Search results

  1. M

    Msaada nasumbuliwa na tatizo la ganzi

    Naomba tuwasiliane inbox
  2. M

    Msaada nasumbuliwa na tatizo la ganzi

    Habari za Asubuhi wakuu! NA MIMI NAPATA HII SHIDA YA GANZI ILIQNZA MAUMIVU KWENYE MFUPA WA HIPS NA BAADAYE MAUMIVU YA MBAVU. NILIOPOKUNYWA DAWA YA MAUMIVU YA FLAMAR MX NIKAAMKA USIKU NIKAONA HII GANZI AU NUMBNESS IMENIKAMATA SEHEMU SEHEMU ZA MWILI USONI , KTK SIKIO LA KULIA MKONONI NA MGUUNI...
  3. M

    Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia mauaji ya Aneth Msuya

    Niliona UKakasi pale nilipoona Dada wa Bilionea pamoja na wazazi wa Bilionea wana tamaa ya mali imewasumbua sana watoto wa marehemu na hapo ndipo walipobugi kijana akili ipo vema. Wangekuwa wanafiki tu kuwa karibu na watoto wake wangekula kirahisi. Tunaongozwa na hisia lkn Aliyetenda kitendo...
  4. M

    Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    Hiyo yako mkuu we vumilia kama ulivulia miaka sita ile keep doing it
  5. M

    Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    😄😄😄😄 kweli mwana mtuwache na Mh Rais Samia Nchi imetulia na watu wana amani ... yule mwingine kakaa miaka 6 hakuwapa chochote na mlifyata mkia 🙌🙌🙌 Jiandae Kisaikolojia tutakuwa Naye sana hadi 2030.
  6. M

    Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

    Kitimoto safi kama keki ipo kimara temboni oppodite na bar maarufu insitwa Buffalo wanaita kwa Kimario. Ukikosa utanu nitakurudishia hela. Njoo inbobo kwa maelekezo zaidi
  7. M

    TANZIA Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Afariki Dunia

    Rais kwa maana gani tufahamishane
  8. M

    Tulitakiwa tukemee kitendo cha Kassim Majaliwa kuingilia Muhimili wa Bunge..

    Naona 2020 atapatikana spika mwingine mambo ya ovyo watu wameyachoka afadhali atoke tu..
  9. M

    Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Hii sio taarifa nzuri sana kwa Collosium gym itapoteza watu maarufu wateja, pia kwa wawekezaji, huyu MTU amegusa maisha ya watu wengi sio kitu cha kuchekea , Mh Rais hawezi kulifumbia macho hili hatari kubwa.
  10. M

    Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

    TEZI DUME NA SINTOFAHAMU ---- soma uelewe na namna ya kuepuka Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo Kama viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza maji...
  11. M

    Kumpamba Mahiga na kumtosa Mwakalebela aliyekuwa mgombea ubunge ni dharau kubwa sana kwa CCM

    In Politics , ni Unafiki mtupu, hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu
  12. M

    DAR: RC Makonda kuwapima wanaume Tezi Dume nyumba kwa nyumba

    TEZI DUME NA SINTOFAHAMU ---- soma uelewe na namna ya kuepuka Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo Kama viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza maji...
  13. M

    Kwanini wanawake wengi smart kichwani, hawako romantic?

    UKIWEZA KUJUA BLOOD GROUP NA TABIA ZAKE HUWEZI KUJIULIZA HAYA MASWALI...
  14. M

    Mwigulu Nchemba: Abdul Nondo alijiteka, alikuwa amejipulizia hadi Pafyum

    MWACHE AISOME NAMBA, KAMA KATUMWA KUSOMA CHUO NA KIJIJI ASAHAU KABISA NA MKOPO WA SERIKALI
  15. M

    Tutarajie machafuko Kenya Kama Raila hatoshiriki uchaguzi.

    Tuache ubinafsi na uroho wa madaraka .... sipendagi aina hii ya watu kabisa .... yeye anatakiwa ajitathmini maana ukiwa tayari kuangamiza watu kwa tamaa zako mwenyewe ni mbaya sana ... Mungu ampe Hekima kama linazo mwenzio maana Kenyetta pamoja kwamba yupo kashikilia madaraka alikubali uchaguzi...
  16. M

    Msaada juu ya hedhi

    je amewahi kutumia dawa za kupanga uzazi, mwambie akapige utra sound kama ana uvimbe wowote, na pia ana umri kiasi gani tuwasiliane inbox
Back
Top Bottom