.
  6. C

    Hotuba ya Rais na Mashine za Kutoza Kodi za TRA

    Ukifanya udadisi kujua kuwa wazo na utaratibu huu asili yake wapi utakujagundua mtu kakopi na kupesti kutoka nchi nyingine. Kauchukua kama ulivyo bila maboresho na kuja kuutekeleza katika mazingira tofauti na yale ya asili yake. Muhimu kwake ni kufanikisha usanii tu basi.
  7. C

    Seriously tufanye evaluation ya jk kutembelea wizara

    Hizi ziara elekezi za mh rais hazikuwa na tija, hazina tija na hazitakuwa na tija kwa nchi yetu period.
  8. C

    Mwanasiasa gani Tanzania mwenye mvuto namna hii?

    Naomba kuwauliza wale wanao tuambia nchi hii kuna udini, Je hawa wote ni wakatoliki tu? Naomba msutwe na nafsi zenu.
  9. C

    Maandamano ya CCM nchi Nzima yaja

    Huko kwenye mikutano watakuwa wanaelezea kitu gani? Watawaomba wananchi wa waunge mkono maisha magumu yawe magumu zaidi, bei za bidhaa juu ziwe juu zaidi, malipo ya dowans yanacheleweshwa na mahakama mahakama ilitolee uamuzi haraka suala la dowans ili walipwe na kukodishwa haraka, wanafunzi wa...
  10. C

    Familia Ya Nyerere Wajiunga Na Chadema?

    Jambo ambalo liko wazi na hakuna ubishi ni kwamba mavazi ya mebeba ujumbe fulani. Anyway, just to be curious, hivi kama una mtu ambaye aliwahi kuwa kiongozi watu na baadhi ya watu wake aliowaongoza wakaamua kumuita baba wa taifa, huyu baba wa taifa akawa na mke wa ndoa, huyu mke wake ataitwa je...
  11. C

    Familia Ya Nyerere Wajiunga Na Chadema?

    Gauni la mama Maria linanikumbusha ule usemi wa matendo hukidhi haja kuliko maneno. Hata hivyo kila mwananchi ana utashi wake wa kisiasa, hili haliwabagui wa familia ya Nyerere aka JK original.
  12. C

    Minister of Energy & Mineral Resources, William Mganga Ngeleja SLEEPING in 2011 EITI Meeting

    Kumbe hawa wameenda kwa ufadhili wa ccm nilikuwa najua ni kodi za wananchi wa tz, kama ni hivyo itabidi cdm wajitahidi kuwafadhili mawaziri vivuli wawe wanaenda.
  13. C

    Minister of Energy & Mineral Resources, William Mganga Ngeleja SLEEPING in 2011 EITI Meeting

    Kwanza walio na jukumu la kumlinda rais sijui wanatuambia nini kuhusu usalama wake katika mazingira kama haya? pili ukiwaangalia rais na waziri usoni wamechoaka mbaya. Ila kwavile rais alishawahi kuwa mwanajeshi kamshinda ngeleja kwa kutumia mbinu za midani asisinzie kama mwezake anazuga kwa...
  14. C

    Waziri Sophia Simba aumbuka Channel 10!

    Hii ndio tafsiri mpya ya uwajibikaji wa pomoja iliyotolewa na awamu ya nne ya uongozi wa tz. So they are just practicing it.
  15. C

    Mahakama yazuia mkataba wa TANESCO, DOWANS!

    Naam! ni uzembe wa mwenye pakacha kwani mipango yote ilifanywa kwa kuweka tamaa mbele na papara bila umakini na kuna kila dalili chini ya mbingu hii kuwa mitambo itawadodea.
  16. C

    Mahakama yazuia mkataba wa TANESCO, DOWANS!

    Kama watakuwa wamefanya hivyo na ikajulikana kuwa ni kweli, si ndio inawapa justification wale wanaowalaumu kuwa wanataka kuwang'oa isivyo halali kwenye madaraka. Kuvuja kwa pakacha.............!
  17. C

    Mahakama yazuia mkataba wa TANESCO, DOWANS!

    Good news na mpaka hiyo tarehe mvua zitakuwa zinanyesha, hoja ya mabwawa kukauka maji haitakuwa na mashiko. Itabidi waanze kuumiza vichwa waje na hoja nyingine. Ukijua hili na wenzako wanajua jingine tz inatubidi twende kwa mtindo huu.
  18. C

    Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011

    Hivi katiba ya tanzania inasema je juu ya rais kushindwa kazi yake? Mwenye kujua naomba anijuze kwani nafikiri hakuna kipindi kingine ambacho kifungu hicho kitahitajika kama wakati huu ambapo ni mpumbavu tu ndiye hawezi kuelewa kuwa rais wetu huyu ameshindwa kazi ya kutuongaza.
  19. C

    Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011

    Like a candle in the wind just to add on that, your quite right we are tired of this presedent. Hatuna matumaini kabisa ya maisha yetu katika kipindi chote cha utawala wake.
  20. C

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Tatizo lake ni kama wewe na wengine wa aina yako mnavyotumiwa, kwa kujua au bila kujua lakini kwa maslahi pamoja ubinafsi wenu. Hili ndio tatizo lenyewe, watu wamenunuliwa kutoka sekta mbalimbali kupigia chapua dowans, sasa kwa nini iwe hivyo kama hamna tatizo, tatizo lipo ila rushwa imewatia...
Back
Top Bottom