Mkuu hiyo ni poa,maana hili limekuwa tatizo kubwa kwa watu wengi na watu wamekuwa wanakimbilia madawa ili kuwaridhisha wenzi wao.Ninavyodhani madawa yataharibu watu wengi sana na sidhani kama miaka 15 mpaka 20 ijayo kama tutakuwa na wazee rijali kama waliopo sasa.Bora hizo condom zitaokoa vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.