Search results

  1. Mugunga

    Huwezi kupata kila unachotaka....

    Mimosa pudica! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Umenikumbusha mbali.
  2. Mugunga

    Usiogope kutishwa na kukata tamaa, Mtu akisema maisha ni magumu, wewe thibitisha kuwa maisha ni mepesi

    Wewe una mtazamo hasi juu ya ndoa, pengine kwa sababu ya mazingira uliyokulia au unayoishi. Sikulaumu. Wakati wewe uko hivyo sisi wengine tumekulia katika famiłia zenye ndoa imara na ndoa zetu ni imara pia. Sikuzuii kuwa na mtazamo huo. Halafu usidanganye watu kuwa ndoa nyingi zimevunjika. Kwa...
  3. Mugunga

    Usiogope kutishwa na kukata tamaa, Mtu akisema maisha ni magumu, wewe thibitisha kuwa maisha ni mepesi

    Si kweli. Wengine tuko kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi. Yapo machungu machache lakini faraja ni kubwa zaidi.
  4. Mugunga

    Waliodhoofisha media nchini hawa hapa

    Serikali no chanzo kikuu cha habari. Sheria zilizopitishwa kwa lengo la kudhibiti maudhui yanayoifikia jamii zimeharibu uhuru wa kujieleza, na haki ya kupata habari. Siku hizi hakuna sababu ya kununua gazeti, au kukaa kuangalia taarifa ya habari. Kwa nini upoteze muda wako kuangalia taarifa za...
  5. Mugunga

    Kwanini Zitto hafunguliwi kesi za Uchochezi kama Viongozi wa Chadema??

    Jinga lao [emoji16][emoji16][emoji16]
  6. Mugunga

    Amri kumi za Mafia

    Ukifikiria baadhi ya matendo yao,mfano kukimbia na sanduku la kura,kumwagia Watu tindikali,kuamuru afisa anayepokea fomu za mgombea kujificha mpaka muda wa kupokea unapita,kupiga mabomu kwenye mkutano wa siasa nk unaishia kuconclude kuwa hawa wanafanya organized crimes. Wanaweza kutekeleza haya...
  7. Mugunga

    Amri kumi za Mafia

    Inaelekea una uelewa wa kutosha juu ya vikundi hivi.Hivi James Hadley Chase aliwahi kuandika novel au kitabu chochote juu ya mafia?
  8. Mugunga

    Mdada kupotezea salamu ya mwanaume barabarani au kupotezea ujumbe wa salamu ni USHAMBA

    Hizo pm achana nazo. Wengine humu ni wale 'wasiojulikana'.Utaumia.
  9. Mugunga

    Dr Hosea aliwezaje kuwafunga Mramba na Yona?!!

    Yaaa.Pia ukiwa mtoto mzuri kama Lulu,au wema utafungwa kidogo tu.
  10. Mugunga

    Hii ndio sababu Rais Magufuli aliwashtukia Wachina kutaka kuichukua na kuimiliki TANESCO

    Kama kweli yeye ni kiboko,mbona tusikia tu kuwa chattle kunajengwa airport hakuna mahala popote wamekiri na kukagua mradi huo?CCM ni wale wale.CCM ni ile ile.wizi na ufisadi ni agenda kuu inayowaunganisha.
  11. Mugunga

    Malkia Vashti chanzo cha kiburi kwa wanawake duniani

    Ndugu yangu ukisikia habari yoyote chanzo ni TBC ibabidi ujiulize mara mbili.
  12. Mugunga

    Malkia Vashti chanzo cha kiburi kwa wanawake duniani

    Whaaaaaaaat! Hii hii TBCCM?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  13. Mugunga

    Hii ndio sababu Rais Magufuli aliwashtukia Wachina kutaka kuichukua na kuimiliki TANESCO

    Ni kweli.Mojawapo ya masharti ambayo viongozi wa Africa wanayachukia ji yale yanayosisitiza democracy, uwazi na kuheshimu haki za binadamu.China hawana hayo kwenye mikataba yao.Bila kujali riba na vipengere vingine vigumu kama hivyo vya kukamata mali na mifumo nyeti,viongozi wa Africa huwa...
  14. Mugunga

    Je, Rais Magufuli alidanganya kuhusu gharama za ujenzi wa hostel za UDSM?

    Pole pole kijana.Jifunze kwanza kuandika.Kisha utaelewa maana ya hoja hii.Hakuna mwenye nia mbaya hapa.
  15. Mugunga

    Wateule wa Rais Magufuli tuondoleeni aibu hii

    Kimtokacho mtu,ndicho kiujazao moyo wake.Watanzania wamwelewe kuwa ni chizi kama alivyotamka mwenyewe.
  16. Mugunga

    Wateule wa Rais Magufuli tuondoleeni aibu hii

    Hii tafsiri ni ya kwako wewe.Je uliingia kichwani mwake ukaona kuwa alimaanisha kuchekesha hadhira?
  17. Mugunga

    Rais Magufuli anakubalika zaidi na watanzania kuliko CCM inavokubalika

    It's up to you.That guy makes me sick to the stomach.
  18. Mugunga

    Mvulana, mtoto wa kiume, mwanaume kuwa tayari kwa haya

    Anayekubali hayo uliyoandika so mwanaume kamili.Daima mwanaume aliumbwa amtawale mwanamke.Jukumu la mwanaume ni kumsoma mwanamke wake na kutumia udhaifu anaugundua kumtawala.
  19. Mugunga

    JamiiForums V.A.R

    Heshima kwako mfilisti!
  20. Mugunga

    Kwanini Chadema inapukutika?

    Vumbi likitulia,most people will come to their senses.By then, watakuwa wamegundua kuwa zile ahadi za kufunga mafisadi,kugawa 50 m kila kijiji, nk zitakuwa hazijatekelezwa.Wataambiwa tena wamchague tena jiwe ili azikamilishe.Watamchagua huku wakiwa na matumaini mapya tena.
Back
Top Bottom