Search results

  1. kalanga

    Ulaji wa mafuta Toyota Premio

    Hii niliagiza mkuu,niliipata ikiwa na 20000km
  2. kalanga

    Ulaji wa mafuta Toyota Premio

    Wadau na wataalamu wa Magari naombeni ushauri gari yangu ninapowasha AC inatumia mafuta mengi sana. Kwa mfano nisipowasha AC ninaweza tembea 12km/L mpaka 13km/l hapa mjini,Lakini nikiwasha AC naishia 8KM/L. Gari ni 1490CC Toyota Premio F. Nilibadilisha Plug lakini bado.Gari bado ni mpya ndio...
  3. kalanga

    Simu zipi ni nzuri kati ya Xiaomi, OPPO na VIVO?

    Wajuzi wa mambo naomba msaada wenu Simu zipi ni nzuri kati ya Xiaomi, OPPO na VIVO. Tusiangalie bei tuangalie vigezo vya ubora.
  4. kalanga

    Mambo ambayo ni uongo lakini yanajulikana ni kweli kwa wengi

    Logically uongo + uongo= Ukweli Na sio uongo kama ulivyoandika. Karudie tena kusoma Logic implication.
  5. kalanga

    Basi zuri kutoka Dar kwenda Kahama,na kutoka Kigoma kwenda Dar

    Wataalamu wa usafiri naombeni kujua Basi zuri kutoka Dar kwenda Kahama,na kutoka Kigoma kwenda Dar
  6. kalanga

    Simu za kampuni ya Oppo zina ubora?

    Naombeni ushauri kuhusu hizi simu za OPPO kwa waliowa
  7. kalanga

    Ni basi gani zuri la Dar - Mwanza?

    Usiji ukadanganyika hakuna Basi yenye choo ndani kutoka Dar kwenda Mwanza,lakini kwakukusaidia Kama unataka kuwahi panda Ally's Star au Tanzanite/ Dar Lux. Basi lenye full kiyoyozi mwanzo wa safari mpaka mwisho panda Happy Nation.Hayo mengine yote ya kawaida na mwendo wa Kawaida.Tukutakie safari...
  8. kalanga

    Serikali ifikirie kwa kina kuwa na "Shirika la Maji la Taifa" na pia kuanzisha "Rural Water Access Agency" ya maji vijijini kama umeme wa REA

    EWURA ni Taasisi ambayo ipo chini ya Wizara ya Maji na CEO wake anawajibika kwa KM wa wizara ya maji na sio Wizara ya Nishati kama unavyohisi.
  9. kalanga

    Serikali ifikirie kwa kina kuwa na "Shirika la Maji la Taifa" na pia kuanzisha "Rural Water Access Agency" ya maji vijijini kama umeme wa REA

    Ndugu yangu unamawazo mazuri sana lakini inawezekana wewe sio mfuatiliaji mzuri wa mambo yanavyokwenda. Serikali kupitia Wizara ya Maji imeanzisha Wakala mpya inayoitwa Wakala wa usambazaji maji na usafi wa mazingira Vijijini kwa kifupi RUWASA hii ilienda sanjari na kufuta iliyokuwa wakala wa...
  10. kalanga

    Nilipomwambia nampenda alikataa katakata lakini kwanini ananiita "mpendwa"

    Itakuwa ni mpendwa mtazamaji hiyo.Kaa chonjo
  11. kalanga

    Ushauri Maumivu ya Kiuno

    Wataalamu naombeni ushauri,naumwa sana na kiuno yapata wiki ya Tatu Sasa.Nilienda hospital nikaambiwa ni UTI nikapewa dawa Cipro,dozi kuisha tatizo likawa bado nikatumia Doxycycline na yenyewe ikaisha lakini tatizo bado Mara ya Mwisho nikaenda BOCHI hospital nikaambiwa UTI ipo kidogo nikapewa...
  12. kalanga

    Nauza hadi diski (Hard drive)

    Nauza Hard Drive za Desktop 2T kwa Tsh 200,000/= na 500GB Kwa Tsh 100,000/= anaehitaji aje inbox. Maongezi yapo.
  13. kalanga

    Basi gani zuri(Luxury) la kunifikisha Shinyanga Mapema kutokea Dar

    Basi gani zuri(Luxury) la kunifikisha Shinyanga Mapema kutokea Dar.
  14. kalanga

    Vitu vya muhimu kwenye Practical Interview (Interview ya Vitendo)

    Kitu cha muhimu zaidi ni kufuata procedure za hiyo practical,hata kama utashindwa kumaliza lakini kama utakua umefuata procedure vizuri itakusaidia na uwe accurate na unachokifanya hata kama ni kidogo
  15. kalanga

    Nina 800k, nahitaji laptop inayokaa na chaji walau masaa ma5

    Njoo inbox tuongee unaweza kuiona ndio utaamua
  16. kalanga

    Nina 800k, nahitaji laptop inayokaa na chaji walau masaa ma5

    Laptop inauzwa Angalia hiyo uje tuongee bei
  17. kalanga

    Laptop inauzwa

    Nauza laptop yangu anaehitaji ani pm tufanye biashara Specifications: Hp probook Procesor intel core i7 RAM 6GB Hard drive 1T Finger print HD Webcam 4 USB port 1 HDMI port 1 VGA port DVD ROM Screen 19" inch Bei 1.1M. Mawasiliano 0624069169
  18. kalanga

    Mhe Rais, Waziri wa Fedha na Gavana wa BOT mbona kuna taasisi za Serikali zinataka malipo kwa dola hadi leo?

    Mheshimiwa Rais, Waziri wa Fedha na Gavana wa BOT, wakati Rais anafungua tawi la bank ya CRDB makao makuu ya nchi Dodoma alisema ni marufuku kufanya malipo kwa hela ya Dola hapa nchini, lakini mbona kuna Taasisi za Serikali tena ambazo zipo chini ya Wizara ya fedha mpaka leo kuna malipo...
  19. kalanga

    Basi zuri la Dar to Dom

    Wandugu ni basi gani zuri la Dar to Dom kuanzia kumi na mbili asubuhi au saa moja asubuhi lenye AC na charging system.
  20. kalanga

    Tuambie yupi amekuwa mwanasiasa wako bora 2017

    Mheshimiwa Mbowe maana ameweza kukipeleka chama chake mbele akiwa amezungukwa na Wasiliti na Mamluki wengi sana lakini hakutetereka mpaka wasiliti wameamua kurudi walikotoka mmoja baada ya mwingine.
Back
Top Bottom