Hivi Wanzagi umeiangalia hiyo CV yake huyu mzee ni ya ki magumashi, utakuwaje unafanya Bachelors 1982-1986, alafu hapo hapo unafanya masters 1985-1986 na mind you enzi hizo haya mambo ya kuunganisha degree hayakuwa kwa sana.
Huyu mdingi ni standard 4 leaver aliyejiendeleza kiujanja ujana online...
Jana nilikuwa kwenye kikao cha wananchi wa Makongo juu kuhusiana na kuendeleza Makongo juu ili liwe eneo la kisasa zaidi, viwanja kupangwa, barabara nzuri na za kisasa, maji na huduma za jamii.
Cost nzima ya Project ni Tshs 24.7 Billion.
Hii Project mwanzoni nillisikia kuwa itakuwa funded...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.