Search results

  1. RUMANYIKA

    Wabunge wagomea posho ya laki 3, wasema ni ndogo

    Huu ndio ulikua muda muafaka kwa vyama vyote vya wafanyakazi kutangaza migomo na madeni yao sugu. Wapi chama cha waalimu, wapi Tughe, wapi trawu.
  2. RUMANYIKA

    Jukwaa Zuri na la Kipekee JF Ni Hili.....

    Sasa kama siri hazitolewi ww umekuja kunadi ilo jukwaa uku kwann? Uyo Invisible anakufunguria bila kumwomba?
  3. RUMANYIKA

    Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo

    Huyu jamaa huwa haeleweki mara kule mwanzo ulisema chadema kuna udini na ukabila. Leo tena unageuka mara akiri kubwa haendani na akiri ndogo. Pasco wewe endelea na karata yako ya udini na ukabila kwa chadema acha porojo zingine.
  4. RUMANYIKA

    Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Nadhani zile fedha zilizokua zimetengwa kwa ajiri ya misiba kitaifa zitumike ipasavyo muda wake ndio huu..
  5. RUMANYIKA

    Pd port prooooooooxyyyyyy

    Store ni wapi mkuu?
  6. RUMANYIKA

    Serikali yaridhia umeme kupanda Kuanzia January 2014!

    Hapa uwezi kuwaona hata mmoja. Wao wanachojua ni zitto na cdm na thread za upuuz puuz. Mambo yanayohusu jamii huwez kuwaona ------- wale..
  7. RUMANYIKA

    Bunge laahirishwa, Kamati ya Maliasili yawaka moto!

    Mkuu nakupongeza kwa kuliona hilo. Na huo ndo mkakati ambao Ndugai huwa nafanya kubalance munkari wa wabunge.
  8. RUMANYIKA

    Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    Kanunue Enzoy ni safi sana.
  9. RUMANYIKA

    Carina bei cheap!!

    Ni pm mkuu 2fanye mazungumzo ya awali.
  10. RUMANYIKA

    Endapo atakuwa Mwenyekiti Taifa: Zitto atamudu changamoto alizokutana nazo Mbowe?

    ntashangaa kutokuona buku saba camp kama hawatamiminika kwa wingi ktk hii mada.
  11. RUMANYIKA

    Freeman Mbowe, Zitto Kabwe ndani ya Tabora - Julai 27, 2013

    Ntawaletea update lakini msiniulize kuhusu picha.
  12. RUMANYIKA

    Mgimwa: Wabunge wenu ndio waliopendekeza kodi za simu sio serikali

    Kama watz hawataingia kwa road kwa ajiri ya suala hili basi kutakua na misukule ndio inayoongozwa huko.
  13. RUMANYIKA

    Ukweli mchungu kwa Mwigulu Nchemba.

    Wazazi wa mwiguru waishukuru chadema. Maana jamaa kwa jinsi wanavyomfuatiria imebidi awajengee wazazi wake. Mbona hakujenga wakati yuko BOT. Siasa sio mchezo mzuri.
  14. RUMANYIKA

    Mume wa Khadija Koppa ambaye ni diwani kata ya Magomeni - Bagamoyo amefariki dunia

    Huyu mama omari kumbe anauguza mume halafu anapuyanga2. Jana alikuepo rukwa kwenye tamasha. R.I.P.
  15. RUMANYIKA

    Uzinduzi wa rasimu ya katiba.

    Leo ni uzinduzi wa rasimu ya katiba mpya. Uzinduzi huo unafanyika viwanja vya karimjee. Kuna vituo ya tv kama itv na tbc vinaonyesha live. Mgeni rasmi ni makamu wa rais na makamu wa kwanza wa rais toka znz. Karibuni tufuatirie. Baadhi ya viongoz wa vyama vya siasa wameonekana ila viongozi wa...
  16. RUMANYIKA

    Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha: Victor ndiye aliyembeba mlipuaji kama abiria wa boda boda

    Maskini kijana wa watu ameuziwa kesi isiyo mhusu kabisa.
  17. RUMANYIKA

    Mh.Godbless Lema,Said Mwema,Bi.Kijo Bisimba, Live Sauti ya America(VOA) saa moja na nusu Usiku leo

    Mkuu BEN naona umefanyakaz kwelikweli kuvujisha mawacliano kati ya ASHA kwenda kwa MACCM menzie. Nikupongeze sana kwa kazi iyo. Leo lumumba hakukariki kila m2 anajiuriza mmepataje emails zao.
  18. RUMANYIKA

    HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)

    Maccm yameuguzwa ugonjwa mbaya sana na cdm.. Yamekua na kazi ya kujibu hotuba za cdm badala ya kujielekeza ktk hotuba ya wizara husika.. Now cdm they run bunge...
  19. RUMANYIKA

    Germans keen to repair Tanzania’s railway

    Hivi wameonyesha nia au tayari wameshaingia mkataba? Isije hii inshu ikapita juu kwa juu. Maana kama tenda ya ukarabati wa locomotive wameshinda wa malysia kuna nin tena FELLA! Ametoka mhindi anakuja asian mwingine na KTM za kichina.
  20. RUMANYIKA

    Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

    Duu! Nimeipenda hiki chama. Soon ntajiunga.
Back
Top Bottom