Search results

  1. Inamonga

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Misugusugu

    Unafika waamuzi secondary?
  2. Inamonga

    Nyloni za kuhifadhia maji

    Habari ndugu. Naulizia zile nyloni ambazo hutumika kwenye mabwawa ya samaki. Zinapatikana wapi na bei yake ikoje? Mimi niko Dar
  3. Inamonga

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Mbegu za kisasa kilo moja bei gani na zinapatikana wapi?
  4. Inamonga

    Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Hahahaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Inamonga

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Hili zoezi linatakiwa lifanyike ndani ya miaka 3. Mm siwezi kupoteza siku nzima niko kwenye foleni ya nida bila mafanikio yeyote. Wacha wazime, potelea pwetee... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Inamonga

    KUKU WAKUBWA

    Bei ni tsh. 10,000/= kwa kila mmoja.
  7. Inamonga

    KUKU WAKUBWA

    Nauza kuku wakubwa aina ya Kroila wapo 20(jogoo tupu)., Wana Miezi 4. Kienyeji pure, (jogoo tupu) wapo 10, Miezi 6.5 Nauza wote kwa jumla. Niko bunju B, Dsm Cm: 0757891894. Nb. Kuku ni wakubwa kuliko wanavyo onekana kwenye picha.
  8. Inamonga

    Msaada: Natafuta soko la kuku aina ya Kuroiler

    Uzito unao takiwa sikoni ni up? Bei yako? Una uwezo wa kuchukua KUKU wangapi kwa siku?
  9. Inamonga

    Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

    Wakuu maeneo ya pwani kama Mkuranga naweza kulima ndizi mshale zikakubali vzr..? Naona huku wengi wanalima ndizi sukari tu, sijajua tatizo ni nn?
  10. Inamonga

    TALA Tanzania ndio walioiponza Vodacom Tanzania

    Sasa kama hawakopeshi tena, kuna haja ya kulipa deni?
  11. Inamonga

    TALA Tanzania ndio walioiponza Vodacom Tanzania

    Duh.. Jamaa wanavitisho balaa.. HV hakuna hata mmoja aliye kamatwa kwa kushundwa kulipa deni atupe uzoefu inakuwaje?
  12. Inamonga

    TALA wala rungu la TRA

    Mimi nimechelewesha Mkopo wao, wameniongezea deni kwa tsh. 33,000/= na kunipa wk moja niwe nimesha lipa.. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Inamonga

    Soko la choroko

    Vipi Mkuu mnanunua Choroko muda wote au kuna kipindi maalumu tu..? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Inamonga

    Msaada kwa anayejua dawa ya kuondoa weusi chini ya macho

    Hapana sijawahi kujichubua. na hali hii imeanza kunitokea mwaka huu..
  15. Inamonga

    Msaada kwa anayejua dawa ya kuondoa weusi chini ya macho

    Habari ndugu zangu.. Naomba msaada wenu kwa anaye jua dawa/lotion/sabuni ambayo itanisaidia kuondoa weusi chini ya macho..
  16. Inamonga

    Nini kiliua zao la alizeti?

    Mkuu unaweza nisaidia kupata mbegu bora ya alizeti? Singida maeneo gani inalimwa kwa wingi?
  17. Inamonga

    Gari lipi linafaa mazingira haya

    Hii ni zaidi ya gari kaka.. Hili ni jiwee..!! Ila ujipange kwenye bei yake..
Back
Top Bottom