Search results

  1. C

    Ni Tanzania tu ndio Waziri wa Fedha anahangaika kumsifia Rais

    Dah! Kumbe vyombo vya habari vya Tanzania vipo huru?
  2. C

    Ukweli usemwe: Hayati Magufuli ndio alileta siasa za "Uchawa" kwa kupenda kusifiwa na kutotaka kukosolewa

    Lakini alifanya mambo yaliyowafanya watanzania wenyewe wamsifie. Hivi sasa hata wasanii wanapata shida kutunga nyimbo za kumsifia mama. sijui wanajistukia?
  3. C

    Zitto Kabwe awajibu CHADEMA asema Wao wanafunzwa katika Dini yao Qur'an Sura 109:6 Lakum dinukum waliyadin. Hivyo kila Mtu ashinde mechi zake!

    Kwani bado wanatongozwa? ...si walishakubali?! Huoni siku hizi ZItto akiwa na mama ana-smile tu!
  4. C

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Kweli watu wanaodhani wana shida sana. Kumbe Mke wake alikuwa naye anaumwa kiasi cha kushindwa kumuona mpenzi wake dakika za mwisho za uhai wake! Sauti kubwa inasema hadi watoto wake walinyang'anywa simu. Nadhani watoto pengine waliruhusiwa kumuona baba yao kwa sababu korona haikuzuia wapendwa...
  5. C

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Kwa hiyo na wewe unadhani kama wanavyodhani?
  6. C

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Alimpambania lakini nadhani hakujua kuwa washauri watakuwa wakimpotosha. Pengine ndiyo message ya lile chozi. Mama inabidi sasa apunguze kupotoshwa.
  7. C

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Nadhani ndivyo watu wanavyodhani kilitokea
  8. C

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Nadhani uwepo wa Janabi uliwafanya watu wahisi kuwa alikuwa na kazi maalum, hasa kutokana na kilichotokea baada ya kifo cha JPM. Yaani wale mzee Kinana kurudishwa ghafra kwenye uongozi wa chama na mtoto wa yule mzee mwenzake waliokuwa wakimtukana JPM kurudishiwa uwaziri na mtoto wa JK kuteuliwa...
  9. C

    Utawala wa Awamu ya 5 kulikuwa na kampeni ya wazi ya kutaka aliyekuwepo aongoze milele, Sababu hasa ya kampeni hii ilikuwa nini?

    Labda Mkapa na Mwinyi walinga mkono. JK sidhani. Lakini watu hutamani kiongozi fulani aendelee kutokana na utendaji wake unavyowagusa. Mifano ni mingi China ()Xi Jinping) Ujerumani (Angela merkel) Chadema (Freeman Mbowe) n.k
  10. C

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Jamiiforum si ni jukwaa huru? au not any more!
  11. C

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Umewahi ona mama akitoa lengelenge? Au hakuwa mtu wake wa karibu?
  12. C

    Kwa maoni yako nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025

    Kwamba Rais atatoka CCM hilo halina ubishi. ...ila tuwaombe tu kwa unyenyekevu CCM watupe mtu anayeeleweka Tunahitaji Rais anayewaamini watanzania kuwa wanaweza, sio anayedhani wazungu au waarabu ndio wanaweza. Hatutaki kurudishwa utumwani tena.
  13. C

    Kwa maoni yako nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025

    Naunga mkono maoni yako ...ila sasa wahuni watakubali mtu wao aachie kweli?
  14. C

    Upanuzi wa barabara Mbeya ungeanza na maeneo yanayoua wananchi

    Nadhani hakuna cha kubadili kwa sababu barabara yote inatarajiwa kujengwa. kinachoshauriwa hapa ni kuanza na maeneo hatarishi. juzi tu kuna lory limeua watu mlima simike. Hayo nadhani ndiyo maeneo waliyopaswa kuanza nayo. Huko kwingine ambako hakuna changamoto kubwa za kiusalama wafanye baadaye
  15. C

    Upanuzi wa barabara Mbeya ungeanza na maeneo yanayoua wananchi

    Naipongeza juhudi inayofanywa na serikali kupanua barabara kuu Mkoani Mbeya. Lakini najiuliza ni kwa nini wajenzi wameanza na maeneo yasiyo na matukio ya kupoteza maisha ya wananchi? Binafsi labda kama kuna sababu za kiufundi nadhani ujenzi ungeanza na maeneo hatarishi ambayo kila mwaka...
  16. C

    TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

    This is a matter of no public interest. Wengi wammeshtuka - duh! hivi kuna watu wanaangalia TBC?
  17. C

    Ally Hapi: "Huyo fisadi, mla rushwa anamuogopa Samia"

    yule hawezi kumuogopa Samia? l
Back
Top Bottom