Search results

  1. B

    Msekwa atinga Igunga kwa kishindo; Akomba vigogo wa CHADEMA

    Kichwa cha habari (inaonesha imeandikwa tar 11/8/2011 Kama sikosei) kinaonesha kuwa Msekwa keshatinga Igunga na kukomba viongozi huko, lakini ukweli ni kuwa wakati habari hizo zikiandikwa alikuwa hajafika Igunga, amefika Igunga leo 12/8/2011. Kama alikomba mamluki wake huko Singida basi ni...
  2. B

    Tanzania Automotive Technology (Nyumbu): Si Kama Unavyoifikiria

    Japo 10% ya magari ya Serkali kila mwaka yangenunuliwa kutoka Nyumbu, ingepatikana fedha ya kutosha kuiendeleza Nyumbu na kufanikisha kutengeneza magari yenye ubora zaidi. Lakini ndo hivyo tena, jamaa wanawaza kubembea na ma VX na kupata 10% ya manunuzi ya nje!
  3. B

    daraja lao

    Jamani lakini nasisi pia tumo, kwani si tumepanga baada ya Miongo kadhaa ijayo tutajenga Daraja la Kigamboni?
  4. B

    Huyu bwana harusi ni noumer

    Na yule jamaa pale kushoto nae angemshika hivyohivyo Bi Harusi ingekuwa ngoma droo!!
  5. B

    Mwanakijiji na Uislamu wa TAA/TANU mpaka CCM

    Naona wachangiaji wengi Wanashindwa kutofautisha TANU na CCM, sera ya Msingi ya TANU ilikuwa ni kupigania Uhuru wa Tanganyika, na kwakuwa Waislam wengi ndio walikuwa Underprivilaged basi ndio wakawa Frontline zaidi na kwenye kuanzishwa TANU wakawa ndio wengi, Kama TANU ingekuwa na itikadi ya...
  6. B

    Dk. Slaa: Si uhaini kumng'oa rais Kikwete kabla ya 2015

    Lunyungu, Mfano unapaswa uendane na Uhalisia wa mada Husika, suala la kumuondoa Rais Madarakani kabla muda wake Kikatiba ni jambo linalowezekana kabisa, lakini ni Sharti kuwe na Sababu za kimsingi kabisa, lakini si suala Jepesi kihivyo Kama anavyojaribu kutueleza Dr Slaa kwa kulinganisha na...
  7. B

    Dk. Slaa: Si uhaini kumng'oa rais Kikwete kabla ya 2015

    Kwanini Mzee Slaa atumie Kigezo cha Sheria ya M/kiti wa Serkali ya Kijiji, ambaye huchaguliwa kwa Sheria za Chaguzi za TAMISEMI ambazo ziko tofauti na Sheria za Chaguzi za Tume ya Uchaguzi Taifa (NEC)? Rais akishachaguliwa anakuwa na Mkataba wa Miaka 5, akimaliza muda huo, wananchi watamhukumu...
  8. B

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa and Kikwete: Leadership Styles and A Lesson to Learn!

    lybenito, Ahsante sana, umegusa mambo mazito na Hisia kali kwa sisi tulioishi na kuendesha maisha kipindi kile cha Nyerere. Nilishiriki kikamilifu Vita vya Kagera nikiwa kwenye Combat Intelligence, kwa hiyo sikuishia Frontline tu bali nilipitiliza, nimeshuhudia Mengi na Athari zake kwangu na...
  9. B

    Jen Ulimwengu: Dilemma ya viongozi wa Afrika kuhusu Gaddafi

    Lakini mbona kwenye Mgogoro wa Comoro hatukuwa neutral? Tulipeleka majeshi kufurumusha waasi?
  10. B

    Lipumba na Mbatia wahutubia wana CCM Kigoma

    Msonda, hivi ni Chama kipi cha Siasa ambacho Viongozi wake hawana Lengo la kuwa Watawala? Mi naona tofauti iko Kwenye Strategies tu za kufikia Lengo. Serkali ya Mseto ni Hatua kubwa kwa Chama cha Upinzani kuelekea kushika Madaraka kamili, mfano Mzuri ni pale Nyerere alipopigania TANU ikubali...
  11. B

