Search results

  1. T

    Kunani kazi za zoomtanzania?

    We at ZoomTanzania assure you that the jobs on Zoom are real jobs from real employers. From the discussion in this thread, it’s clear some people get interviews using ZoomTanzania and others do not. If you are not getting interviews, or if you are not getting enough interviews, perhaps you are...
  2. T

    Kuweni makini na nafasi zinazotangazwa na ZOOM, kuna utapeli

    Habari Ipilimo, Tungeomba uelezee zaidi kuhusu hizo kazi 3 za Utapeli za ZoomTanzania au utupe links au majina ya kampuni zilizotangaza hizo kazi. Katika hii thread tumejibu kuhusu post yako na tungeomba feedback katika hili. Asante, ZoomTanzania.
  3. T

    Kuweni makini na nafasi zinazotangazwa na ZOOM, kuna utapeli

    Habari wanajamii, Kuna malalamiko tumepata kuhusu kazi za ZoomTanzania kuwa nyingi ni za utapeli. Kazi nyingi sana za ZoomTanzania ni za ukweli na sources zake zinaeleweka. Mfano kuna kazi nyingi sana kutoka kwa Recruitment Agencies mbalimbali pamoja na makampuni mbalimbali pamoja na magazeti...
  4. T

    Kuweni makini na nafasi zinazotangazwa na ZOOM, kuna utapeli

    Habari, Tunashukuru kwa kuona maoni yenu kuhusu Zoomtanzania.com. Kwanza napenda kuwatoa hofu na kuwahakikishia kuwa Nafasi za kazi tunazozitangaza ni za ukweli na nyingi huwa wanaotangaza ni waajiri wenyewe na recruiting agencies. Na kuna watu wengi wanafanikiwa kupata kazi kupitia...
  5. T

    Tayoa emloyment portal imeishia wapi ?

    Jamaani zoomtanzania kazi zetu nyingi zinatoka kwenye magazeti nayo ni daily news na Guardian. Na wakati wote tuna acknowledge source za kazi za magazeti. nafasi zingine za kazi zinatoka recruiting agency wao huwa wanatutumia wenyewe moja kwa moja. Hivyo basi niwatoe hofu kuhusu matapeli kwani...
  6. T

    Utapeli katika kuomba kazi 'data entry'

    Habari, kwanza napenda kuwajulisha kuwa ZoomTanzania sio recruitment agency, ZoomTanzania ni Online Business Directory na katika mambo tunayofanya ni kutangaza nafasi za kazi. Kutangaza kazi ZoomTanzania ni bure, nataka kuwajulisha kuwa kuna watu wanatumia nafasi hiyo kuwaibia watafutaji kazi...
  7. T

    Zoom tanzania; ni nani anafanya uhuni huu?

    Habari, kwanza napenda kuwajulisha kuwa ZoomTanzania sio recruitment agency, ZoomTanzania ni Online Business Directory na katika mambo tunayofanya ni kutangaza nafasi za kazi. Kutangaza kazi ZoomTanzania ni bure, nataka kuwajulisha kuwa kuna watu wanatumia nafasi hiyo kuwaibia watafutaji kazi...
  8. T

    Tafadhali msaada kuhusu zoom

    nimepata ujumbe wako
  9. T

    ZOOM ya tangaza nafasi ya kazi

    me naona ni sawa ni kama kutafuta mtu ambaye amewahi kupatwa na madhara ya madawa ya kulevya kama assistant researcher kuhusu research ya madawa ya kulevya na nini, mtu mwenye experience na hiko kitu, nadhani lengo ni kuwasaidia watu wenye matatizo kama hayo nadhani, na nafasi haijatangazwa na...
  10. T

    ZoomTanzania.com ina boa na iache ukiritimba!

    Bumpkin Billionaire, unapotuma documents na picha kwa kutumia email, ni bora uzi-reduce size. Uchunguzi wetu umeonesha kuwa attachments zenye ukubwa wa zaidi ya 2MB zinaweza kupata shida kufunguka au kupokelewa. Hebu soma hapa ili ujue jinsi ya kupunguza size ya mafile > ZoomTanzania | Image...
  11. T

    ZoomTanzania.com ina boa na iache ukiritimba!

    Tunashukuru sana ze encyclopedia. Hongera sana kwa kupata kazi.
  12. T

    ZoomTanzania.com ina boa na iache ukiritimba!

    Mara kwa mara huwa tunafanya test ya system yetu kuhakikisha kuwa inafanya kazi vizuri. Watu wengi wanashindwa katika hatua ya kuingiza zile alama kwa sababu zifuatazo: Kwanza kabisa USIACHE space kati ya zile herufi. Zi-type zote bila kuacha space, kama neno moja. Pili, kama herufi zipo kwa...
  13. T

    Nafasi za kazi zinazotangazwa JF.

    Godlizen, kuna njia nyingi za kuwasiliana nasi. Email: Na nyingine waweza kuzipata hapa > ZoomTanzania | Contact Us
  14. T

    Nafasi za kazi zinazotangazwa JF.

    Nashukuru kwa majibu yote ambayo yamekwishatolewa. Kazi zote unazoziona kwenye ZoomTanzania.com, zinatokana na vyanzo vikuu viwili: Mhusika wa kampuni husika ana-post kwenye Website Yetu Mhusika wa ZoomTanzania.com ana-angalia nafasi za kazi zilizo kwenye magazeti, na kuzi-post. Ili...
  15. T

    ZoomTanzania.com ina boa na iache ukiritimba!

    Habari wana JamiiForums, Tumepokea malalamiko na maswali mengi sana kuhusu kwa nini hatuoneshi email address za waajiri ili wanaotafuta kazi watume maombi moja kwa moja. Wengine wanafikiria kuwa tunafanya hivyo maana tunataka / tunapata ‘Commission' kutoka kwa waajiri. Ni matumaini yetu...
  16. T

    Kuweni makini na nafasi zinazotangazwa na ZOOM, kuna utapeli

    Habari wana jamii, Sisi ni ZoomTanzania. Ni kweli kazi za ADEXEC ziliwekwa kwenye site na matapeli. Tunaomba mjue kuwa tunafanya jitihada kubwa kuhakikisha kazi za namna hii (Za Matapeli) hazionekani kwenye site yetu. Kila mwezi, huwa tunabaini kazi kama 3 au 4 kuwa ni za matapeli, na...
  17. T

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Habari Wana Jamii Forum, Sisi ni ZoomTanzania.com. Kwa kupitia maoni yenu, tumeelewa kwa nini baadhi yenu mnaona ni kero na usumbufu kulazimika kubofya link ili kupata maelezo juu ya kazi. Tunaomba ushauri wenu tufanye nini juu ya jambo hili. Siku zote tunajitahidi sana kuwaletea mkusanyiko...
  18. T

    Zoom.com wasanii?

    asante kwa kuelewa ndugu yangu, shukrani kwa wote,mimi ni dada,si kaka.pamoja.
  19. T

    Zoom.com wasanii?

    ni kweli ile kazi ilikosewa lakini mara ngapi unaona kazi kwenye zoom na apa naongelea zitokazo kwa magazeti ukakuta ni za kweli???kukosea tarehe kwa kazi moja ndo useme usanii?je kwa zile zote ulizokuta kweli??ambazo naamini ni zote kasoro hii moja mbayo niliibadlisha badae,mbona hujawai kusema...
Back
Top Bottom