Search results

  1. Mrx

    Tuache siasa

    hahaha. Anatakiwa apeleke kinyesi.
  2. Mrx

    Mmh hizi soda mbona kazi

    soda hapa ziko nyingi. Wajameni. Ila huo ni mtego.
  3. Mrx

    Follow Me If You Can!

    niujinga kwenda choon wakati huna haja.
  4. Mrx

    CHADEMA laleni tu mtayaona ya CCM, wao hawalali ng'ooo....

    nakupongeza Hossam mtoa hoja. Ila hapa naomba niseme haya. Sisi watanzani ni vigeugeu . Isitoshe upeo wetu wa kufikiria ni mdogo sana. Mtu anatoa mawazo mazuri ya kuasaidia anatokea mwengine anaponda mawazo yale kwa ubabe. Badala kupinga kwa hoja inayoeleweka. Daima 2 tabaki kuwa watumwa kwa...
  5. Mrx

    Master key!

    hahaha basi itabidi kuwe na master lock. Mnasemaje?
  6. Mrx

    Tuache siasa

    hahahaha... Hii safi sana.
  7. Mrx

    The 3 Things Love Is NOT

    love love love everyone talk about love.............tel me freind what is love my side i dont understand and i dont want to accept it. pleaz explain it for me.
  8. Mrx

    Simba bila meno atamtisha nani?

    nikweli unayo sema na uko sawa kabisa ndugu yangu ila sisi watanzania ni vipofu hatuyaoni haya na ndio maana siku zote utumekuwa mstari wambele kushabikia yale tusiyoyajuwaaa na ndipo madhara yanapotukutaa.
  9. Mrx

    Idd Azzan atishiwa kunyanganywa kadi;Ataka Sekretarieti ya CCM Mkoa na k/mati ya Siasa ijivue gamba

    Sekretarieti ya mkoa wa Dar es salam imempa adhabu kali Mhe.Iddi Azzan, baada ya hivi karibuni kutolewa kwenye magazeti mbalimbali kuitaka sekretarieti ya mkoa huo kujivua magamba na kwa kilo kinachosemekana kuwa sekretarieti hiyo imejaa ufisadi. Mbunge huyo amekaripiwa vikali na kuonywa...
  10. Mrx

    Idd Azzan atishiwa kunyanganywa kadi;Ataka Sekretarieti ya CCM Mkoa na k/mati ya Siasa ijivue gamba

    Kiu kweli naona ccm suala la kujivua magamba wanacheza nalo maana haimkiniki mafisadi hao hao wampe adhabu mtu amabet anawatuhumu wao kwa ufisadi then wao wamuadhibu'
  11. Mrx

    Mukama awakana akina Nnauye; Hakuna atakayeshughulikiwa ndani ya siku 90!

    Baada ya siku kadhaa mhe Iddi Azzan kuitaka sekretariet ya mkoa wa dar es salaam ijivue gamba. "atolewa kafara na sekretarieti hiyo kwa kukemewa vikali na kutakiwa asizungumze na waandishi wa habari pamoja na kuto kugomea nafasi yoyote kwa kipindi cha miezi kumi na nane, je ni kweli chama...
  12. Mrx

    Idd Azzan atishiwa kunyanganywa kadi;Ataka Sekretarieti ya CCM Mkoa na k/mati ya Siasa ijivue gamba

    Hivi karibuni CCM imekuja na kauli mpya "MAFISADI WOTE WAJIVUE MAGAMBA KUANZIA TAIFA MKOA MPAKA CHINI KABISA" lakini chakusikitisha chama hicho hicho katika Mkoa wa Dar kimeamua kumpa adhabu kali ya kumtaka Mbunge Iddi Azzan kuto zungumza na vyombo vya habari, pia imempa adhabu ya kuto kugombea...
  13. Mrx

    Hawa ndio mabingwa wa kuropoka bungeni

    Napinga point ya kusema kuwa mbunge wa cdm asifikiriwe vibaya...kwa kauli yake "funga milango tupigane" pale bungeni ni sehemu ya hoja na sio kupigana isitoshe kila mbunge anapo iingia bungeni hupitia mlangoni na kuingia ndani ni kwa electronic card so milango huwa teyari imejifunga......so...
  14. Mrx

    Hasira za Wazanzibar kuchoshwa na Muungano

    Aiseeee.....watu hawautaki muungano kwa sababu hauna faida nao.......mfano mdogo tu. mtu akiwa anatoka Zanzibar na mizigo yake ya biashara antakiwa ailipie ushuru. huoni hapo kama ni kulanguliwa halafu uaitwa muungano.......hakuna kitu kama hicho ndugu yangu bora muungano uvunjike ndio...
  15. Mrx

    Ufisadi: CCM Dar yamvaa Idd Azzan; Wamfungia miezi 18

    Keep it Up Hon Azzan we are together.
  16. Mrx

    Ufisadi: CCM Dar yamvaa Idd Azzan; Wamfungia miezi 18

    Ule moto wa kuwababua mafisadi uliokolezwa Dodoma katika vikao vya kamati kuu ya Chama Cha Mpinduzi na hatimaye kubarikiwa na Halmashauri kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, sasa umelipuka mkoani Dar es Salaam kwa staili ya aina yake. Mlipuko wa Dar es Salaam ulichochewa na Mbunge wa...
  17. Mrx

    I can't enjoy sex

    ebwana mimi sioni sababu ya wewe kuogopa? kwa kawaida shemeji hata awe na uzazi wa aina gani mwisho watoto 15 na kama ameanza kuzaa akiwa na miaka kumi na tano au kumi na sita, kila mtoto anakuja na riziki yake so haina haja ya kutafuta njia.....anyway hilo suala linahitaji mambo mengi ya...
  18. Mrx

    Ni kewli kina dada wanapenda pikipiki?

    Wanachopendea kule nyuma ni ile kutingishwa tingishwa wanajisikia rahaaaa na utamuuuuuu:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
  19. Mrx

    Matokeo ya Kibonde yabandikwa UDSM

    :clap2::clap2::clap2:Safi sana kibonde ukooo juu...maaana watu walikuwa hawjuwi matokeo yako ulisoma sanaaa mpaka ukambia darasa leo unaropoka sana angalia usije ukakimbia radiooo:clap2::clap2::clap2: na kupigia makofi kwa kutafuta umaarufu kupitia mgongo wa wanafunzi wa vyuo. wewe jamaa mjanja...
  20. Mrx

    Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

    Nashindwa kuelewa hawa chadema wanamatatizo gani maana wao katika sera zao wanasema kuwa wangeliunda serikali ya pamoja sasa wao wanakataa kuunda kambi ya upinzani ambayo miaka yote wao walikuwa wakishirikishwa, hawajuwi kuwa maendeleo haya letwi na chama kimoja, au wanataka kuondosha amani ya...
Back
Top Bottom