    Vijana DAR kuundamana kuunga mkono hotuba ya Kikwete

    Kwa hiyo wenye Haki ya Kuandamana katika Nchi hii ni CDM peke Yao? KWENDENIZENUNI!!
  12. B

    Hatimaye CCM yatimiza ahadi; Bajaji za Wagonjwa zapokelewa rasmi

    Mnajiropokea tu, nendeni Vijijini Mkaone Hali halisi Wajawazito wanavyotembea kwa Miguu na Wengine wanajifungulia njiani, chini ya miti nk Wakielekea Vituo vya Afya kilomita kadhaa kutoka Zahanati za Vijiji. Wenye Uwezo huko Vijijini hukodi Magari, wasio na Uwezo wanabeba wajawazito kwa Machela...
  13. B

    Baraza la Mawaziri Kukutana Jumamosi

    J'mosi Sio mbali, Meanwhile, tuendelee Kutafuta Ugali wetu kwanza (hata wao kwa Sasa ndo Wanachofanya!) Wakishakaa tutawasikiliza Nasi Tutaongea tunavyotaka, lakini kwa Sasa hata tuseme Nini, yalokwisha Kusemwa yanatosha. Hebu tuwasikilize Kwanza!
  14. B

    Wazanzibari wapanga kufanya mandamano 1/4/2011 kisa wamechoshwa na Muungano

    Muungano ukishavunjika, tifu litakuwa Baina Pemba na Unguja! Na Wapemba wengi wamewekeza Bara wakati Hali ya Pemba iko Pathetic!
  15. B

    Mara ya mwisho uliona lini ......!!!?

    Augustine Mrema alivutia watu Wengi zaidi ya Hivi nchi Nzima! Kaishiaje?
  16. B

    Dr. Slaa & Mbowe, Right timing but wrong Strategy!!!!

    Nyantella yuko sahihi Kuhoji na kuwasilisha Mawazo yake, ila tatizo Nilionalo inaelekea wana CDM wengi Hawataki kuhojiwa na Kukosolewa, utaitwa Msaliti. Huo ni Udikteta. Nilimsikia Freeman akiwahamasisha Watu kule Mwanza wauondoe Utawala uliopo na wafanye Kama Tunisia na Misri! Lakini kama...
  17. B

    Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

    Au ndo Maana anachimba Mkwara mzito ili waogope Kumdai?
  18. B

    CCM ijibu hoja za CHADEMA - Sumaye

    KipimaPembe, unachosema ni Sahihi kabisa, lakini Je, huoni kuwa it's Contradictory kudai CCM ambayo inapaswa iwe nje ya Serikali ijibu hoja zinazohusu Serikali? Nifahamuvyo, ndani ya CCM kuna Wanasiasa Mahiri wengi sana Ambao hawamo Serikalini lakini wana Uzoefu mkubwa wa Mambo ya Serikali, K.m...
  19. B

    Wito wa kikao kwa WanaJf Ubungo Plaza

    Slaa na Mbowe wana Maisha mazuri na wanalipwa Vizuri sana, Wanachotaka ni Kuingia Ikulu kwani kule Kuna Maslahi makubwa zaidi. Kinachoacha mpaka Mtake kujitoa Roho kwa ajili Yao ni kipi Hasa?
  20. B

    CCM ijibu hoja za CHADEMA - Sumaye

    KipimaPembe, unachotaka kutuambia ni Kuwa CDM ikishinda na Kuunda Serikali, Slaa akiwa Rais basi wenzake wote, kina Freema, Zitto, Lisu, Mnyika, Mdee wote atawaacha Kwenye Chama wafanye Siasa, Kisha yeye atatafuta Wataalamu nje ya Wigo wa CDM aunde Serikali na kuwaacha wapiganaji wake Waendelee...
Back
Top Bottom