Alafuuu!!, hivi maamuzi yalitolewa na Tume uwa yanawafikia walengwa baada ya muda gani????.
Kuna sintofahamu, nakutana na wahanga mitaani wakiwa wanalalamika kwamba waliambiwa kesi zao zilishatolewa uamuzi na Tume wakaambiwa wasubirie barua zao mpaka sasa inaelekea kufika miezi miwili barua...
Nimemuelewa sana huyu mwamba......kauli yake ni nzito na inabidi ichukuliwe kwa uzito wake.
Watumishi wamekuwa wakinyanyasika sana......kisa weledi wao katika Utendaji.
"Time frame" iliyowekwa kwa mujibu wa Sheria na Kanuni zake ili kusikiliza rufaa na kuzitolea maamuzi imekuwa hazingatiwi sijui Tume inakwama wapi kwakweli.
Nimeenda kwenye Duka Moja pale Mailimoja Kibaha kwa ajili ya kununua zawadi za watoto, baada kuchagua vitu nilivyokuwa nahitaji nakufanya malipo nimeshangaa kuona naomba RISITI na kunyimwa kibaya zaidi muuzaji ameanza kunitolea maneno makali akidai Serikali inawapigia kelele wakati TRA...
kupanga foleni asubuhi kwenda bafuni kwa ajili ya kuoga n.k, ilihali anayekuwa ametangulia kuingia hajui kama kuna wengine nje nao wanasubiria: Nyumba za kupanga ni CHANGAMOTO kwakweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.