Search results

  1. Barbie Maliposa

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni TZS 9M.

    Nauza kiwanja kipo kigamboni eneo la Mbutu. 500sqm, surveyed area.Kina hati.Kipo 3.5km kutoka main road.Bei 9M. Ni pm kama uko interested.
  2. Barbie Maliposa

    Kwa nini wanaume wanatoka nje ya ndoa 2

    wengine wanafanyiwa kila kitu na wake zao,,kama kuheshimiwa,kubembelezwa na vingine vyote ambavyo mke mwema anatakiwa kufanya na bado wanatoka nje ya ndoa...........
  3. Barbie Maliposa

    TUNAMTAKA MKEO! Ndo habari ya mujini kwa sasa...

    umeelezea vizuri sana....tusivunjane moyo jamani,,,haya mambo yalikuwepo tangu enzi za lutu,wanaotaka kuoa waoe,wanaotaka kuolewa waolewe,wanaotaka u single waendelee,kila mtu na maisha yake.Hakuna formula na sio kwamba kwasababu kimemtokea fulani na wewe kitakutokea,,,cha muhimu ni kuomba Mungu...
  4. Barbie Maliposa

    TUNAMTAKA MKEO! Ndo habari ya mujini kwa sasa...

    uongo ni kwamba "hana ubavu wa kusema hapana".......wengine wana ubavu wa kusema hapana...
  5. Barbie Maliposa

    TUNAMTAKA MKEO! Ndo habari ya mujini kwa sasa...

    hapo kwenye red sio kweli.....umeprove wapi?mwanamke yoyote?hata na kibaka? ni uongo.
  6. Barbie Maliposa

    Mtoto Linah mashalah

    me nimewahi
  7. Barbie Maliposa

    Natafuta mrembo ambaye hajipodoi

    ME SIPAKI KABISA MAFUTA....NTAFAA?:thinking:
  8. Barbie Maliposa

    Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

    bi dada u mrembo.....ila unachamba hataaari.............me mnanipa raha tuuu....aya endelezeni ligi watu tuenjoy..:lol::lol:
  9. Barbie Maliposa

    Heri ya sikukuu ya noel

    jamani nawatakia sikukuu njema,,,,,na Mungu awatangulie...:angel:
  10. Barbie Maliposa

    Nauliza Tu...

    Possibly mtu anakuwa ametoka kushuka kwenye gari yake au ndo anaenda kupanda gari yake ili aendeshe...
  11. Barbie Maliposa

    Msaada:swimming classes

    Especial style ya backward.....inakaza misuli ya tumbo...
  12. Barbie Maliposa

    Msaada:swimming classes

    naskia hawafundishi siku hizi
  13. Barbie Maliposa

    Msaada:swimming classes

    panaitwaje?
  14. Barbie Maliposa

    Msaada:swimming classes

    mazoezi mazuri ya viungo hasa tumbo....two wiks no tumbo.
  15. Barbie Maliposa

    Msaada:swimming classes

    thank you dear bt i cant afford
  16. Barbie Maliposa

    Msaada:swimming classes

    habari zenu wote,wapi naweza pata mafunzo ya kuogelea kwa DSM?msaada plz kama wajua.
  17. Barbie Maliposa

    Zitto Kabwe mbunge wa kwanza kutumia iPad Bungeni

    wera wera zitto.........very gud
  18. Barbie Maliposa

    Ndoa za facebook zina mambo

    mambo ya facebuk!!!!
  19. Barbie Maliposa

    Vicky Kamata aula - Kuimba na Lil Bow Wow

    cnt wait for the song!!!
Back
Top Bottom