Search results

  1. NYENJENKURU

    Nipo safarini naenda Bukoba kikazi. Mwenye kujua lodge au hotel nzuri tafadhali

    Bukoba Orient Hotel Elct Bukoba Hotel and Tours Balamaga B&B Bukoba Kolping Hotel Walkgard Hotel
  2. NYENJENKURU

    Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    HII NI HATARI NANUSU
  3. NYENJENKURU

    Msanifu wa jengo ni Mtanzania ila alichofanya bora tungechukua Mwarabu

    5 Star Hotel Amenities Elegant rooms with living rooms, kitchens, and patios In-room jacuzzi tub Designer linens and bathrobes Golf courses Spas with nail and hair salons, massage options, and facials Pools, hot tubs, steam rooms, and saunas Top-of-the-line fitness center and coaches Premium...
  4. NYENJENKURU

    Stendi mpya ya mabasi Nyegezi yaanza kazi, ni zaidi ya Airport

    ISSUE NI SUSTAINABILITY NA MAINTENANCE FULL STOP(5 YRS UTASHANGA ITAKAVYOKUWA)
  5. NYENJENKURU

    Mwigulu mtu mwingine aisee

    KAUZA TIMU YAKE YA SINGIDA BIG STARS KWA FOUNTAIN GATE FC
  6. NYENJENKURU

    Tuhuma za kughushiwa saini mkataba wa kuuza bandari mbona hazijadiliwi?

    Hapa alishavurugwa shekh .,hivi mission ikifeli hawa waarabu nitaambia nini?MAANA UKILA CHA MTU NWA LAZIMA ULIWE
  7. NYENJENKURU

    Nimechaguliwa kujiunga na AZANIA SECONDARY SCHOOL A-LEVEL 2023 wanaoijua mnisaidie hapa

    Pale mimi nilipita hapo miaka 1990(PCM) ,ilikuwa safi sana.Kulikuwa na commbination moja tu,ila nasikia sasa hivi zipo kibao.Nakuomba usome dogo maana hapo umezungukwa na Jangwani girls na ndani ya fenci ya Azania kuna hostel za Zanaki..Nafikiri umeeelewa
  8. NYENJENKURU

    Uteuzi mpya wa Rais Samia, leo Juni 8, 2023, Prof. Abel Makubi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa MOI

    Kwangu mimi ni maoni yangu naona Prof Makubi kahushwa choe maana alianza kuwa CMO(MGANGA MKUU WA SERIKALI) baadae akapandishwa kuwa Katibu Mkuu wizara ya Afya.Sasa kuridi kuwa mkurugenzi wa MOI ni demotion ya hatari ila mshahara wake wa mwisho akiwa katibu mkuu unaweza kubaki kama ilvyo
  9. NYENJENKURU

    Mwenye Nyumba ameleta mganga wa kienyeji anatulazimisha tulambe unga anahisi kuna mchawi kwenye nyumba yake

    Nenda ofisi za ustawi wa jamii,hizo ndo kazi zao .Kwanza lazima awe na kibali cha kufanya kazi ya uganga,pili lazima apitie serikali ya mtaa husika.Je yote yamegfanyika?Kama hayajafanyika karipoti ustawi wa jamii watakaupa msaada. Mwisho jipange kuhama
  10. NYENJENKURU

    Kimenuka huko Afrika Kusini

    WALIZOEA KUNYANYASWA SASA NAONA NA WAO WANATAKA KUNYANYASA WENZAO
Back
Top Bottom