Search results

  1. R

    Waziri Shamsi Vuai Nahodha anaishi New Africa Hotel $280 per day!

    Hii serikali ya Tz ni Uhozoo kuanzia Jk mpaka shina la huko vijijini
  2. R

    Msaada nashindwa kuweka ujumbe wangu binafsi.

    asante mkuu ngoja nijaribu.
  3. R

    Msaada nashindwa kuweka ujumbe wangu binafsi.

    mbona nimejaribu hizo steps afu sioni mabadiliko mkuu au kuna utundu wa ziada unaitajika?
  4. R

    Msaada nashindwa kuweka ujumbe wangu binafsi.

    Simaanishi vikaragosi, ila ni ule ujumbe wa maandishi ambao umeandikwa na mtu, huwa unakaa pale chini baada ya kumaliza kusoma post, na sio wanajanvi wote huwa wameuweka huo ujumbe bali ni baadhi tu. Pia wengine wameambatanisha na hivyo vikaragosi unavyovisema.
  5. R

    Msaada nashindwa kuweka ujumbe wangu binafsi.

    Vipi wakuu! Naombeni msaada wa jinsi ya kuuweka ujumbe wangu ili uweze kusomeka hapa chini kila ninapoandika post au ninapojibu post za wenzangu, ntatoa mfano kama sijaeleweka maana kiswahili kigumu jamani. Utakuta ukisoma baadhi ya posts humu ndani, mwisho wa ile post mlengwa ameambatanisha...
  6. R

    R.I.P Osama bin la den.

    Hakika dunia bila ugaid ni sawa na bunge bila upinzani, hii ni kutokana na sera za wamagaribi wanaojiona wao ndio miungu watu ktk hii dunia, hata kama kauliwa kiongozi wetu Osama bin ladeni naamini huyu ndiye shujaa wa kigaid atakayeweza kukumbukwa kupita hata michael jackson. Ugaid wa osama...
  7. R

    Osama bin Laden killed!

    Amefariki na amezikwa baharini. Source: whitehouse
  8. R

    Osama bin Laden killed!

    R.I.P Osama. Amen
Back
Top Bottom