zena unatuangu!! kitukama hukifaham mweleze mteja apige baada ya mda gn utakua na jibu sahihi, ukishindwa kujishusha na kuwa mnyenyekevu kwa mteja kama tulivyofundishwa unailetea cfa mbaya organization yk.
binafsi naamini MUNGU0 huwa anajitetea mwenyewe, kwa jambo hili lazima Yehova ashushe moto utakao chambua magugu na ngano. waislam ni ndg zetu tunawapenda ila kwa hili MUNGU na aingilie kati mwenyewe.
hao 10 ulio waona uliwaambia??? je ulijuaje kama hawajaoga?? usipende kuchunguza maisha ya watu wengine ambao hawakusaidii!! nakushauri hangaika na maisha yako.
mwacheni achukue chake mapema!!
Mbona mafisadi wlalio chukua ma milio ya fedha mmekaa nao hamuwakamati???????????
well done we mdada mie nikikuona wala hata siripoti popote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.