Search results

  1. J

    Kubenea apandishwa Mahakamani leo

    Tunawaombeni mtupe CV ya DC Paul Makonda
  2. J

    Kubenea aibua Ufisadi wa Billion 1.2

    Batilli bado unamkumbuka Dr Wilbrod Slaa? Wanachadema walishamfuta akilini mwao yaani ni sawa na marehemu tu. Mtafute akugawie pesa alizochota Lumbumba. Sisi tunasonga mbele pamoja na kutuulia Kamanda Alphonce Mawazo (RIP).
  3. J

    Nina wasiwasi na Naibu Spika kama atalihimili bunge

    Kidibwe naomba ufahamu kuwa Reginald Mengi hausiki na Muhongo kungoka uwaziri bali ni yule Tumbili mliyemfanyia mizengwe asirudi Bungeni lakini wanufaika wote wa Escrow wamerudi. Tunasubiri kwa hamu mahakama ya majizi ili watuhumiwa wote kuanzia Mohongo; Maswi; Werema; Mbena (Kawa mbunge)...
  4. J

    Wabunge wa upinzani hamjatumwa bungeni kuzomea

    Dr Tulia Ackson alishindwa kujibu swali la Mheshimiwa Silinde ndipo Ndugai akamuokoa kwa kumuambia akakae. Zomea zomea ikafuata amebebwa....amebebwa....amebebwa......
  5. J

    Taarifa ya Edward Lowassa juu ya hali ya kisiasa Nchini na Mustakabali wa Zanzibar, Nov 15, 2015

    Supported 100% Minyoo. Hawa Simiyu Yetu na HamyD they don't think beyond their noses. Tunataka washtakiwa wa Escrow kunzia Werema; Muhongo; Maswi na wenzao wote wafikishwe Kisutu kama Mramba na Yona hatuhitaji miujiza wala washauri toka Ulaya. Simple PCCB walishakamilisha upelelezi siku nyingi...
  6. J

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Mudawote; Mawazo na Kishimbe wa Kishimbe. Mkae mkielewa kwamba siku zote aliki ndogo haiwezi kuitawala au kuiongoza akili kubwa. Mawazo ya kibajajibaji au Kilusindelusinde ni ya kiubabaishaji acheni ushabiki usiokuwa na tija kwa Taifa Letu kuelekea 2020. Ule uchaguzi wa mwanzo wa Busanda...
  7. J

    TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    Huyu Mzee wetu alitumia mwavuli wa Ukawa akateuliwa kugombea ubunge Masasi lakini alikuwa hakubaliki na alizomewa mbele ya Duni Haji na Lowassa pia. Wananchi wanamkubali kijana wa CUF na waliapa kumpigia kura mgombea wa CCM pamoja na kwamba hawaipendi. Mojawapo ya sababu za BP ni hizo. Jamani...
  8. J

    Kwanini tumpuuze Dr. Slaa na Mwakyembe?

    Saed Kubenea kamaliza kila kitu majuzi huko Kyela nyumbani kwa Makyembe. Tafuta speech yake youtube.
  9. J

    Mshindi wa kura za maoni CHADEMA Bunda aliyekatwa na CC, ahamia CCM

    CHAMA CHA DEMOKRASI NA MAENDELEO MKOA WA MARA KINAWAFAHAMISHA KUWA WAFUATAO WAMESIMAMISHWA NAFASI ZA UTENDAJI WA CHAMA WILAYA YA BUNDA KUANZIA TAREHE 15/08/2015 1. ALFRED SAMWEL IMANANI - MWENYEKITI WA JIMBO BUNDA 2. RITHA SALVATORY IKANDILO - KATIBU WA WILAYA 3. EMMANUEL MACHUMU MARIBWA -...
  10. J

    CHADEMA Bunda Mjini 2015, Kama anguko CCM Iringa Mjini 2010

    CHAMA CHA DEMOKRASI NA MAENDELEO MKOA WA MARA KINAWAFAHAMISHA KUWA WAFUATAO WAMESIMAMISHWA NAFASI ZA UTENDAJI WA CHAMA WILAYA YA BUNDA KUANZIA TAREHE 15/08/2015 1. ALFRED SAMWEL IMANANI - MWENYEKITI WA JIMBO BUNDA 2. RITHA SALVATORY IKANDILO - KATIBU WA WILAYA 3. EMMANUEL MACHUMU MARIBWA -...
  11. J

    Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

    Mtimbo fahamu Richmond na Escrow za mtu mmoja. Alitoa amri kwa Lowassa kusaini Richmond ndiye huyo huyo anatuaminisha eti pesa zan Escrow siyo zetu ni za mungu. Wakati Lowassa anajiuluzulu Richmond walikuwa hawajalipwa hata senti moja. Sitta na Mwakyembe waliudanyanga umma eti walikuwa wanalipwa...
  12. J

    Zitto akiri CCM kusambaratika na UKAWA kuchukua nchi

    2PAD na Incredible nawapa Big Up sana mna akili kama Sokoine (RIP); Che Guavara; Fidel Castro et el. Nyie ni wazalendo wa kweli. Zitto and Lipumba they deserve "FIRE NECKLACE" au shimo lenye simba wakali kama lile alilotupwa Daniel na Mfalme Nekabuneza wa Babiloni ya Kale.
  13. J

    Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Hatakiwi Chadema 2010 alishirikiana na Kinana kuiba kura za Fred Mpendazoe.
  14. J

    Wakati kina Mbatia wanalalamika Dar, CHADEMA wapo Tabora

    Mbatia ni mtu wa system yaani anatumiwa na CCM inabidi akina Lissu na Mbowe wawe makini naye sana maana siyo mwana mageuzi wa ukweli kama Mvungi (RIP). Sihitaji kuandika mengi ila kwa ufupi hana tofauti na ZZK. Both are double agents. Full Stop!
  15. J

    Mabilioni ya Uswisi: Zitto kuwataja wahusika kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo Mwembeyanga

    Supported 100% Sibonike: "Hana jipya. Ni njia ya kuvutia watu kwenye mkutano wake. Mambo ya Mwembe YANGA amwachie Dr Slaa." Ubarikiwe Sana.
  16. J

    Aden Rage na muswada wa kutoa taarifa eti kaunga mkono 100%

    Kigogo hebu tujuze, alifaniwa kitu gani gerezani? Alitoa "ndogo"? Maana mwosha huoshwa, Rage aliharibu mtoto mdogo wa Mheshimiwa mmoja mpaka kijana alikuwa mtu mzima akaendeleza huo mchezo hadi umauti ulipomfika. Rage kama ni mbao za milango basi ni sawa na za mti wa Mpapai. Yaani ni kauzu sana tu.
  17. J

    CHADEMA Yaigaragaza CCM katika kesi ya uchaguzi Simanjiro

    Ritz pamoja na Mag3 kukuelewesha bado hautaki kuelewa? Nape amethibitisha kuwa ushindi kwenu ni lazima hata kwa kuiba kura na mapingamizi feki. Busanda na Igunga hamkushinda ila mliiba kura halali za Chadema na kuweka ready made zenu dereva taxi aliyebeba kura toka Mwanza kwenda Busanda...
  18. J

    UKAWA, mbona mpo kimya wabunge wetu kupewa mafao makubwa kiasi hicho mil 230 kila mmoja?

    Ritz na shoga yako Kinjekitile Junior mna lenu jambo. Nyie ni magamba ukawa inawahusu nini? Wabunge wenu ni wa CCM tena wako wengi sana. Mbona hamuwasemi? Naombeni mfanye mkakati namna ya kupata majina 5 ya kupeleka kwenye NEC ili mpate mtu wa kupambana na Ukawa 25 Octoba 2015. Achaneni na Ukawa...
  19. J

    UKAWA, mbona mpo kimya wabunge wetu kupewa mafao makubwa kiasi hicho mil 230 kila mmoja?

    Mleta mada na Kinjekitile Junior ukawa inakujaje wakati wabunge wote wanalipwa sawa? Nyiye wote wawili ni CCM nawashauri mkae mjipange namna ya kupata majina 5 kupeleka NEC. Achaneni na ukawa fuatilieni mambo yenu. Ishu siyo Ukawa ila Chadema inawaumiza vichwa sana hamlali. Achaneni nayo...
Back
Top Bottom