Search results

  1. K

    Tune to TBC1 Umuone JK kwenye Mdahalo

    Thnks Ndalo, nimeipata
  2. K

    Diwani wa Chadema akamatwa na Bunduki

    Mimi naitafuta AK 47 moja wadau maana tulikofikia haya masihara hayaishi bila kuadabishana.
  3. K

    Hivi Maisha bora kwa kila mtanzania yameishia wapi?

    Hii kweli kiboko, watu wanapoteza masaa mawili hadi sita pamoja na energy kweye mabasi na magari yao kila siku wao wanasema maendeleo. Tumeisha tusipoiondoa CCM
  4. K

    CCM yaanza rasmi kutekeleza ilani ya CHADEMA kuandika katiba ndani ya siku 100

    Hapa patamu maana hata juzi bungeni Waziri Mkuu alimuunga mkono Tundu lisu, mpaka spika anashangaa.
  5. K

    Hivi Maisha bora kwa kila mtanzania yameishia wapi?

    Naona kadiri siku zinavyoenda CCM wanahangaika kujiwekea kanuni na mazingira ya wao kula hii nchi mfano mzuri ni kuanza kujipenyeza kwenye mazingira ya ulaji na si mazingira ya kumtengenezea mtanzania kujikwamua na umasikini. 2005 walihubiri sana maisha bora kwa kila mtanzania lakini kumbe...
  6. K

    Technohama

    Nimeshuhudia vitabu vya shule za msingi za somo la Tehama, hivi waalimu wanafundishaje? maana vina mambo ya computer parts na kazi zake, computer peripherals na kazi zake, Internet/mtandao wa simu na computer, technologia ya habari. Nawahurumia sana waalimu kwani ni kazi ngumu mno kufundisha...
Back
Top Bottom