Search results

  1. Coolhigh

    Subaru Forester Vs Mazda CX5

    Subaru ni 4x4 kawaida Mazda ni FWD kawaida na 4WD kama uliorder. Si lazima ukaipata ya 4WD kwa second hand
  2. Coolhigh

    Ndugu zangu upande wa baba wanainua vita kali juu yangu

    Huku uzunguni familia ni baba yako, mama yako na wale uliozaliwa nao tumbo moja. Waliobakia ni wapita njia tu.
  3. Coolhigh

    Napendekeza kofia ngumu ndani ya usafiri wa mabasi

    Tafiti zimeshafanywa na kuonekana uwekaji na utumiaji wa mikanda kwenye viti, pamoja na mwendokasi wa km 80/h kwa mabasi vinasaidia sana kupunguza madhara kwa ajali za mabasi.
  4. Coolhigh

    TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

    R.I.P. Ila jamaa kasoma high school 2001 hadi 2008, si mchezo.
  5. Coolhigh

    Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

    Hicho kilichoonekana kinajulikana kama kimondo kwa kiswahili. Ni kipande cha sayari kati ya sayari zilizopo kwenye mzunguko wa ki sola na hutokea mara nyingi kuingia katika anga ya Dunia na kutokana na mwendo kasi wake na msuguano wa hewa huungua/kushika moto na kuteketea bila ya madhara kwa...
  6. Coolhigh

    Zamani aliona madaftari mzigo, sasa anaona zege jepesi

    Na pia hakuna kazi rahisi kama inavyodhaniwa, hata kama ni kukaa mbele ya computer trust me unaweza kuomba ukabebe hilo zege.
  7. Coolhigh

    Mada maalum ya ndege toka FB

    Hii habari haiko sawasawa na uhalisia. 5H-TCG ndiyo iliyorudi, na ilikaa kule kuanzia October 8 hadi November 22. 5H-TCJ uliyosema imerudi iliharibika August 12 Guanzhou China na ikasafirishwa kwenda matengenezo ya Malaysia November 9. Ipo huko hadi sasa.
  8. Coolhigh

    Jinsi ya kupata marafiki wa kizungu

    Mawazo finyu sana.
  9. Coolhigh

    Jinsi ya kupata marafiki wa kizungu

    Kama hawapo vile.
  10. Coolhigh

    Waliomponda Magufuli ndio hao hao wanaolamika umeme kukatika

    Ajabu. Tena imepitiliza uzuri hadi mafuriko!
  11. Coolhigh

    Gari za umeme pasua kichwa gharama za uendeshaji

    Prius kama una maana ya Toyota Prius ni hybrid, inatumia motor ya battery na engine ya petroli. Battery kwa motor ya umeme ni kubwa kuliko battery za kawaida na ni ghali ila siyo sawa na batteries za electric cars.
  12. Coolhigh

    Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

    Hao ni Waisrael/Wayahudi wenye asili ya Ethiopia. Wengi ni askari kule Israel.
  13. Coolhigh

    Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

    Kama gari nzima unafanya overhaul ya nini? Gari limetengenezwa kuweza kupita kwenye maji na kuacha yatiririke na kukauka, siyo kukaa kwenye maji muda mrefu.
  14. Coolhigh

    Kijana kumaliza degree na kuuza mahindi au kazi za umachinga ni kujidhalilisha

    Vile vile, mmachinga mwenye degree atamzidi sana mmachinga std 7. Sababu ya hiyo degree.
  15. Coolhigh

    Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

    Mbona ilishaharibiwa na mafuriko? Hapo ni vyuma chakavu tu mkuu.
Back
Top Bottom