Gari ya auto lever inaweza kuingia R ikiwa kwenye mwendo lakini aiharibu gear box. Vilevile gia R huwezi kuitumia ku counter rev gear box endapo brake zimefail.
Kwa gari ya manual haiingii kabisa. Hii imeshajaribiwa na jamaa wa MYTHBUSTER!
Yaani Wabongo ni wavivu sana, upo kwenye mtandao halafu unashindwa kuperuzi Samsung H6400 ina kioo cha ukubwa gani unakalia kupost tu!
Haya basi Samsung H6400 Series 6 ni 48".
Ndugu wanajamvi,
Katika kipindi cha miezi 3 kuelekea uchaguzi mkuu wa taifa 2015, ajali za barabarani zimepungua kwa kiasi cha kuridhisha. Je hizi zinaweza kuwa sababu:
1. Madereva wamekuwa makini kwa kuwa wanataka mabadiliko hivyo wanaendesha kwa umakini ili wasiwapoteze wataka mabadiliko...
Kwanza nikuulize mtoa mada, utajiri unauelewaje? Ukisikia mtu ni tajiri, je hiyo ni sawa na nchi tajiri?
"Tanzania ni nchi yenye utajiri lakini watu wake ni masikini" unauelewaje huu msemo. Ukiweza kujibu haya maswali ndio tuendelee na hoja ya kudanganywa mchana.
Mkuu, kwanza nikushukuru kwa kujaribu kufafanua kwa nini yana milango pande zote.
Ufafanuzi yakinifu ni huu hapa. Haya mabasi yana milango pande zote kwani yanategemewa kutoa huduma hata mahali pasipo na miundombinu ya BRT. Hivyo basi kwa kuona mbali na mahitaji ya usafiri, waendeshaji wakaona...
Kuna watu wanajaribu kutufanyia utafiti eti Mh. Magufuli atashinda. Hizo ni propaganda za CCM kujaribu kuendelea kukaa madarakani.
Shime wananchi, tumia kura yako kuhakikisha unafanya chaguo sahihi.
Habarini wanajamvi,
Ni muda wa miaka 20 sasa tangu Tanzania ianze kushuhudia vuguvugu la vyama vya siasa.
Nakumbuka mwaka 1995 Mhe. Augustino Lyatonga Mrema alileta amsha amsha katika siasa za Tanzania. Mgombea huyu kupitia NCCR alikuwa ni tishio kwa CCM. CCM ilifanya kila hila kuhakikisha...
In summary.
Namba arobaini ni namba ya maajabu. Imehusishwa na sayari ya Venus ambayo ni sayari mama (jike) yenye uhusiano na uzazi na kifo. Ndio maana mtoto akizaliwa anasheherekewa baada ya siku arobaini kwa kuwa amekubalika kuishi duniani. Vivyo hivyo katika kufa ni baada ya siku arobaini...
Wasalaam wanajamvi,
Kuna msemo wa Wahenga usemao "Siku za Mwizi Arobaini". Msemo huu unaunganisha matendo yasiyofaa na namba arobaini. Kwa nini arobaini. Arobaini ni namba 4 kwenye makumi, ni kiwakilishi cha magumu watu wanayopitia na ni namba ya hukumu.
Namba Arobaini imetumika sana hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.