Search results

  1. I

    Waziri Nape unajisikiaje kuona uliyemuita "kiroboto" akiteuliwa kuwa Balozi?

    Na hilo ndio linaenda kutokea 2025 acha wamshangilie hawajui kuwa ng'ombe ndio kafikishwa machinjioni anasubiriwa sheikh
  2. I

    CCM mmeteua au mmepinduana?

    kama walivyokuwa Wazilankende enzi zile ha ha! Mambo ni kangaja huenda yakaja mwambie akaribie kijiweni wenzake tushapazoea ha ha ha!
  3. I

    CCM mmeteua au mmepinduana?

    kama walivyokuwa Wazilankende enzi zile ha ha! Mambo ni kangaja huenda yakaja
  4. I

    Hukumu ya Mdude Nyagali hatma ni leo

    Unateseka ukiwa wapi mkuu?
  5. I

    Rais Samia uliaminiwa na Magufuli. Je, wewe huwaamini walioaminiwa na Magufuli?

    Poleni wananzengo mlisahau kuwa kila masika ina mbu wake dah
  6. I

    Rais Samia uliaminiwa na Magufuli. Je, wewe huwaamini walioaminiwa na Magufuli?

    ha ha ha! kuna watu vitu vinagonga kwenye boksa, walijua nchi hii mali yao wakaanda kuelekea utawala wa kifalme lakini MUNGU ni mwema sana kawahurumia watanzania
  7. I

    Rais Samia uliaminiwa na Magufuli. Je, wewe huwaamini walioaminiwa na Magufuli?

    Ukweli ni kwamba kuna kundi linaelekea kupoteza mlo ndio chanzo cha yote haya "mchungaji keshapigwa kondoo wanatawanyika"
  8. I

    Rais Samia uliaminiwa na Magufuli. Je, wewe huwaamini walioaminiwa na Magufuli?

    Unampangia cha kufanya? bado yupo sahihi kikatiba, kwahiyo ya kutengua wote ni matamanio yako yeye kaamua kufanya marekebisho ya ndani kwa ndani ndio maana unaona wengi wamehamishwa tu toka sehemu moja kwendanyingine hivyo bado anawaamini mkuu
  9. I

    Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

    Kweli Mkuu mdomo hutapika kilichoko moyoni uzinzi umemjaa hivyo kwake Guest House zipo kwa ajili ya wazinzi na sio wageni katika maeneo zilipo
  10. I

    Askofu Bagoza: Ukisomeshwa na Kanisa halafu ukahamia Serikalini nani ataifungia Serikali?

    Wanufaika wa mkopo huwa wanarejesha mikopo yao kupitia makato ya kila mwezi kwenye mishahara yao bila kujali kuwa wameajiriwa serikalini au kwenye sekta binafsi.
  11. I

    Bagonza: Kuna dalili za kuliangamiza Taifa kwa sababu watu wanaamini uongo na kumchukia mtu anayesimamia ukweli

    Nabii Samweli alimuonya sana Sauli juu ya mwenendo wake mbaya lakini Sauli akashupaza shingo yake na mwishowe alikufa kifo cha aibu.
  12. I

    Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

    Naona ndio umetoka kupokeoa chandarua cha ule mradi wa kwa hisani ya watu wa Marekani
  13. I

    Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

    Figisu kama hizi ndio ziliiua Peace House Secondary 2010 shule ilikuwa inatoa elimu bure kwa watoto wa maskini, saivi ni private ada milioni mbili na ushee
  14. I

    Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

    Hizo ARV unazokunywa zinatoka Nangurukuru?
  15. I

    Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

    Years are just numbers one can grow but not develop
  16. I

    Star TV mbona mnakatisha matangazo ya BBC Dira ya Dunia?

    Bora waache hicho kipindi cha dira ya BBC kuliko kukatakata habari
  17. I

    Viti Maalum, CCM - Orodha ya watu 94

    Tausi wa viunga vya Bunge
Back
Top Bottom