Search results

  1. muhosni

    Sijawahi kufikiria kuwa nina MAYOR kama huyu

    Hebu fafanua unamaanisha nini kwamba anapenda zaidi attention kuliko kuwajibika. Utaka kusema Jerry Silaa alilazimisha kutoa hiyo barabara inayopita Ikulu ili wakati Obama anakuja apewe fursa ya kuikabidhi kama Meya wa Kinondoni alivyokabishi Old Bagamoyo road kwa Kibaki? Una maana kwamba Jerry...
  2. muhosni

    Mh pinda very weak prime minister ever happened in tanzania

    Binadamu wote ni dhaifu
  3. muhosni

    Mh pinda very weak prime minister ever happened in tanzania

    Mkuu imekaaje hii lugha ya Malikia? Hebu jaribu kuweka tafsiri ya Kiswahili kidogo utusaidie sisi tusiojua Kiingereza.
  4. muhosni

    Kutoka Arusha: wabunge wa CHADEMA ndio wanapelekwa mahakamani

    Hivi hawa wanamuziki wabwiya unga wanapoofariki wanafanyiwa maziko ya kifalme huwa wanaomba kibali polisi. Mtu anaweza ku scan na kubandika hapa kibali kilichotolewa na Polisi kuhusu msiba wa Kanumba, Ngweya na Linga?
  5. muhosni

    Lwakatare atapokelewa kama mfalme Bukoba mjini.

    Huyo lwakatare kichwa cha panzi. Watu wanahangaika na Arusha yeye anahamishia nguvu Bukoba?
  6. muhosni

    Mh. Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu!

    Ameshapelekewa ushahidi wa yule mama mjamzito aliyepigwa risasi kule Mtwara? Wakina mama waliobakwa na polisi? Nyumba zilizochomwa moto na polisi? Chagonja sets the stage. Anachosema Chagonja ndicho atakachosema Mwema na ndicho atakachosema Pinda na JK. Angalia kumbukumbu sawa sawa, likitokea...
  7. muhosni

    VIDEO: Rais Kikwete awajibu wanaoponda safari za nje ya nchi

    Tatizo siyo kwamba tanzania isisafiri nje, bali rais asifanye kazi ya waziri wa mambo ya nje. Safari hizo ni kazi ya waziri wa mambo ya nje. Safari zingine anakwenda kuhudhuria semina ambazo ni jukumu la maafisa wa serikali wala siyo mawaziri
  8. muhosni

    Mabomu ya Arusha,tunacheza ngoma tusiyoijua,kumbe ni ufadhili wa mataifa ya nje!!!

    Hii habari ni ya uongo ya kutunga, ama uonekane eti unajua intelijensia au kupotosha ukweli. Kwa mfano, hiyo habari ya kwamba eti mbowe alikimbilia kituo cha polisi kuwaomba waje kusaidia kutuliza fujo nimeisikia kwa mara ya kwanza leo asubuhi Chagonja akisema alipokuwa anahojiwa na Radio One...
  9. muhosni

    Bungeni: Kigwangalla amfundisha Mbowe hekima

    Kigwangwala ni janga la kitaifa. Hata sikuelewa alichoongea cha maana ni nini. Yeye akiona majembe kama Mbatia, Seru----, na Mpina wanatangaza kutounga bajeti mkono naye anadhani akijiropokea hivyo bila hoja atakuwa maarufu.
  10. muhosni

    Arusha: Kijana wa CHADEMA aliyelazwa hospitali, ahusishwa na ulipuaji bomu

    Msomali amekabidhiwa Chama, mnatarajia nini. Siasa yote itakuwa ni mabomu na risasi hadi Somalia ionekane nchi ya amani kuliko Tanzania
  11. muhosni

    Full text: Hotuba ya kambi rasmi ya upinzani (wizara ya ardhi) na. Mhe. Halima mdee

    Kitu kama hiki kimetulia siyo cha kusoma kwa pupa, ni reference ya mambo mengi mbeleni
  12. muhosni

    MBATIA: kauliza bungeni kuhusu ruzuku kwa taasisi za kidini

    Kauliza saa ngapi? Mbatia hajaongea bungeni leo
  13. muhosni

    Gazeti la Majira: CUF walaani Udini unaodaiwa kuenezwa na Mwenyekiti wake

    Walioandaa muhadhara ndio wenye makosa. Profesa alisahabu miwani ofisini hivyo hakuona kama anarekodiwa kwenye kidewo. Walitakiwa wamuase kabla hajaanza kujilipua hivyo
  14. muhosni

    CAG: Wizara ya Utalii na Bodi ya Utalii

    8.1.6 Kutokuwepo Mwongozo Unaoelekeza Maagizo ya Wizara Yanayotakiwa Kutolewa kwa Mashirika Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) ni shirika huru ambalo limeanzishwa kwa mujibu wa sheria ya Bunge yaani Sheria ya Bodi ya Utalii Tanzania, CAP 364 ya mwaka 1962 na kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka...
  15. muhosni

    Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

    Huwa mnamkutaga wapi huyo Mzee Mtei? Huwa anaongea na gazeti lenu pekee?
  16. muhosni

    Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

    Kazi aliyofanya Ben Saanane siyo tu kwa manufaa ya chadema bali taifa zima. Ameifanya peke yake kwa gharama kidogo. Chuki za udini, ukabila na ukanda zilizopandikizwa na PM7 kama zingeachwa zikomae zingepelekea umwagaji damu mkubwa Tanzania hasa kwenye Uchaguzi mkuu. Ben ametuhakikishia...
  17. muhosni

    January Makamba: Waliozaliwa kabla ya 1961 waachane na wazo la Urais 2015!

    Alisema pia kwamba inabidi vijana wawahoji viongozi wazee wametufikishaje hapa tulipo bila maendeleo wakati Tz nitajiri wa rasilimali na amani Hii ni ubaguzi mbaya zaidi. Itapelekea kuchinjina siyo tu vijana kuchinja wazee bali hata vizazi vya viongozi hasa yeye mwenyewe January
  18. muhosni

    Hafla Ikulu, JK akihutubia GAVI Partners - TBC1

    Inaendelea sasa hivi, anatoa takwimu za maendeleo Afya Tz
  19. muhosni

    Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

    Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, kura zimepangwa kwa mikoa na wakati wa upigaji hakuna usiri hivyo yeyote mwenye nia ya kupiga kura ya hapana ataona aibu
Back
Top Bottom