Search results

  1. Runner

    Aibu nyingine kwa CHADEMA

    Ache hizo bhana mmetumwa nyie
  2. Runner

    KIGWANGWALA AGOMA kuunga mkono HOJA KWA UFISADI wa IPTL na KUDHALILISHWA

    Lakini huwa sina imani na hawa wabunge wa CCM,hapa kajifanya haungi mkono hoja lakini baadae utamsikia kalainika anaunga mkono,imetokea mara nyingi sana mfano kwenye budget ya W/ Elimu na nyingine,sijui lakini....LET US SEE!!!
  3. Runner

    Naomba msaada kwenye hili jambo

    Yaani zaidi ya hiyo hali niliyoisema ya mapigo ya moyo kuongezeka baada ya mlo hakuna hali nyingine yoyote ninayoisikia,na huwa inachukua muda mrefu sana kutulia,kama ni usiku basi labda mpaka ntakapolala nikiamka najikuta nipo normal ile hali inakuwa imetoweka
  4. Runner

    Naomba msaada kwenye hili jambo

    Asante Fadhili,hili jambo la athma nilishawahi kufanya full body check up lakini sikuonekana kuwa na hilo tatizo,maji nilishawahi pia kushauriwa kunywa maji kwa wingi na najitahidi sana kunywa maji kwa wingi sana lakini bado hii hali inaendelea
  5. Runner

    Naomba msaada kwenye hili jambo

    Nikweli nilikuwa mtumiaji mzuri sana wa chumvi lakini nna muda sijaitumia,lakini asante sana kwa ushauri wako mkuu ntajitahidi kuacha kabisa matumizi ya chumvi
  6. Runner

    Umuhimu wa ndizi mwilini

    Thanks mkuu for this,I was the one among those hate bananas,let me change my mind,God bless you.
  7. Runner

    Naomba msaada kwenye hili jambo

    Habari wana JF wenzangu,naomba msaada kwenye hii hali niliyonayo kwa takribani miezi miwili,kila ninapokula iwe chakula cha mchana au usiku baada ya nusu saa mapigo yangu ya moyo hunienda mbio sana kiasi kwamba nakosa raha,je hii husababishwa na nini au ni tatizo gani?naomba wenye ufahamu juu ya...
  8. Runner

    Umesoma shule ya bweni wewe?

    Daah umenikumbusha mbali sana Iambi Sec.School-Singida
  9. Runner

    Dawa ya kuondoa nguvu za kiume

    Ndugu hebu soma hiyo post kwanza....inaonesha ndo umetoka kuamka haujui kinachozungumziwa
  10. Runner

    Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    Unafanyaje kuweza kuipata temple run 2 kwenye simu yangu huawei (anroid),I tried several times to download the app but it failed.. help pls
  11. Runner

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Madiba yupo hoi kitandani
  12. Runner

    Kwa nini wanandoa wengi wanasaliti ndoa zao?

    Habari wapendwa wana JF,kwa kweli nimekaa nikafikiria na kujiuliza sana juu ya hili swala "kwa wanandoa wengi siku hizi wanasaliti ndoa zao?"....Katika watu nilioongea nao asilimia kubwa wanakwambia "nna dada mmoja natembea nae,ila ni mke wa mtu au nna kijana wangu anaemsaidia mzee shughuli...
  13. Runner

    Mwanamke kuomba pesa kwa mwanaume aliyezaa nae....!!!!

    Namanyele........huyu jamaa anayeishi na mtoto ambaye si wake hana tatizo na yeye ndio anayelalamika kwamba kwann mkewe amuombe pesa jamaa aliyezaa nae wakati yeye anamuhudumia kwa kila kitu?
  14. Runner

    Mwanamke kuomba pesa kwa mwanaume aliyezaa nae....!!!!

    NATA soma kwanza hii topic vizuri uielewe then ndo utoe jibu
  15. Runner

    Mwanamke kuomba pesa kwa mwanaume aliyezaa nae....!!!!

    Lisa labda nikwambie kidogo background ya huyo mwanamke...jamaa aliyemzalisha mara ya kwanza kabisa aliwahi kumpa ujauzito then akamlazimisha kuitoa mimba,mwanamke akakubali,baada tena akabeba mimba (ambaye mtoto ndo huyo aliyepo mpaka sasa hivi) jamaa akamlazimisha tena aitoe ile mimba bila...
  16. Runner

    Mwanamke kuomba pesa kwa mwanaume aliyezaa nae....!!!!

    Akenajo...",jamaa aliyemuoa alikubali kumlea mtoto katika hali yoyote ile,ila walikubaliana tu kwamba school fees baba mwenye mtoto ndio litakuwa jukumu lake"........Kama uliisoma hii thread vizuri
  17. Runner

    Mwanamke kuomba pesa kwa mwanaume aliyezaa nae....!!!!

    Habari wana JF,kuna jambo ambalo kwangu mm linanitatiza kidogo,utakuta kwamba mwanamke ameolewa hali akiwa tayari alishakuwa na mtoto na mwanaume mwingine kabla ya kuolewa,jamaa aliyemuoa alikubali kumlea mtoto katika hali yoyote ile,ila walikubaliana tu kwamba school fees baba mwenye mtoto ndio...
  18. Runner

    Kulala mchana

    Habari wana JF,Wapendwa naomba msaada wenu kwenye hili tatizo linalonitatiza,imekuwa ni wiki sasa huwa napatwa na usingizi mzito sana ifikapo saa nne asubuhi,yaani iwe nimewahi kulala usiku au nimechelewa lakini ikifika muda huo kwa kweli huwa napata shida sana hata kufanyakazi,na si saa nne tu...
Back
Top Bottom