Search results

  1. M

    Jifunze English tenses kwa Kiswahili

    Father, what is my birth position?
  2. M

    Wenye uwezo wa kufundisha, njoni tuchape kazi

    mkuu chukua tu, hakuna uchoyo katika elimu. Mimi nina darasa langu, kupata walimu imekuwa tabu sana ndo nikapata wazo hili, nimetafuta cd za hivi napata za kizungu tu na wabongo tushazoea wabongo wenzetu.
  3. M

    Wenye uwezo wa kufundisha, njoni tuchape kazi

    kituo tayari, ndo natafuta walimu.
  4. M

    Wenye uwezo wa kufundisha, njoni tuchape kazi

    ni pm namba yako ya simu.
  5. M

    Wenye uwezo wa kufundisha, njoni tuchape kazi

    na wewe umo kwenye project mkuu, karibu. ni pm namba yako ya simu.
  6. M

    Wenye uwezo wa kufundisha, njoni tuchape kazi

    nipo dar, nitumie namba yako ya simu kwa pm.
  7. M

    Majibu ya Ikulu juu ya tuhuma za UKAWA kuhusu Mkakati wa kutumia Media kwa kampeni ya kura ya NDIYO

    hivi hata wale watakaokuwa wakiipinga katiba inayopendekezwa nao watapatiwa fedha za kampeni??
  8. M

    Wenye uwezo wa kufundisha, njoni tuchape kazi

    Asalaaaam wanaJF, ninafanya project yangu ya kurekodi vipindi vya masomo kwa ajili ya kufundishia kwa njia ya mtandao, hivyo basi nahitaji watu wenye uwezo mzuri wa kufundisha, wenye uelewa mpana wa kufundisha na wenye uwezo mzuri wa kujieleza kwa ufasaha. Masomo yote ya sekondari na shule ya...
  9. M

    Kazi ya hotelini.

    tuma CV kwenye email nilotaja, nimepata email ila haijaandikwa kitu hope ni wewe.
  10. M

    Kazi ya hotelini.

    vigezo na mashariti kuzingatiwa.
Back
Top Bottom