Search results

  1. R

    Mtaala wa A-Level Physics

    Shukrani sana kwa ku-share hiyo soft copy. Nilikuwa A-level 1985-87!
  2. R

    Kwasababu ya umadhubuti na uimara wa misingi yake, Chama kitatawala karne nyingi zijazo

    Kwanini basi mnaogopa kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi na katiba mpya? Sio bure, umerogwa wewe!
  3. R

    Kwa nini Maaskofu waliyakalia kimya mambo haya?

    Hao hawawezi kuwa Wasabato. Nawafahamu vema hao watu. Hao ni SDA
  4. R

    Maelfu ya Wakulima wakesha wakisafiri usiku kucha kumfuata Rais Samia mkoani Mbeya

    Unaudhi sasa... lakini Mungu ni fundi...
  5. R

    Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Kusoma Biblia? Biblia ni kazi tu ya mikono ya mwanadamu.
  6. R

    Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Serikali ya mapinduzi Zanzibar

    Acha upumbavu, tunajadili mambo serious!
  7. R

    Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

    Lugha alotumia Lissu ni 'figurative.' Tulijifunza tukiwa darasa la VII B mwaka 1979!
  8. R

    Cheo cha Brigadier Jeshini Kirudishwe

    Tujadili kuhusu Uuzwaji wa Bandari Zetu. Vyeo vya kijeshi tuwaachie wanajeshi.
  9. R

    Naombeni ushauri wenu kwenye hili tafadhali.....

    19 yrs old bado kijana mdogo??
Back
Top Bottom