Search results

  1. babad

    Kumbe mh. Juma Mnkamia amegombea ubunge kuganga njaa?

    Alidhani anatangaza mpira kwa kuleta mambo ya "Goooooooo a laaaa ni mpira wa kurushwaaaaa" huku sisi tunapata pressure kwa kusikia redioni bila kuona LIVE
  2. babad

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Anaogopa siri zake zitafichuka kama waumini wake wataingia JF
  3. babad

    Tbc1 na uchakachuaji wa habari

    Hawa TBC1 siwaamini kwani wamekuwa wanachakachua habari kwa kuondoa vipande wanavyoona vinaleta sura tofauti na matakwa ya serikali.Mfanno jana wameonyesha Dr.Mwakyembe na Sita wakitoa hotuba kanisani lakini wakakata sehemu ambazo wanaeleza juu ya yeye kunyweshwa sumu,leo wanasema madaktari...
  4. babad

    Kahawa na kashata za ikulu zinapobadilisha misimamo ya wanasiasa

    Mchuzi wa bata sijalaumu kwa NCCR pwke yake ndo maana nimesema "Hawajaona matokeo ya kwenda Ikulu kwa waliowahi kwenda?"Hapo nilimaanisha CHADEMA na CUF kwani nao kama walienda kutalii tu na kunywa kahawa kwa kashata
  5. babad

    Kuuzwa kwa mgodi wa makaa ya mawe Kiwira

    Kwa habari ya faster niliyosikia jana kwenye vyombo vya habari mgodi wa kiwira umeuzwa kwa wawekezaji,wana JF hii ina maanisha nini wakati serikali ndo iko kwenye mchakato wa kutumia makaa ya mawe kupata umemem endelevu?
  6. babad

    NCCR yakosa watu; yaahirisha maandamano

    Dah!! kumbe ndo sababu!! Ndo maana wanataka kwenda ikulu kupata kashata na kahawa.Wameishiwa vibayaaaaaaaa
  7. babad

    Kahawa na kashata za ikulu zinapobadilisha misimamo ya wanasiasa

    Duh!! kweli kashata za Ikulu tamu maana NCCR walipanga kuandamana kupinga kupanda kwa bei ya umeme, Baba Riz akaona isiwe inshu hawa wana hamu na kashata akawaambia wakamuone Ikulu wakaahirisha maandamano Hivi hawajaona matokeo ya kwenda ikulu kwa waliowahi kwenda?Na kama walikuwa na hamu ya...
  8. babad

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    Mi nadhani mwisho wa siku tuangalie perfomance yake kikazi si suala la elimu kwani tuna viongozi wangapi waliosoma sana na wanaishia kuharibu tu?Mi naona kama jamaa anajitahidi kupambana japo sina uhakika na style yake
  9. babad

    Dr. Slaa aingia Mbeya na kupokelewa na wananchi kwa hamasa kubwa!

    Jamani acheni kutumia CDM kama kifupi kwani CHADEMA tayari ni kifupisho cha Chama Cha Deokrasia na Maendeleo
  10. babad

    Picha: Mkutano wa CUF Dar wafurika

    Nakushukuru kwa kuliona hili hata mi nadhani MTATIRO bado ni mgeni wa siasa na wasipomweka sawa ataua chama kwani mara nyingi anakuwa hana hata Point ila analazimisha tu kupata umaarufu. Halafu hiyo bendera hata mimi nashangaa zaidi nawashangaa hao wanachi wanachama wa CUF bara wamekodoa...
  11. babad

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Kero yangu na UGAWAJI WA OPEN SPACE tukianza na SINZA amabako waziri amepiga mikwara mbuzi na watu wanaendelea kuvamia mitaro ya maji taka na kujenga kuta za nyumba zao
  12. babad

    Lowassa aponda nguvu ya umma

    Hivi Haya mamilioni wanayochangia kila mwezi wanayatoa wapi?Tofauti yao na sisi ni ipi?Mbona sisi hatuna haya ampesa?Aaaaaahaaaaa kumbee ndo wale wanaoitwa mafisadi?nishasahauuuuuuuuuuuuuu
  13. babad

    NEC ilichakachua matokeo 2010?

    Jiko tumewakabidhi wao wenyewe so tusitegemee kupata msosi zaidi ya watakaopika wao wenyewe labada katiba mpya tuweke jiko tegemezi au linalohusisha wapishi wa vyama tofauti
  14. babad

    Mwigamba has said it all "Wimbo wa kasi mpya umefia wapi?"

    Mbona kila kitu kimeonekana kwani maisha tunayoishi ndo maisha bora aliyokuwa ameahidi na Kasi waliyo nayo ndo waliyomaanisha sema waliompigia kura ndo wakulaumiwa kwa kushindwa kujua uwezo wake na serikali yake kabla ya kumpa nafasi
  15. babad

    Uongozi wa chuo kikuu na maamuzi ya kijinga

    Kwa aina hii ya maamuzi yasiyoangalia mbele tutaishia kuwa na wasomi waoga wasiojua hata haki zao na namna ya kuzipata.Kama chuo kimewashinda wawaachie wenye busara zaidi wakiongoze
  16. babad

    Mzee wa Upako ampinga Prof. Shivji suala la Muswada Katiba Mpya

    Huyu jamaa kingereza tu kinamsumbua sasa ana ubavu gani wa kufanya analysis ya muswaada?yeye aendelee na uchambuzi wa mambo ya kiroho na siasa awaachie wenyewe
  17. babad

    John Pombe Magufuli unatuchefua

    Kweli hata mimi namuona jamaa kama NGUVU YA SODA au MKATE WA BOFLO na chai
  18. babad

    Idd Simba atetea posho za Wabunge

    Hana jipya Fisadi tu huyu kwani tumewachagua watugawie hela?
  19. babad

    Makala ya Mwigamba irudiwe na Magazeti yaliyo huru kweli kweli!

    Naunga mkono hoja maana wengine hatukuusoma hivyo hatuwezi kusema wanakandamizwa au wamevuka mipaka na wakiogopa kuuchapisha basi wasitusumbue maana hata wao wanatuzingua sometimes
  20. babad

    Nikifukuzwa nitakwenda mahakamani au nitafuata utaratibu wa kisiasa: HAMADI RASHID

    Uamuzi wa kisias aliosema akiwa Channel 10 ni kuanzisha chama kingine yeye na wale watakaomuunga mkono
Back
Top Bottom