Search results

  1. mmakonde mjanja

    TANESCO kuweni wakweli kwamba umeme umepanda bei

    Alikua anapenda sifa kuliko uhalisia.
  2. mmakonde mjanja

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Volvo xc60 ya 2012 napata?
  3. mmakonde mjanja

    Waziri Makamba: Umeme utaendelea kukatika mpaka tumalize maboresho. TPSF wamshukia kama mwewe

    Kama ukipata muda nenda TANESCO waulize gharama walizo tumia wao Hadi kufika umeme kwako ukiachana na kiasi ulicho changia wewe. Jibu utakalo lipata ndio utajua kwanini hawapewi hao private sector kama mitandao yasimu.
  4. mmakonde mjanja

    Waziri Makamba: Umeme utaendelea kukatika mpaka tumalize maboresho. TPSF wamshukia kama mwewe

    Una uhakika upi kama unacho kitetea pia sio ujinga? Tatizo wonyonge hamutaki taaluma ifanye kazi munataka siasa kwenye mambo ya Technical.
  5. mmakonde mjanja

    Dawa gani nzuri ya kutibu Fungus?

    Kunywa majani ya mwembe chap tu unapona
  6. mmakonde mjanja

    Gari aina ya Celica inasha maji ukiendesha na hata ukiipaki

    Habarini za majukumu ninagari aina ya Toyota Celica ilikua inasumbu kabla tatizo la kuchemsha Nika badili injini. Ila toka nimefunga mpya maji hayakai kwenye chupa kidogo Cha maji Ila haichemshi. Na hata nikijaza ukalala asubui sikuti maji naomba msaada.
  7. mmakonde mjanja

    TANESCO hili sio sawa

    Hapo kosa ni la tanesco Kama waliikuta ilibidi waikate kipindi Cha ujenzi wa line maana kupunguza kwa juu nigarama inayo jirudia Kila mwaka.
  8. mmakonde mjanja

    Uchaguzi 2020 Ningekuwa Makonda ningesubiri mpaka 2025

    Liko wazi alishindwa kumtumbua hazalani Kaamuakumtumbua kwa kumpa Jimbo basi.
  9. mmakonde mjanja

    Wamiliki wa BMW Shikamooni

    Sisi wa Hyundai kikao kinatuhusu? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mmakonde mjanja

    Naomba Ushauri Gari Ipi Niagize

    Naungana na hoja nami naomba nisaidiwe pia , Nina bajet ya m 16 nimevutiwa na Hyundai hii naomba ushauri tafadhari Tucson Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mmakonde mjanja

    List ya mikoa inayoongoza kwa kuwa na watu washamba hapa Tanzania

    Wewe boya Ushaona wapi mmakonde mshamba Mtwara toa mana konde family is for Every body.
  12. mmakonde mjanja

    Gari aina ya Hyundai tacson

    Sawa mkuu ningependa pia unijibu swali langu la awali
  13. mmakonde mjanja

    Gari aina ya Hyundai tacson

    Ila vipi mkuu ushawahi kujua kuhusu ubora mafuta na service?
Back
Top Bottom