Hii ni taasisi ya serikali. Nina imani swala hili litafanyiwa kazi.
Kama kuna ukweli kwenye hili, pumba na chenga zitaonekana.
Poleni external examiners.
Poleni Staff wa OUT, ambao mnatumia pesa zenu kutoka mikoani kwenye makao makuu kusahihisha mitihani, na MNAKOPWA kisa MUSE haifanyi kazi...
Hawawezi kuwa makini. Kama malipo halali ya external examiners na staff yanashindikana.
Chief Executive Officer, amechukua hatua gani?
Au kwa sababu mambo yake yanakwenda vizuri, hana habari na staff wala wengine?
Nimekuwa najiuliza kama Chuo Kikuu Huria au OUT ni chuo cha serikali. Inakuwaje chuo cha serikali kikawa na mambo ya ajabu namna hii?
Sisi Walimu kutoka nje tuliofanya kazi kama external examiners kwenye kazi za wanafunzi tuna zaidi ya miezi 6 hatujalipwa. Tukiuliza tunaambiwa utaratibu mpya wa...
Tunaomba Msaada. Hii ni KOLA B, Morogoro. Hii case imekuwa reported tangia 3/8/2021.
Nguzo mbili zimeoza, matokeo yake nyaya zipo kwenye bati.
Hivi mnasubiria hadi hizi insulated wires zichubuke, ilete ajali, then tuseme ni MAPENZI y Mungu?
Kwanza ni muhimu kutumbua majipu yote ATC kabla ya kuleta ndege mpya.
Watendaji wa shirika hilo wamejipangaje kuboresha huduma? Tusipoangalia hizo airbus zitakuwa kama zimetupiwa kwenye kundi la mafisi wenye njaa
Sawa Mkuu!
Lakini wamepataje kibali kujenga Hostel binafsi kwenye eneo la shule/serikali?
Kwa nini wasibomoe tujue moja?
nadhani haya yalifanyika wakati serikali imekwenda LIKIZO
Inawezekana ni kweli. Kama pesa hazitoshi si watoe taarifa? Inakuwaje wao nao wanakuwa na serikali yao?
Hawa wakuuu wa sekondari ni majipu yaliyoshindikana.
Huu sasa ndio mwisho wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.