Search results

  1. B

    Mibaba ya jf ina tabia mbaya

    Mmh! Wewe NE hata hueleweki,kwani ukitongozwa lazima ukubali? Hata hivyo ktk threads zako zote unaongelea mibaba inaonyesha unaipenda iweje tena ujifanye inakuboa? Acha hizo ww...
  2. B

    Msaada wakuu..!!

    Hongera na mshukuru mungu kwa hilo..me nakushauri kabla ya kufanya mapenzi hakikisha mpnz wako amekuandaa vya kutosha kiasi ambacho unafeel upo jirani kufika kileleni ndio uendelee,pili ukiwa ktk process hamishia akili yako pale na vuta hisia ya raha unayopata.
  3. B

    Hapa patulivu, panaliwaza, kuna afya

    Hongera muhosni kwa kulitambua hili..hata me nimejiunga na upande huu siku sio nyingi ila nafarijika sana kwani nimepunguza mawazo na maumivu ya mapenzi..jamani hakuna kitu kinachoumiza kama unampenda na kumheshimu mpnz wako halafu ukaja gundua si mwaminifu.. its pain..
  4. B

    Valentine inapokua huzuni.

    Pole sana thats life..kupenda si rahisi kama watu wengi tunavyofikiri,ipo siku utapenda tena,si ww tu utakae kuwa lonely na unaeumia msimu wa valentine ukifika wapo wengi sana cha msingi siku ya kesho enjoy with ur family and ur friends who are single..dont loose hope kwani there is someone who...
Back
Top Bottom