Search results

  1. N

    Polisi wahaha juu ya kauli ya CHADEMA kuimarisha ulinzi wa viongozi kupitia Red Brigade

    Kauli ya juu juu sana hiyo. kikundi cha ulinzi wa nini? ofisi zao...magari yao...nyumba zao, au?
  2. N

    Green Guard ina tofauti na Interahamwe?

    Ndo pale police wanapopoteza uhalali wa kuwepo...kama wapo na wako impartial kwanini waruhusu vyama kujilinda?
  3. N

    Barua ya Mch. Mtikila kwa rais Kikwete!!..Wazanzibari mpoooo???!!

    Nilidhani nchi ni tanzania na mipaka yake ipo wazi!
  4. N

    Mbatia na Cheyo hamueleweki kabisa

    Sina kumbukumbu yeyote ya KONGAMANO la AMANI wakati wa utawala wa JK NYERERE! Cheyo na Mbatia huenda wana kumbukumbu hiyo. For God sake...amani haijengwi kwa makongamano ya kujitafutia umaarufu kwenye runinga na radio. AMANI inajengwa kwa kutenda haki tu...hata usali vipi...hata uongee ukitoa...
  5. N

    Makambi ya mafunzo kwa 'Green Guards' wa CCM yavunjwe - Dr Slaa

    Sure hawa CDM wanaiga tu kila linalofanywa na CCM...nimeipenda hiyo...sasa yule mama afande pale kwenye TV jana alivyokuwa anasema wamejipanga kupambana na helo jeshi la CDM, kwani ameshaliondolea mbali lile la CCM? kabla hujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio, basi ondoa kwanza boriti jichoni...
  6. N

    Makambi ya mafunzo kwa 'Green Guards' wa CCM yavunjwe - Dr Slaa

    Habari picha hapo juu lazima itaitwa ni uchochezi tu!!!
  7. N

    Makambi ya mafunzo kwa 'Green Guards' wa CCM yavunjwe - Dr Slaa

    mmmh majangaaaaaaa....unataka ukanunue silaha za ku-counter attack au? nadhani ni kama wewe unavyojilinda nyumbani kwako...wengine mapanga, wengine bastola...wengine kwa babu...wengine mikuki....yaani ni MAJANGA!!!
  8. N

    Mbowe: Nitajiuzulu endapo wabunge wa CHADEMA watapungua 2015

    kama nasoma vizuri panasomeka kuwa...atajiuzuru uongozi wa chama! jiulize ni uongozi upi? usisahau nafasi ya wenyeviti wastaafu katika CDM.
  9. N

    Kiwanja Cha Ndege Cha Jenerali Wa Kiarabu Serengeti

    Ndo kusema Tanzania imeuzwa? ama!!!!
  10. N

    Is this criminalisation of islam in Tanzania or humiliation of Christianity?we are brothers

    UNAPOTEMBEA UKAONA HAUFIKI UENDAKO, SIMAMA GEUKA URUDI UTOKAKO KWANI UTAFIKA UENDAKO.:crying: NI NAFASI PEKEE NAYA-UPENDELEO KWA WAISLAM KUSIMAMA NA KUELEZA UISLAM NI NINI, LA SIVYO WAKIACHA HALI HII IENDELEE, BASI TAFSIRI SAHIHI ITAKUWA HII HAPA. UISLAM = UGAIDI! NI KWELI SOTE NI NDUGU...
  11. N

    Thomas Nyimbo, ajitoa CHADEMA!

    Magamba wanatishia biashara zake nini...refer former PM...ukitaka biashara zako zifanikiwe! ... hamia ccm! kaona hilo ndo maana kwa kutopenda magamba kaamua kuwa neutral tu. asihofu CDM ikiingia haya yote yataisha atafanya kazi zake kwa uhuru!
  12. N

    Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    hajatueleza na huo uchaguzi uliendeshwaje!? elimu inaendelea kutolewa... uamsho!
  13. N

    Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

    Hakika umenena. ... .dini za wakoloni na wafanya biashara za utumwa ndo zinatuhangaisha. tunatumia resources zetu kutukuza utumwa na ukoloni. tunalipa posho ya ziada kwa askari, tunalipia mafuta n.k. na mbaya zaidi tunapoteza uhai wa wenzetu kwa kushadadia ukoloni na utumwa. wapo wapi akina...
  14. N

    Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

    shairi lako ni zuri...natamani ungeendelea. wakati mmoja anajifunza ALPHABETS ambazo zinatawala soko. ...yaani A B C D E. ...mwingine anajifunza alphabets ambazo for sure huenda hazielewi. wakati mmoja anajifunza kula kwa style ya hands off. ...mwingine anajifunza kukaa kwenye janvi na kula...
  15. N

    Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

    utapoteaje Zanzibar...kijiji kidogo kilichozungukwa na maji...aibu kwa Shein!
  16. N

    JWTZ kupiga doria barabarani: Mwamunyange ameenda mbali mno...

    hahaaa unaingia woga eeeh! si wameamua kufanya vurugu sasa ni muda wa kudisplay dhana za kazi...viva Mwamunyange ni kazi yako na mtu asilete siasa za magamba hapa! ni kazi ya JWTZ kuhakikisha Tanzania ni salama kwa hiyo hakuna mtu wa kukuhoji!!! ndo maana Amiri jeshi mkuu yupo na we kamanda...
  17. N

    Mfadhili wa CCM ajiunga na CHADEMA

    gamba wewe...acha udini komboa nchi!
  18. N

    Mfadhili wa CCM ajiunga na CHADEMA

    nimekubali....peoplezzzzzzz!
  19. N

    Hongera mheshimiwa Mnyika, kumbe uliona mbali!

    it is only honest people and trustworthy who can dare say real issues in real places. kudos Kamanda Mnyika... tunasonga mbele...kitaeleweka to! wanatugawa kwa dini zetu...hawatashinda kwani hawana hoja zenye nguvu kuweza kutuchanganya. UDHAIFU, UZEMBE NA UPUUZI!!! we need now M4C...oops...
Back
Top Bottom