Search results

  1. Yiyu Sheping

    Evarist Chahali: Kinana amenidhulumu shilingi milioni 12.5

    Haahaaa laaa laaa!!! Wengine hulipwagwa humu eeh!!!, kuanzia leo ndio na anza kustuka "uzalendo hauliwi" Hii kauli mbiu ya uzalendo hauliwi ya wezekana ndio iliokuwa ikitumiwa na wale waliotuingiza katika mikataba ya ajabu kwelikweli.
  2. Yiyu Sheping

    Serikali yashinda kesi ya Kanuni za Maudhui Mitandaoni

    Sengerea kama iko DSM heri yetu tulio China maana serikali haitumia fedha zake hovyohovyo kwa safari za nje ya nchi.
  3. Yiyu Sheping

    Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM(NEC) imeridhia ombi la Ndg. Abdulrahman Kinana kustaafu wadhifa wa Katibu Mkuu wa chama

    Ni kweli wakati akiwa JWTZ taaluma yake ilikuwa ni PEO na alikuwa mwenyekiti wa jumuiya ya chama jeshi. Wakati huo jeshi likiwa moja ya jumuiya za chama?
  4. Yiyu Sheping

    UDSM: CHADEMA yaibuka kidedea uchaguzi wa DARUSO

    Vyuoni hakuna siasa kwa hiyo useme serikali imeshinda. Vipi hali ya uchumi huko Tanzania? Huku China uchumi umepata malale/sleeping sickness.
  5. Yiyu Sheping

    CHADEMA: Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa lini?

    Lazima nigombee uwenyekiti taifa safari hii kupima jinsi demokrasia ambavyo imeota mizizi kwa mchina kukubalika si mmatumbi , mchina cdm na sitakubali ile demokrasis ya kuombwa na wazee kuondo jina langu ni mpishe mchagga.
  6. Yiyu Sheping

    Niijuavyo Freemasonry

    Wewe Athumani ids zako ni ngapi hapa jForum? Ana watumia ya Whatsup group ama ya idarani taarifa? Ama zote?
  7. Yiyu Sheping

    Rais Magufuli awakemea TRA kwa kuwanyanyasa wafanyabiashara kwa kisingizio cha kodi

    Naomba kuuliza kodi ya majengo inawahusu nani kati ya wenye majengo na wafanyabiashara. Je wenye majengo ni wafanyabiashara au wenye majengo au wote? Kwa maana ya wafanyabiashara na wenye majengo na wote. Je wanasiasa wanamajengo?
  8. Yiyu Sheping

    Uzi maalumu: Picha Tu za maendeleo mbali mbali ya ujenzi Tanzania nzima chini ya Rais Magufuli

    Hata awamu ya nne walikuta ndege iko runway imeshachochea injini zote inasubiri kupaaa.
  9. Yiyu Sheping

    Dili la suala Energy kununua Pan Africa Energy: Ikulu iache kiherehere

    Huyu Swala ni wa sengereti au mikumi au ulaya?
  10. Yiyu Sheping

    Kamanda Lowassa avaa gwanda kwa maandalizi ya uzinduzi wa kampeni za Kinondoni leo

    Kwa umri wake ndio ananza kuvaa gwanda sasa? Angejifunza kwa hayati Castro wa Cuba uzee ulipo mkabili aliachana na Gwanda na amekufa akiwa anavaa masharti ya bahamamama na msuli.
  11. Yiyu Sheping

    Miaka (2) ya rais Magufuli yakithiri matukio ya ajabu ajabu, ukilinganisha na miaka 51 ya awamu (4) zilizopita

    Kuna wakati kama taifa tulisifika ulimwenguni kote kwa mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi/maalibino.
  12. Yiyu Sheping

    Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

    Wewe ni slow learner?,hata hivyo ngoja nione nitakusaidia namna fani? Mchina wajF. Na washawasha!
  13. Yiyu Sheping

    Pamoja na Kurugenzi ya fedha Acacia kusema haina pesa ya kulipa bado tuna imani kubwa na wataalamu wetu!

    Hata mwezi may tulitangaziwa mwanasheria wa accacia yuko londoni kufungua kesi, mwezi wa oktoba sasa unaisha hatuja iona hiyo kesi. Kumbe hawa viumbe wazungu wakishikwa wizi wanaweweseka hivi si kulijua hili. Asante mh Rais wa JMT. Mchina wajF. Na washawasha.
  14. Yiyu Sheping

    Kwanini Acacia wasiiuzie Tanzania mitambo ya kuchimbia madini ili ichimbe yenyewe?

    Akili za Richmond utazijua tu. Mchina wajF. Na washawasha!
  15. Yiyu Sheping

    Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

    Kwa hiyo serikali imeongea na yule prof wa Barrick na kumuomba ashirikiane nao kututapeli. Mimi ni nacho jua accacia lazima waweweseke maana wenye shea zao watataka kujua nani kawaingiza katika hii dhahama na anachukuliwa hatua gani? Ndipo sasa unasikia hatulipi or hatuna fedha lakini mwisho wa...
  16. Yiyu Sheping

    Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

    Wajue kuwa wana uwekezaji unaozidi hizo fedha na uzuri wenyewe uko hapahapa Tanzania. Mchina wajF. Na washawasha!
  17. Yiyu Sheping

    A Compromised Possibility: Iweje Ripoti ya Kamati ya 2 iibukie Acacia-London kabla ya kwa Magufuli?

    Habari ndefu na hoja mufilisi. Hivi wale wajumbe wa Barrick ambao walifika 25 kama tulivyo taarifiwa hawakujua walichokuwa wana kijadili? Au niulize hivi yale yaliyokuwa yanajadiliwa na Barrick mmiliki wa accacia, accacia alikuwa hahusiki au hashirikishwi? Eti mtu leo anashangaa accacia...
  18. Yiyu Sheping

    USD 300 Million, Pro-Govt, Barrick Gold na Tundu Lissu

    Acha ujinga bwana shige? Ujinga ni kutolea mifano kesi za TANESCO za kujishindisha kama sehemu ya ulaji. Kwa nini mwashindwa kuushinda unafiki? Mchina wajF. Na washawasha!
  19. Yiyu Sheping

    USD 300 Million, Pro-Govt, Barrick Gold na Tundu Lissu

    Mbona tena umesahau kumtaja Lissu katika hii post maana ndio kipimo chenu. Nime uliza hayo tuliyo ya sikia jana ya kimaterialize hizo data ambazo unazikusanya zina sema je? nchi itanufaika ua hainufaiki? . Hebu angalia hiyo balance sheet ya Barrick wakitoa hizo 300 usd million tena kwa hiari...
Back
Top Bottom