Search results

  1. M

    Babu wa Loliondo afungiwa kwa muda kutoa huduma...

    :A S 13:Ukweli hiyo siyo ndumba wala utapeli wa kujitafutia pesa, kwani kama angekuwa anataka pesa angekamua pesa kibao kwa wagonjwa lakini yeye anachukua sh.200/- tu na sh.300/- kwa wanaomsaidia kazi kama kuchemsha dawa, kuchuma dawa, kuosha vyombo na kupokea pesa. halafu mpaka wakuu wa nchi...
  2. M

    Baba jirani kanipa gari mchumba wangu akaamua kuniacha

    Kaa tayari ujiandae kutongozwa na huyo baba, naona amekuchunguza kwa muda mrefu na akawa akikupenda moyoni mwake lakini alikosa chance ya kukuanzia sasa siku hiyo ukaingia ndani ya 18 yake. Ukichukua hiyo gari jiandae kulipa mapenzi maana inaonekana pesa kwake siyo tatizo!! Take it, kwani...
  3. M

    Zitto atoa mwongozo wa kauli

    :msela:Ukweli karibu 70% ya wabunge wapo bungeni kwa maslahi binafsi hilo tunalijua, kwahiyo si ajabu wakaweka ndugu, jamaa na marafikii yao mbele!
  4. M

    Zitto atoa mwongozo wa kauli

    :msela:Ukweli karibu 70% ya wabunge wapo bungeni kwa maslahi binafsi hilo tunalijua, kwahiyo si ajabu wakianza ndugu, jamaa na marafikii zao mbele kabla ya speech!
  5. M

    Shibuda ashangiliwa na wabunge wa CCM

    ni vema chadema wajue kuwa shibuda ni nyoka ndani ya chama, yule ni kada wa ccm ndani ya chadema CCM imeweka makada 2 miongoni mwao mmoja ni shibuda:embarrassed:
  6. M

    Nauza photocopy canon 6216 bei ya kusafisha stoo

    Machine hii ilikuwa ikifanya kazi lakini ikawa stoo kwa muda mrefu hivyo panya wakaingia ndani, kwa mafundi inawafaa sana kwa spea bei sawa na bure call me 0787 481056
Back
Top Bottom