Search results

  1. Nyakageni

    Ushauri: CHADEMA, Mrudisheni Dkt. Slaa chamani kuongeza morali ya ushindi

    Aende zake, alisaliti na kumuunga mkono muuaji. Hafai Risasi na mateso wanayopitia akina Lissu na Saanane aliyabariki. Hovyo kabisaaaaa
  2. Nyakageni

    Lini tutaacha Chuki? Hivi Wazanzibari hawatambuliki na Katiba kuwa Marais?

    Sijamalizia andiko lote ila nchi huru ya Tanganyika inatakiwa. Nyerere alikosea sana kwenye muungano
  3. Nyakageni

    Hayati Magufuli alikuwa Kiongozi wa Pili kuacha Legacy baada ya Nyerere

    This post is proffesorial rubbish and utterly nonsensical article
  4. Nyakageni

    Profesa Kabudi: Trilioni 360 za makinikia haikuwa kodi sahihi, Nilikosea kutumia neno “Jalala”

    Siku nyingi sana sijaingia humu. Naona pamejaa madini
  5. Nyakageni

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Tambua pia kuwa umechangia ulemavu wa Lissu, kuumizwa vibaya kwa akina Mdude na kupotea kwa akina Saanane. Binafsi sina msamaha na wewe
  6. Nyakageni

    Kwanini waafrika siyo wabaguzi?

    Mayor wa London unajua asili yake?
  7. Nyakageni

    Kwanini waafrika siyo wabaguzi?

    Beggars have no choice
  8. Nyakageni

    Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

    Cha msingi ni kwamba BAHARI IMETULIA na MUNGU ametoa hukumu ya haki! Shetani ameshindwa
  9. Nyakageni

    Kumbe shida kubwa kwa WanaCHADEMA ilikuwa ni kulamba asali na wala sio maslahi mapana ya umma. Shida kubwa ilikuwa mpate mlo wala sio kutetea wananchi

    Chadema wameteswa sana, wamelemazwa sana, wameuliwa sana na mzee wa Chattle. Its time nao wapumue kidogo. Mungu ibariki CHADEMA
  10. Nyakageni

    CHADEMA hawana ushawishi kwa Watanzania kuchukua Dola, ni ndoto na kujidanganya

    Admins Invisible Maxence Melo hebu futeni hii comment. Haina ustaarabu
  11. Nyakageni

    CHADEMA hawana ushawishi kwa Watanzania kuchukua Dola, ni ndoto na kujidanganya

    Chadema hii hii ambayo mzee wa Chattle aliapa kuwamaliza? Akawamaliza akina Saanane na kuwalemaza akina Lissu then karma ikafanya kazi yake???? Aliyeapa na kutumia maguvu keshaenda, we nani hadi useme haya?????
  12. Nyakageni

    Kwa hali inavyoenda tunawaomba Dkt. Slaa na Job Ndugai muanzishe chama kipya cha siasa

    Dr. Slaa na Ndugai watoke ccm katika umri huu na walivyo wazee na wagonjwa? Watakufa mapema sana. Huyo Slaa mke tu anampelekesha ije iwe chama kisicho na watu imara? Acha kabisa. Waache wameze dawa za magonjwa yao tu
  13. Nyakageni

    Dar: RC Makalla akiwa na mfanyabiashara, amesimamisha uchimbaji kokoto machimbo ya Boko

    Halima na Gwajima wote wako bungeni kimichongo tu
  14. Nyakageni

    Dar: RC Makalla akiwa na mfanyabiashara, amesimamisha uchimbaji kokoto machimbo ya Boko

    Una maana ukimiliki eneo 2012 halafu ukaacha kuwekeza siyo lako??? Hii nchi haina eneo huru mkuu. Ukiona kiwanja kiko wazi tambua kuwa kina mmiliki ila hajakiendeleza tu. Hata mapori mikoani yana watu, sembuse Dar? Hayo ya rangi ni ubaguzi.
  15. Nyakageni

    Ziara Bungeni ni kielelezo cha Bunge kuwa too low

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  16. Nyakageni

    Kufanyike nini sasa ili Hayati Magufuli achukiwe na wote? Naona waliokuwa wanamchukia wanabaki kuwa walewale

    Kwangu mimi nitamchukia milele kwa mauaji yaliyofanyika katika utawala wake. Lissu aliponywa na Mungu. Alikuwa katili sana mwenye ushetani mwingi tu.
  17. Nyakageni

    INAUZWA Mashine za kupima pressure na sukari (BP monitor &Glucometer)

    Hivi kile kimpira toka kwenye machine ya kupima BP hadi kwenye mkono kikiharibika huwa kuna spare yake?
  18. Nyakageni

    Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

    Tatizo la JPM ni ukatili wake tu. Yaaaaaani Lissu kwa mdomo wake tu akaona anaongea sana, hafai kuwepo. Watu kwenye viroba, that was devilish
Back
Top Bottom