Search results

  1. Mkuu wa chuo

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Kaunguze na Mwanza iwe droo ngoma...
  2. Mkuu wa chuo

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha ("A" Town u Chuga)

    Acha uongo... home ya wapi?! Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  3. Mkuu wa chuo

    Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Naomba kukuuliza, hivi Dodoma unapatikana Mirembe...?! Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  4. Mkuu wa chuo

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha ("A" Town u Chuga)

    Mabati yana kutu... Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  5. Mkuu wa chuo

    Tetesi: Paul Kagame nyuma ya DP world

    Kagame ni beberu...?! Na nani aliyesingizia...?! Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  6. Mkuu wa chuo

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Acha uongo... Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  7. Mkuu wa chuo

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Nimekuuliza bata lipi...?! hujanijibu au la Picnic, The Hub, The Pillars, Mount Point au bata gani...?! Uzuri Arusha naijua Mwanza naijua... Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  8. Mkuu wa chuo

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Unachanganya kati ya mapato ya Halmashauri na TRA, nadhani hauna uelewa... Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  9. Mkuu wa chuo

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Hizo hotel ulizotaja ni nyota tano...?! kama ni bora hotel Arusha zipo nyingi... Hizo kumbi za Mikutano zina lingana na AICC...?! Apartments na makazi ya Arusha ni bora... upande wa nyumba AICC wanazo nyingi, NHC na wengine kama kule PPF... Leta chanzo cha taarifa yako ya kwamba, Dodoma...
  10. Mkuu wa chuo

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    naomba Five Star hotel za Dodoma... nipatie Ghorofa kama ile ya Ngorongoro tower na PAPU kwa upande wa Dodoma ni zipi...?! ukumbi wa mikutano kama ule wa AICC upande wa Dodoma... makusanyo ya TRA, upande wa GDP, Makazi mazuri ya Arusha... Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  11. Mkuu wa chuo

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Starehe zipi...?! Ujanja upi...?! Mwanza naijua ni balaa... na Arusha naijua yote Wilaya zote... Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  12. Mkuu wa chuo

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Sakina Mataa ndio wapi...?! unaongelea Muziki wa Fido Vato na Chui (Rayvanny)...?! Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  13. Mkuu wa chuo

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Mbeya yote siijui, ila CBD naijua... wilaya kama ya Mbarali naijua kidogo maeneo ya Igawa... Chunya nafahamu maeneo ya madini lakini sio maeneo yote... Siwezi kusema nimeenda Kyela basi hadi Nane nane napafahamu... Sawa sawa na wewe ulivyosema umesoma Karatu na kukaa kidogo Elerai basi unayo...
  14. Mkuu wa chuo

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Huwezi kusoma Karatu halafu useme unaijua Arusha vizuri, vinginevyo ungekuwa angalau kule Ilboru Arumeru, au Monduli basi hata Longido maana kufika Arusha Town unaweza unaweza ukawa unafika, halafu sio Ilerai ni Elerai umekaa hapo kwa muda gani...?! yamkini ulipita kwa dada yako/ Shemeji yako...
  15. Mkuu wa chuo

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Umeishi sehemu gani na umesoma wapi...?! Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  16. Mkuu wa chuo

    Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Acha uongo... Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  17. Mkuu wa chuo

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha ("A" Town u Chuga)

    Daladala zipi zinaanzia Sokon I kwenda Usa River...?! Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  18. Mkuu wa chuo

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha ("A" Town u Chuga)

    unanipaje spana we unayeokota picha mtandaoni na mimi ninaojua maeneo yote ya Arusha na Mwanza nje ndani...
  19. Mkuu wa chuo

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha ("A" Town u Chuga)

    Naweza nikakuuliza hapa ni wapi ukashindwa kujibu, Arusha huijui... Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom