Search results

  1. M

    Diploma kwenda Degree na mikopo 2017/18

    Habari zenu wanajukwaa ..?? Napenda kuuliza kama kuna Diploma holder yoyote aliyejiunga na Bachelor kwa upande wa afya kapata mkopo mwaka huu maana naona kama tumekosa na kutengwa mwaka huu. Mimi ni muhanga pia. Tusaidiane wadau hata kwa mawazo
  2. M

    HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    Serikali bado haijaweka sawa ishu ya mkopo kuna mapungufu mengi sana unakuta mtu ana vigezo vyote vya kupata mkopo lakini kakosa na mwingine kapata lakini ni kama vile hajapata Mțu anapewa Tuition fee 10% au meals and accommodation amepata lakini tuition fees hajapata .
  3. M

    Msaada TCU kuhusu Kukosa chuo

    Bado haijafungwa mwisho leo saa 23:59 kabla ya tar 17 october.
  4. M

    Msaada TCU kuhusu Kukosa chuo

    Afanye hivo kabla system haijafungwa
  5. M

    Msaada TCU kuhusu Kukosa chuo

    Aombe Mechanical Engineering pale NIT capacity bado inahitaji watu zaidi ya 150 aweke chaguo la kwanza watamchukua tu .Ni wazo langu hilo unaweza kulitumia .
  6. M

    Third Round nivochagua Msaada Kozi gan apo haifai kuwepo Coz nimesoma PGM

    Weka BME ya NIT chaguo la kwanza capacity bado inahitaji ...Wazo langu hilo . BME iko poa sana .
  7. M

    Utata kuhusu Hurbert Kairuki University

    Mleta Uzi haupo current kama current issue za chuo zilivo current pitia upya kitabu cha tcu na matangazo yao .
  8. M

    Jinsi ya kuhama chuo ulichochaguliwa kama hukipendi

    Hiyo dawa kumbe haifanyi kazi mpaka hapo ishashindwa . Maana kama inafanya kazi na unaikubali usingeitangaza ingejitangaza yenyewe kulingana na uwezo wa kupumbaza watu wengi wangepumbazika na kuinunua na kwenda kupumbaza wengine ambao wangepumbaza wengine na kupumbaza wengine . Inawezekana...
  9. M

    MUHAS HEWANI KWA SASA

    Tayari MUHAS washatoa majina jioni hii haya hapa au tembelea website yao kwa taarifa zaidi
  10. M

    NEW SELECTED 1ST AND 2ND ROUNDS FIRST YEAR STUDENTS FOR MD, BMLS, BPHARM AND NURSING FOR 2016-2017:

    Ahsante mkuu kwa taarifa . Hongereni kwa mliochaguliwa naona kama vile second batch ya Bugando imewahusu Diploma applicants tu ukitumia hesabu ya kujumlisha na kutoa kwenye mgawanyo wa admission capacity za F6 na Diploma holders .Hongereni sana Mnatakiwa kuripoti kabla ya tar 24 October
  11. M

    Diploma holder ingieni kwenye profile zenu

    Cheki pale Kampala Int University kama ni diploma holder uliapply pale maana idadi kwa kila kozi ni sawa na F6 +diploma holders admission capacity. Tembelea website yao majina yako pale .
  12. M

    Kampala international university TCU selected students, 1ST AND 2ND batches...on air

    Ukiangalia idadi ya waliochaguliwa kwa kila kozi unagundua kuwa hata diploma holders .majina yao yapo mfano ,Idadi ya majina ya MBBCh ni 210. Form6 capacity yao ni 180 hivo wanaobaki ni wa indirect au diploma holders , Bachelor of Pharmacy idadi ni 208 , capacity ya F6 ni 180 na 28 bila shaka ni...
  13. M

    Yahusu diploma holder to degree

    Kwa wale Undergraduate applicant mlioomba KIU kupitia diploma chekini majina yenu maana naona jumla ya majina kwa kozi husika ni sawa na jumla ya form 6 na diploma ,mfano MBBCh jumla wapo 210 ukitoa form 6 idadi yao ni 180 kuna majina 30 yanabaki bila shaka ni diploma hao . Pia kwa Pharmacy...
  14. M

    NACTE on Air!!!! lakin siwaelewi...

    Mmh mkuu inawezekana kweli mtu kaapply juzi tu ashachaguliwa tayari.
  15. M

    NACTE on Air!!!! lakin siwaelewi...

    Unaweza kuview chosen programmes mkuu.
  16. M

    NACTE on Air!!!! lakin siwaelewi...

    System is currently running for selection hata huku kwetu.
  17. M

    Wahofia Uamuzi wa TCU Kushusha Alama za Ufaulu Udahili Vyuo Vikuu

    Kweli kabisa King Ngwaba sijui mijitu inawaza nini.
  18. M

    NACTE on Air!!!! lakin siwaelewi...

    Option haipo tokea jana.
  19. M

    NACTE on Air!!!! lakin siwaelewi...

    Ameupload chet na transcript tangiapo.
Back
Top Bottom