Search results

  1. MwanaHaki

    BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

    Afadhali umeliona. Ningesema mimi ningeambiwa nina chuki binafsi! #MagumashiTu
  2. MwanaHaki

    Habari Njema kuhusu Tundu Lissu: Atoka chumba cha upasuaji akiwa vema

    Si rahisi #MwanaMteuleWaMungu akauwawa kizembe! Ila NJAMA ZAO tunazijua! Nimeona isiwe tabu. Nawatolea uvivu hao Makuwadi wa Vita! Kasome hapa! --> FUKUTO LA BAE!
  3. MwanaHaki

    Yametimia na bado wengi mtarudia kauli hii ya Lissu

    THE DAMNED INTERNATIONAL COMMUNITY ni complicit in ALL human rights violations in Tanzania. BASICALLY if we WANT to be free, we MUST in the new constition of THE PEOPLE of THIS LAND, declare that WE HAVE SECEDED from: The United Nationa The Commonwealth Community and The Geneva Convention...
  4. MwanaHaki

    Serikali yaleta wataalamu kutoka China kudhibiti mitandao ya kijamii kama YouTube, Facebook

    YAANI kama ni kuangukia kwenye UPANDE MBAYA KULIKO WOTE, kweli SASA tunaushuhudia UDIKTETA ULIOKITHIRI, na sio UDIKTETA UCHWARA! Mungu atunusuru KWANI LAZIMA TUANDIKE KATIBA YA WANANCHI!
  5. MwanaHaki

    The ACACIA mining (barrick gold) saga

    You are PERPERTUATING THE LIE that Tanzania NEEDS investors to survive!!! NO! We DONT! We need PARTNERS not THIEVES! We dont have INVESTORS! We have THIEVES! And FYI we are confiscating EVERYTHING they "invested"! This was the SECOND GREAT PILLAGE after the initial one sanctioned by the League...
  6. MwanaHaki

    Nionavyo ni kama Jeshi la Polisi linaihujumu serikali ya Magufuli kwa makusudi au kwa kutokujuwa.

    Sijasikia ACCACIA wakijitetea, namsikia Mtanzania Tundu Lissu akiwatetea! | Gazeti la Jamhuri
  7. MwanaHaki

    Nionavyo ni kama Jeshi la Polisi linaihujumu serikali ya Magufuli kwa makusudi au kwa kutokujuwa.

    Wanyonge ni pamoja na ACACIA MINING anaowatetea kisheria Mahakamani.
  8. MwanaHaki

    Deni la ACACIA: Mdau mmoja wa kigeni kanena haya mtandaoni

    UWEKEZAJI au WIZI wa MCHANA?
  9. MwanaHaki

    TRA yafunga maduka Iringa

    Wamewaacha MAPAPA wa MAKINIKIA wakitumbua na helikopta, kazi Shinyanga, lunch Hyatt Regency DAR ES SALAAM, then wanarudi Shinyanga, na usiku wanaenda kulala Hyatt! EBOOO! @TRA mkoje? Yaani mnanyanyasa WENYE NCHI na kuwaacha MAFISADI-MAKINIKIA wakitumbua na kutugeuza SHAMBA LA BIBI? Nyieeee...
  10. MwanaHaki

    Binamu wa mke wangu anaondoa amani nyumbani kwangu

    Rahisi! Jifanye rafiki wake kisha mpige picha wote. Itume kwa ndugu zake (hao hao mashangazi zake) waulize kama wanamjua na JE ana desturi au ana ruhusa ya kuwa na mazoea hayo na mke wako? Pili, mwambie mkeo kwamba KUNA MFANYAKAZI WA NDANI hivyo HUTAKI nguo zake zipigwe pasi na huyo kidudumtu...
  11. MwanaHaki

    Serikali muwe makini, Vyombo vya habari vya nje vinajaribu kuharibu jina la Tanzania

    Kifyatu USITAKE NIKUITE MBUMBUMBU! Hueleweki! Soma hati ya mashtaka hii hapa kisha uelewe Lissu yuko ndani kwa tuhuma zipi? Wewe ndiye mmojawapo wa wale wanaosema "anayekutwa na ngozi ndiye mwizi", wakati kumbe kainunua machinjioni!!! Onesha Hekima Zako! FICHA upumbavu wako!
  12. MwanaHaki

    KISUTU, DAR: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani Kisutu, akosa dhamana

    HATA MIMI NIKIKAMATWA KWA UCHOCHEZI nitaenda Mahakamani NIKITABASAMU na KUCHEKA kwa furaha. WATAKUWA WAMENIPA BONGE LA KICK! UCHOCHEZI ni sifa. Ina maana UMEWAGUSA sehemu husika... Tunasema UMEGONGA IKULU! Umewavua nguo na kuwaacha UCHI WA MNYAMA! Mnajua sifa za madikteta? Hizi hapa...
  13. MwanaHaki

    The ACACIA mining (barrick gold) saga

    COPIED VERBATIM FROM: Tanzania Business Ethics Report to President Dr. John P. Magufuli about the threat letter from Acacia Mining February 26, 2017 Acacia Mining, Barrick Gold, Brad Gordon, bulyanhulu mine, buzwagi mine, Endeavour Mining, John Magufuli, Kelvin Dushnisky, north mara mine...
  14. MwanaHaki

    Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

    Nimeipenda hiyo hapo kwenye RED! Nioneshe ilivyo MAMA!
  15. MwanaHaki

    Kweli nimetendwa mie

    Hayo maimplants yana mwisho wake. Yatachakaa yatachina yatachuja Ridhika na alichokupa MUNGU! Hakitakuletea maradhi. Asojua uzuri wako huyo siye wako. Utampata wako ambaye hatasifia wa nje. Atakuona wewe tu. Wa macho-mia mia haramu.
  16. MwanaHaki

    Nisadieni wakuu; Tumetofautiana imani na wazazi hawataki hata mmoja wetu abadili dini

    MENGI huyajui lakini UTAFUNGULIWA! Nitafute PRIVATELY nikuelimishe.
Back
Top Bottom