Search results

  1. issenye

    Kwanini CHADEMA huwa inashindwa kusaidia wananchi hata kilo moja tu ya sukari wanapopatwa na matatizo?

    Mnataka watoe misaada ili mkajengee miundombinu ya serikali kama mlivyofanya wakati wa tetemeko la Kagera?
  2. issenye

    Halima Mdee ndiye Mtu Pekee aliyekuwa Sahihi kumpokea Uwenyekiti Mbowe

    Hatutaki mwenyekiti aliyeoa mwanamke mwenzake
  3. issenye

    Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

    Alitaka avae nguo za kihuni kama alizovaa Makonda kipindi Cha msiba wa Mzee mengi
  4. issenye

    Israel isijidanganye

    Endeleeni kuwadanganya wenzenu ili wazidi kupukutishwa, mtakapokuja kustuka palestina itakuwa Haina watu
  5. issenye

    Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

    Baada tu ya Hangaya kukutana na Papa naona sasa ccm wameamua kuungana na mtetezi wa mashoga Kwa kisingizio Cha Chadema ni wadini.
  6. issenye

    Watanzania Twende na KKU ya Dr Nchimbi yaani Kweli, Kazi na Uzalendo. Hakika tutatoboa

    Serikali na ccm wanajitahidi Kuja na slogan za kila aina, ila wanakwepa slogan moja tu ambayo ndiyo suluhisho la kila kitu. Slogani yenyewe ni simple tu "HAKI KWA WOTE"
  7. issenye

    Mkurugenzi na Madiwani jiji wanaharibu Arusha School

    Aliyekupa hii habari mwambie akupe habari sahihi. Arusha school ninayoifahamu ni shule inayoendehswa Kwa mfumo wa kimataifa ambayo inaanzia darasa la chekechea Hadi sekondary, labda kama alilenga Arusha day secondary
  8. issenye

    Prof. Kitila Mkumbo amekuzwa na CHADEMA kisiasa sasa mbona Uchumi anaousimamia hausomeki?

    Ajabu sasa, ccm wanaenda kununua Kwa gharama kubwa watu waliofeli ili wawasaidie kujikwamua walikokwama. Haya ni maajabu ya karne
  9. issenye

    Profesa Kitila: Serikali imebana matumizi, viongozi hawaishi maisha ya anasa magari yamebaki kwa viongozi wa juu tu

    Kwahiyo zile VX V8 karibia 13 zilizopata ajali kwenye msafara wa bashite ni Mali ya watu binafsi?
  10. issenye

    Kosa ambalo Mbowe analifanya katika siasa ni kumrudisha CHADEMA Dkt. Slaa

    Sasa kama mnajua anafanya kosa kumrudisha, wasiwasi wenu ni nini wakati ccm itapata unafuu?
  11. issenye

    Maandamano ya kupinga ugumu wa maisha yanapozuia watu kujipatia riziki na kufanya maisha kuwa magumu zaidi

    Tungeanza kwanza kuondoa kadhia ya misafara mikubwa ya viongozi wa ccm/serikali pamoja na kuzuia kufunga ofisi za umma na shule za serikali kwa lazima ili tkwenda kuwapokea viongozi wa serikali/ccm
  12. issenye

    Sasa hapo ndo Mgao utaisha. Bila hivyo mtamlaumu tu Waziri. Ukimsoma hapa kwa Utulivu

    Mwananchi wameomba Radhi Kwa hii habari Kwa kusema kuwa wamepotosha kauli ya waziri
  13. issenye

    Marekani hakuna Rais daktari, CPT, Engineer wala Advocate? Kwanini hawapendi kusoma?

    Viongozi wenyewe tulio nao ndio hawa ambao anasimama hadharani na kusema kama sio Samia mzazi wake angekufa kabla ya siku
  14. issenye

    ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

    Sukuma gang mnataka kumpindua dada kizimkazi ili mumpe Makonda?
  15. issenye

    RC Chalamila akutana na Waandamanaji wa CHADEMA. Awatakia heri kwenye maandamano na kuwasihi kufikisha ujumbe walipokusudia

    Ila nyie fisi mnaosombwa na malori kama mchanga kwenda kwenye mikutano ya Makonda ndio mna kazi za kufanya?
  16. issenye

    Sugu asithubutu kuchukua fomu kushindana na Dkt. Tulia Mbeya mjini, hakuna mwenye akili timamu atakayempigia kura tena

    Hivi ndugu yangu Toka enzi za kikwete upo, magufuli upo, Samia upo lakini wamekusahau kwenye teuzi. Tatizo ni nini?
  17. issenye

    Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

    Slaa CCM, mwambukusi NCCR Mageuzi, mdude CDM
  18. issenye

    Mamilioni ya Watanzania tunaendelea Kusimama na Rais Samia

    Kwahiyo leo akisema ulawitiwe utakubali?
  19. issenye

    Mamilioni ya Watanzania tunaendelea Kusimama na Rais Samia

    Ungesahai kuweka namba ya simu ningekuona kishoia. Jitahidi unaweza kumbukwa hata ubalozi wa nyumba kumi
Back
Top Bottom